Friday 31 October 2014

Re: [wanabidii] RIP BEN KIKO

RIP Kiko daima siishi kusema taifa limepoteza mtu mwadilifu, mzalendo na mwenye kujua wajibu wake

On Friday, October 31, 2014 8:47 AM, 'jabir yunus' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Tuseme hakupata matibabu ya maana akiwa Kitete, TBR?
Wanaojua watueleze alilazwa Kitete kwa muda gani? Ndipo akafikishwa MNH?

Serikali haikumchukulia Ben Kiko kama mmoja wa watumishi muhimu waliochangia ukombozi wa mwananchi mnyonge baada ya Uhuru? Kweli?
ALitumikishwa kipropaganda weeeeeee, yote Misitu ni Uhai, Ujamaa na Kujitegemea, Uhuru ni Kazi, Mtu ni Afya, Amani na Utulivu, Kidumu chama cha mapinduzi, zidumu fikra za mwenyekiti, mwisho wake ndio huo wa kutelekezwa badala ya kupatiwa tiba nzuri.
Inasikitisha.

Jabir+

On Friday, October 31, 2014 8:39 AM, Eric Mkuti <mmakua@gmail.com> wrote:

Tarifa za ndugu wa karibu ni kwamba amefikwa na mauti latina Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa tangu juzi baada ya kuhamishiwa kutoka Tabora
On Oct 31, 2014 8:35 AM, "Abdalah Hamis" <hamisznz@gmail.com> wrote:
R.I.P BEN...
Aliekuwa Mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania (TBC) mzee BEN KIKO amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo
Katika Hospital ya Kitete Tabora.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment