Tuesday 29 July 2014

Re: [wanabidii] CHASO IRINGA TUNATAKA PESA ZA FIELD ZITOLEWE MAPEMA SANA WANAFUNZI WANAANGAIKA

Nimestushwa na hili tamko.kwanza limeandikwa kienyeji, pili zipo
serikali za wanafunzi.
lakini kubwa na baya zaidi ni kujua kuwa kumbe hawa CHASO wakikosa
fedha wasichana hujiuza,wakati wavulana huwa wezi. ndo kizazi kipya
hicho.

On 7/29/14, hosea.ndaki@gmail.com <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
> Jukumu la kuwapatia wanafunzi fedha ikiwepo ada ni la heslb na ni mkopo
> hivyo wanapaswa kuwasiliana na ofisi husika hata hivyo muda wa kuomba mkopo
> ulishapita na anapaswa kuwa field vinginevyo tunaweza sema hawa chaso ni
> wale wanamoshi mahasimu wa dr.chami.
>
> ----------
> Sent from my Nokia phone
>
> ------Original message------
> From: 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, July 29, 2014 10:11:41 PM GMT+0300
> Subject: Re: [wanabidii] CHASO IRINGA TUNATAKA PESA ZA FIELD ZITOLEWE MAPEMA
> SANA WANAFUNZI WANAANGAIKA
>
> Ooh....lakini serikali ya wanafunzi iko wapi kwani hii ndio kazi yao
> Vyama tena?
>
> Jane Mwakalukwa <mwakalukwa@gmail.com> wrote:
>
>>JUMUIYA YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU WANACHADEMA (CHADEMA STUDENTS
>> ORGANIZATION/CHASO) IRINGA
>>July,30 2014
>>
>>
>>TUNAIOMBA SERIKALI KUTOA FEDHA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU.
>>
>>
>>Chadema Students Organization (CHASO) IRINGA.TUNAIOMBA SERIKALI KUTOA PESA
>> ZA MAFUNZO KWA VITENDO (FIELD) KWA VYUO AMBAVYO HAVIJAPATA MPAKA SASA
>> HIVI.NI AIBU KUBWA KWA SERIKALI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KUENDELEZA BUNGE LA
>> KATIBA NA KILA MBUNGE KULIPWA LAKI TATU WAKATI KUNA WANAFUNZI HAWANA PESA
>> ZA KUJIKIMU.
>>
>>
>>TUNAOMBA PESA ZITOKE HARAKA KUEPUSHA:-
>>
>>
>>1. WANAFUNZI WA KIKE KUJIUZA.
>>2. KUEPUSHA WIZI NA TAMAA ZISIZO ZA LAZIMA.
>>3. WANAFUNZI KUSHINDWA KUFANYA MAFUNZO YAO KWA NIA NJEMA NA NZURI.
>>4. KUKOSEKANA KWA UFANISI WA KAZI.
>>
>>
>>NB: NIVIGUMU MWANACHUO KUIAMINI SERIKALI YA CCM WAKATI WANALIPANA POSHO
>> SISI TUNATESEKA MTAANI.TUNAHTAJI SERIKALI INAYOWAJALI WANANCHI WAKE.
>>
>>
>>Imetolewa
>>KATIBU CHASO IRINGA
>>KAMANDA MUSUMI.
>>
>>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment