Thursday 30 October 2014

Re: [wanabidii] Fwd: MAKALA

hiyo imekaa vizuri.Dini ni dini siasa nisiasa. Tusichanganye mambo.saaaaaaaaaaaaaaffffffffiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sana Mody.
 
God created men in LOVE ,let us live with LOVE

On Thursday, October 30, 2014 9:13 AM, 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Naunga mkono makala hii 100%. Dini itenganishwe na siasa. Kazi ya dini ni kuwafundisha watu kuacha uovu na kuishi maisha ya toba kama Mungu anavyotaka. Sasa viongozi wa dini wanapokuwa vinara wa uovu, je, viongozi wa siasa ambao ni waumini wao watakuwaje? Dini imekuwa mwalimu wa kila aina ya uovu na ufisadi. Uovu na ufisadi uliopo katika dini ni mkubwa kuliko uovu na ufisadi uliopo katika siasa.  Dini inaingilia siasa, hapo ni mkuki kwa nguruwe. Je, siasa ikiingilia dini itakuwaje? Hapatatatosha.... Nimeipenda sana makala hii ya Dr. Muhammed Seif Khatibu. Mimi sio mpenzi wala mshabiki wa siasa au chama chochote. Huyu Dr. kasema ukweli. Nanukuu...."Wanasiasa tunaambiwa kuwa dini na uendeshaji wa Serikali haupaswi kuishirikisha siasa.  Siasa na dini itenganishwe.... Maana na nyinyi pia siyo watakatifu hivyo!  Nani hajui yanayotokea ndani ya kuta nne ya majengo yenu ya ibada au makazi yenu?  Yale yanatolewa katika vyombo vya habari ya uoza na uchafu wenu ni kidogo sana ukilinganisha yanayojiri humo.  Ufasiki, umalaya, unafiki na ufisadi umekubuhu.  Hujuma na ugaidi umetawala.  Viongozi wenu wengine wa dini wanaishi maisha ya kifahari kwa sadaka za walalahoi.  Haki ipo wapi?  Usawa upo wapi?  Hayo hamuyaoni na hamuyasemi?"  Mwisho wa kunukuu. Frank

On Wednesday, October 29, 2014 10:51 PM, 'Muhammedkhatib' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment