Wednesday 30 July 2014

Re: [wanabidii] CHASO IRINGA TUNATAKA PESA ZA FIELD ZITOLEWE MAPEMA SANA WANAFUNZI WANAANGAIKA

Comrades;
Kama ni kweli tamko hili ni la Wanafunzi wa Elimu ya juu,kuna kasoro sana katika jinsi ya kupanga points zao na kuweka maana na umuhimu wa tamko lao, binafsi nazani walitakiwa kuweka point za muhimu kwanza na ambazo ni matokeo ya ziada kuwa mwisho.
Point ya 3 ilitakiwa kuwa 1 mana ndio determinant na justification ya kilichowapeleka chuo,namba 4 ingekuwa 2 na zingine kufuata.
Napita tu.
 
Reuben

From: 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, July 29, 2014 11:16 PM
Subject: Re: [wanabidii] CHASO IRINGA TUNATAKA PESA ZA FIELD ZITOLEWE MAPEMA SANA WANAFUNZI WANAANGAIKA

----- Forwarded Message -----

Boxbe This message is eligible for Automatic Cleanup! (wanabidii@googlegroups.com) Add cleanup rule | More info
Ooh....lakini serikali ya wanafunzi iko wapi kwani hii ndio kazi yao
Vyama tena?

Jane Mwakalukwa <mwakalukwa@gmail.com> wrote:

JUMUIYA YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU WANACHADEMA (CHADEMA STUDENTS ORGANIZATION/CHASO) IRINGA
July,30 2014

TUNAIOMBA SERIKALI KUTOA FEDHA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU.

Chadema Students Organization (CHASO) IRINGA.TUNAIOMBA SERIKALI KUTOA PESA ZA MAFUNZO KWA VITENDO (FIELD) KWA VYUO AMBAVYO HAVIJAPATA MPAKA SASA HIVI.NI AIBU KUBWA KWA SERIKALI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KUENDELEZA BUNGE LA KATIBA NA KILA MBUNGE KULIPWA LAKI TATU WAKATI KUNA WANAFUNZI HAWANA PESA ZA KUJIKIMU.

TUNAOMBA PESA ZITOKE HARAKA KUEPUSHA:-

1. WANAFUNZI WA KIKE KUJIUZA.
2. KUEPUSHA WIZI NA TAMAA ZISIZO ZA LAZIMA.
3. WANAFUNZI KUSHINDWA KUFANYA MAFUNZO YAO KWA NIA NJEMA NA NZURI.
4. KUKOSEKANA KWA UFANISI WA KAZI.

NB: NIVIGUMU MWANACHUO KUIAMINI SERIKALI YA CCM WAKATI WANALIPANA POSHO SISI TUNATESEKA MTAANI.TUNAHTAJI SERIKALI INAYOWAJALI WANANCHI WAKE.

Imetolewa
KATIBU CHASO IRINGA
KAMANDA MUSUMI.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment