Tuesday, 29 July 2014

Re: [wanabidii] IBADA ZA WAISLAMU KUATHIRIWA NA SERIKALI ZA KIKAFIRI

Kwa hiyo mwenge ndo uliroga mwezi usionekane? Mwenge ulikuwa pwana kama sikosei, shekhe wa bukoba hakuuona mwezi? Answar Sunna wanaswali mwezi ukiandama makka nako mwenge ulitia kiwingu? Nisaidie kwa hilo, ni aya gani au hadithi gani za mtume zinazosema wana wa wayahudi ni makafir?

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: Juma Kongoro <jumakongoro@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 29, 2014 8:43:51 AM GMT-0700
Subject: [wanabidii] IBADA ZA WAISLAMU KUATHIRIWA NA SERIKALI ZA KIKAFIRI

IBADA ZA WAISLAMU KUATHIRIWA NA SERIKALI ZA KIKAFIRI
waislamu walio swali leo wameingiwa na shaka baada ya kuona mwezi jana
ulivyo mkubwa na kufanya waamini kuwa habari za kuonekana KENYA mwezi na
sehemu kadhaa duniani ni kweli na ndio ilifaa kufuatwa

lakini tetesi zinakazidi kuwa tia majonzi baada ya kugundua kuwa sherehe za
mwenge ambao ni ushirikina zimechangia kuakhirisha swala ya eidi na
kufanywa waislamu wafunge swaumu siku ambayo ni haramu kufunga kwani kwa
wageni waalikuwa kwa siku ya jana ilikuwa siku ya ibada zao za moto hivyo
wasinge shughulika na ibada za uislamu hawa ni wale wa kundi la bakwata na
waislamu huifata bakwata kwenye mwezi tu ila kwenye vyama hivi vya kikafiri
bakwata hawaipendi wala hawataki kuisikia haya ndio maajabu

Ama kwa upande wa waisamu wajiitao masalaf na wao wametia aibu na fedheha
baada ya kuwa misimamo tangu dahari kuwa mwezi ni wakimataifa ajabu na wao
hawakuswali tena kwa sababu za kikafiri nazo ni kuto kuikera serikali hii
inayo nadi hakuna dini katika maisha ni marufuku kuleta maishani dini
kufru hii masalaf wamekubali kuivumilia na kuacha kuswali idi jana na
kuswai leo watu hawa mwanzo wakiita waislamu wenzao ni makafiri kwa
kusikiliza masheikh wa bidaa wanao piga dufu tu ajabu wao leo wao wana
wasikiiza wasimamizi wa ukafiri ? viongozi ambao wana dharau wazi wazi
sheria za muumba na kumtukana kuwa sheria zake hazifai na nizakikatili pia
zime pitwa na wakati?

waislamu tangu hapo mwanzo wakiwatilia mashaka masalafi kuwa wana tumiwa na
AMERKA kupitia mlango wa SAUDIA kuwagawa waislamu kwa mada ndogo ndogo za
ikhtilafu baina ya waislamu na kukuza mizozo isiyo kwisha wala kufika
mwisho sasa mashaka yao huenda yakawa yakini baada ya masalafi kuwa mbogo
kwa anaye tukana au kupinga tawala hizi za kikafiri na hakika wapo tayari
hata kukudhuru ikiwa utatoa hoja na mahubiri ya kuionesha ubaya wa serikali
hizi jambo ambalo hata chadema makafiri hukosoa serikali hizi kila uchao
japo na wao ndio wale wale ila waislamu hawa wanao jifanya ndio waislamu wa
kweli kwa kufuga ndevu na kupunguza suruali wamechupa mipaka

MWISHO TUNA SEMA
waislamu kutofautiana misimamo juu ya mwezi si makosa aibu wa vurugu ia
serikali hizi na zo hutumia chochoro hiyo kuingiza yao ya kutugawa zaidi
WANA FIKI WOTE WAJUE KUWA WAISLAMU SASA WANA SONGA MBELE KUELEKEA
KUSIMAMISHA UISLAMU KAMA MFUMO KAMILI HIVYO WALIO PATA TENDA ZA KULAZA
WAISLAMU WAJENGE KABISA

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment