Thursday 31 July 2014

Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015-MATATIZO YA BERNARD K. MEMBE

Katika thread hii binafsi ningependekeza kichwa cha habari kisisomeke MATATIZO YA BERNAD MEMBE bali MAONI JUU YA MEMBE KUGOMBEA NAFASI YA URAIS. Pamoja na madhaifu (weaknesses) tujadili pia uimara (strengths) za mgombea. Mfano kuwa waziri ndani ya serikali ya sisiemu yenye mascandals kama EPA, RICHMOND nk. ni ushujaa wa aina yake ni vyema ushujaa huo ukatambuliwa.

Tuwe na utaratibu wa kuanza na CV ya mtu tangu akiwa shuleni, kazini, kwenye jamii hadi kwenye siasa. Binafsi sina uhusiano wowote na Membe na wala siyo muumini wa hili kundi la serikali mbili lakini siungi mkono huu utaratibu wa kuibuka na madhaifu tu ya mgombea. Wote wanaojinadi kugombea urais wanayo madhaifu na mazuri yao hivyo wakati wa kuwajadili tujitahidi kuangalia pande zote mbili kama tunataka kuwatendea haki

2014-08-01 0:36 GMT+03:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:
Nakubali. Tungekuwa na mfumo kama wa Marekani ambapo mtu anaanza kukampeni at least mwaka na zaidi kabla ya uchaguzi hata kama hajateuliwa na chama chake.
Hivi  ndivyo tunavyoweza kuwajua wagombea wetu badala ya kurubuniwa na maneno matamu kama vile maisha bora kwa kila Mtanzania bila kutuambia utayaletaje maisha hayo bora.
em

2014-07-31 16:49 GMT-04:00 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>:

Nico

Sababu kuu ya kuwajadili wana CCM ni kwakuwa wao wameonesha nia hiyo ya kugombea kwa namna moja ama nyingine. Huko kwingine nani kaonesha? Mtu akijionesha huko lazima watakula kichwa. Binafsi nilitamani vyama vingekuwa vinaleta majina mwaka mmoja mapema kuliko kusubiri miezi 4 sijui.

On 31 Jul 2014 16:34, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com> wrote:
Naomba kuuliza wajameni. Hivi Nchimbi na Mwinyi mdogo wana sifa gani za kuongoza Tz?
Ni swali tu.
em

2014-07-31 8:36 GMT-04:00 'Nico Eatlawe' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
 Hivi CCM mbona ina watu wengi sana wenye sifa lakini hawajadililiwa kuanzia wazee hadi vijana? Wako akina Prof Mwandosya (sijui yuko wapi kwenye anga za siasa; sijui kakolimbiwa), Magufuli, Mwakyembe, Sitta, Nchimbi, Mwinyi mdogo nk.
Pili kuna fikra kwamba rais lazima atatoka CCM tu wala siyo CDM, CUF, NCCR au ACT. Hii ni kana kwamba tunaamini kila kitu kitabakia constant miaka yote! Nani ajuaye kitakachotea kati ya leo na 2015?
 
On Thursday, 31 July 2014, 10:27, 'Deodatus Balile' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ngupula, nimesema mara kadhaa. Juzi nilikemea la Lowassa, leo naona mmeleta la Membe.

Urais hautapatikana kwa kutukana wengine, bali tuelezwe wakiingia madarakani watafanya nini. Basi. Tusichafue majina ya watu jamani.

Balile
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

-----Original Message-----
From: "'Godfrey Ngupula' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 31 Jul 2014 10:13:38
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Re: URAIS 2015-MATATIZO YA BERNARD K. MEMBE

Nimeleta topic hii ili kwa pamoja pia tujadili matatizo ya mtu mwingine anayetajwa sana kuwa anaweza kuibuka kidedea katika kinyanganyiro cha urais CCM. Kwa mtazamo wangu Membe kwa haya yafuatayo sioni kama anafaa kuwa raisi wa Tz:

(a) Kwanza haaminiki: Ili mtu aweze kuaminika na jamii kubwa ya watazania ni lazima ajulikane undani wake na ikibidi madhaifu yake na strengths zake.Lakini Membe anaonekana yupo yupo tu na huku kwa nguvu zote akijitahidi kujificha asili yake, na hiki watu makini hatuwezi kumuamini haswa kwa dhamana ya nafasi kubwa kama uraisi. Binafsi siamini hata kidogo kama Membe anaweza kukemea chochote na kufanya chochote kwa maslahi ya nchi na haswa kitu kinachohusu kuwa na maamuzi magumu na yenye tija.

(b) Sio safi. Watu wengi wanadhani Membe ni mtu safi. Lakini, ukweli ni kuwa Membe si safi hata kidogo. Ni huyuhuyu ndiye aliyesema Tanzania inaweza kupokea hela kutoka kokote na kwa masharti yeyote hata kama anayetupatia fedha hizo ni shetani. Uraisi ni suala la values na misimamo. Kama mcha Mungu wa kweli ni lazima kuna mambo fulani mtu utakuwa nayo au basi kukupa hofu kiasi fulani. Sipendezwi na mtu ambaye anaweza fanya chochote ali mradi tu, afanikiwe katika mambo yake.Kwa lugha nyingine Raisi ajae hapaswi kuwa msani msanii kama Membe.

(c) Hana maamuzi magumu: Nchi kwa jinsi ilivyo na inavyoenda kwa sasa inatakiwa mtu mwenye uwezo wa kuleta displine katika system. Eti Tanzania nayo ina ugaidi wa ndani, huu ni udhaifu wa kimfumo kutokana viongozi wakuu kufumbia macho  baadhi ya mambo kwa maslahi binafsi. Kwa tunakotaka kwenda Membe ni dhaifu sana  na hawezi kukemea chochote na haswa akijua kundi fulani litampa kura,basi kundi hilo laweza fanya chochote na asifanye kitu. Hebu angalieni watu wanaompigia debe Membe, RidhiOne, Kigangwala,nk, wote ni wasanii sanii tu ambao bado hawajatoshea katika kusimika misngi ya kiinchi labda huko baadae.

(d) Hana historia.  Kiukweli kabisa mpaka hapa tulipo nchi imepitia mambo mengi. Binafsi huwa sipendi mtu kuibukia kona fulani na kutangaza nia ya kuutaka uraisi kwa kisingizio unakerwa na kero za watanzania,lkn hata wakati mmoja hujawahi kuwa suluhisho la kero hizo na ni kiongozi. Membe hapo alipo ni kudra tu za familia ya JK na ndio hao wanataka kuendelea kutuongoza tena kwa mgongo wa Membe,nafikiri watanzania tunayo haki ya kuchagua mwingine tunayedhani ana uwezo wa kutusaidia.  na mengine mengiiiiiiii...NGUPULA.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment