Tuesday, 1 July 2014

[wanabidii] Re: Jaji Werema adaiwa kumtishia kifo Kafulila bungeni Dodoma

Nimesikia kauli za kusema hizo nyaraka za kafulila ni za kufungia ''vitumbua'' sijaelewa maana ya hizi kauli, kuwa hizo karatasi zimepitwa na wakati au hazina maana? Je vitumbua vina hadhi gani hadi zifungwe kwenye hizo nyaraka? Kwanini hakuambiwa hizo nyaraka akafungie keki au mikate? Hivi tumesahau kuwa wapiga kura ndo hao wauza vitumbua na maandazi? Binafsi ni mpenzi wa vitumbua na kila nikimwona mama muuza vitumbua yuko kando ya barabara akichoma vitumbua husimama na kununua.

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: mngonge <mngonge@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, June 30, 2014 11:24:10 AM GMT+0300
Subject: Re: [wanabidii] Re: Jaji Werema adaiwa kumtishia kifo Kafulila bungeni Dodoma

Shame on him (werema) akae akijua cheo ni dhamani wala si urithi kutoka kwa
babake bali bahati tu. kwani yeye ana kitu gani cha ajabu tofauti na
watanzania wengine? watu kama Werema wanaweza kusababisha machafuko siku
wakikosa nafasi hizo lazima waanzishe vurugukwa sababu ya kufikiri kwamba
wao ndo wenye haki ya kutawala, kuchuma pesa na kuwabwatukia wengine.

2014-06-30 10:55 GMT+03:00 'Mike Zunzu' via Wanabidii <
wanabidii@googlegroups.com>:

> Tatizo la vijana kama kinakafurila wanajisahau eti tu kwa vile ni
> wawakilishi wa wananchi, mwenzake ni MWANASHERIA MKUU, na ni mwakilishi
> wa Serikali, mtu mdogo kama Kafurila nanapata wapi kifua cha kunkingia
> msimamizi wa sheria?
> Watu kama Warema wanapokuwa bungeni wakiangalia around wanaona wamekiti na
> watu wachache tu wanaoitwa binadamu waliowengi ukumbini humo anawafananisha
> na tumbili, nyani, kondoo, you name it, na hayuko peke yake mwenye mtizamo
> kama huo.
>
>
> On Sunday, 29 June 2014, 15:54, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <
> wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
>
>
> Sio kumrukia kichwa-Mtafune kama wafanyavyo wacheza mpira wakikasirika.
> Pole
>
>
> On Sunday, 29 June 2014, 17:28, Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com>
> wrote:
>
>
> Hosea
> Siku moja nikiwa mahakamani namwakilisha mlalamikaji, mlalamikaji akaongea
> jambo bila kupewa ruhusa na mwamuzi, wakili upande wa pili akasema, Mh.
> Jaji huyu mlalamikaji ameishafuga mbwa hana sababu ya kubweka mwenyewe.
> Unaweza kumrukia kichwa.
> On Jun 29, 2014 2:57 PM, <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
>
> Werema amekuwa akitumia misemo ya kiingereza kwa kuitamka kiswahili. Mfano
> aliposema ''I will take your head'' maana yake ni kuwa ''atayafanyia kazi
> mawazo yako'' na sio kuwa atamchinja.
>
> Hata hii ya kumwita tumbili hakumaanisha kafulila ni ''mnyama'' ila
> alimaanisha kafulila ni ''tatizo''. Mfano msemo wa ''monkey is on my
> sholder'' maana yake ''tatizo hili limenikabili'' labda tuwaruhusu wabunge
> na mawaziri watumie kiingereza wanapoona panafaa au wanaweza kujieleza kwa
> ufasaha zaidi.
>
> ----------
> Sent from my Nokia phone
>
> ------Original message------
> From: 'rigonzi@yahoo.co.uk' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Saturday, June 28, 2014 10:13:45 AM GMT+0100
> Subject: Re: [wanabidii] Re: Jaji Werema adaiwa kumtishia kifo Kafulila
> bungeni Dodoma
>
> Nadhani ieleweke kuwa jambo hili la kudhalilisha wawakilishi tuliowachagua
> kwa kuwaita majina ya kebehi, matusi, 'bwana mdogo' 'mdogo wangu' 'mtoto'
> n.k. haikubaliki kwetu wananchi wawakilishwa kwa sababu kadhaa ikiwa ni
> pamoja na hizi zifuatazo:
> 1. Maneno ya jinsi hiyo yamekuwa yakitumika kuzima tuhuma nzito nzito
> ambazo huibuliwa kwa manufaa ya wananchi wanaowakilishwa wala si kwa
> manufaa binafsi. Mfano unapoibuliwa wizi, hujuma, uonevu, ufisadi, uvunjaji
> taratibu ama sheria n.k.
> 2. Mwakilishi huyu yupo bungeni kwa niabamya watu hivyo kumhujumu,
> kumdhalilisha, kumtukana, kumwita 'bwana mdogo' na mengineyo yote ni
> kuwatukana, kuwadhalilisha wananchi anaowawakilisha pale mjengoni. Kwa
> maoni yangu lugha kama hizo inafaa zipigwe marufuku kabisa Bungeni.
> 3. Wawapo bungeni wawakilishi wote wana 'status' sawa.
> 4. Inaudhi unapomsikia Presiding person anaombwa mwongozo halafu yeye
> anadai kuwa eti yule ambaye mwongozo watakiwa kwa ajili yake "alikuwa
> provoked" kwa hiyo alikuwa jnaonekana alifanya sawa, na mwongozo hautolewi
> badala yake ni majibu ya hovyo kama ilivyokuwa kwa Mheshimiwa Kafulila!
> Mambo kama haya yanalifanya Bunge letu tukufu lipungue katika status yake
> kama Taasisi.
>
> Haya ni machachetu.
> Tibu
>
> Sent from Yahoo Mail on Android
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment