Thursday 31 July 2014

Re: [wanabidii] URAIS 2015 - MATATIZO YA EDWARD LOWASSA

WIKIPEDIA:
He sought the nomination of Chama Cha Mapinduzi (CCM) as its presidential candidate in 1995 but was eliminated in the early stages single-handedly by the charismatic former President Julius Nyerere, who strongly believed that he was not then correct material for the Presidency.

On Monday, September 9, 2013 11:09:50 AM UTC+3, Yona Fares Maro wrote:
Huyu jamaa ni mpenzi wa mchezo au michezo gani maana sijawahi kumwona kushiriki hata sarakasi zaidi ya harambee , ina maana haoni fursa za watanzania katika michezo ?

On Saturday, September 7, 2013 12:39:31 PM UTC+3, lesian mollel wrote:
mashaka mjadala wako sio kaka' sioni logic ya debate hii

From: Gaudencia Ngetti <gaudenci...@yahoo.com>
To: "wana...@googlegroups.com" <wana...@googlegroups.com>
Sent: Monday, September 2, 2013 1:28 PM
Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 – MATATIZO YA EDWARD LOWASSA

Hoja ni nzuri maana inajadilika. Lowassa kama Mtanzania mwingine yeyote nikiwemo mimi anaweza kugombea Urais na akawa. Hofu yangu Wanabidii ni kwamba si Lowassa anayetaka kuwa Rais na wala si yeye anayejitaja isipokuwa lipo kundi kubwa la mafisadi nyuma yake inayotaka kumuingiza si kutumikia wananchi, na kama ni kutumikia wananchi basi hiyo itakuwa ni surplus tu lakini agenda ni kuendeleza ukwapuaji wa rasilimali za umma kwa gharama za wasakatonge wa wavuja jasho. Tuko zaidi ya 20 milioni watu wazima, tujichunguze, tupapase hadi tumpate Rais afaaye 2015, mpo hapo/

From: Mashaka Mgeta <mget...@yahoo.com>
To: "wana...@googlegroups.com" <wana...@googlegroups.com>
Sent: Monday, September 2, 2013 11:20 AM
Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 – MATATIZO YA EDWARD LOWASSA

Lucas Haule. Habari za siku?

Mimi nadhani si sheria, bali makubaliano ya pamoja ndani ya vyama husika.

Pili kuhusu kuwajua wagombea urais ni muhimu hata mimi ninaamini hivyo, na niliwahi kuandika hata kwenye safu za magazeti. Lakini hii hoja ya Maro bado sioni kama ina umuhimu.

Hebu soma maneno niliyoyawekea rangi nyekundu katika paragraph ya mwisho aliyoiandika halafu niambie utajibu nini! ninainukuu:

Pamoja na mazuri yote aliyonayo kama kiongozi bado kuna yale
mengi tusiyajua  kama kiongozi tunapenda tufahamishane wewe
kama Mtanzania unaona matatizo gani ukumtazama Edward
Lowassa , ukimsikia au ukisoma kuhusu yeye.

From: lucas haule <kisac...@yahoo.com>
To: wana...@googlegroups.com
Sent: Monday, September 2, 2013 3:06 AM
Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 – MATATIZO YA EDWARD LOWASSA

Sheria ya baadhi ya vyama zimewakataza wenye nia ya kugombea kujitangaza kabla ya wakati.
Nyerere alisema ni vyema tuwafahamu mapema kusudi tupate muda wa kuwatambua.
Mashaka Tubebelipi katika hayo?
--------------------------------------------
On Mon, 9/2/13, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 – MATATIZO YA EDWARD LOWASSA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, September 2, 2013, 2:42 AM

Nafikiri Yona yuko sahihi
maana hapa tunajadili issues lakini issues zenyewe ziko
connected na wasifu wa mtu. Kwenye jukwaa hili
tumekwishawajadili wengi tu akiwemo Dr. Slaa, Zitto nk.
Hawakujadiliwa kwa sababu walitangaza nia ya kugombea urais
la hasha. Ni swala la kubrainstorm nani hasa anafaa
kuliongoza taifa letu hapo mbeleni. Kimsingi ni kujaribu
kuangalia taifa letu linahitaji nini na nani haswa anaweza
kutusaidia kufikia malengo yetu. Hakuna sababu ya kuwa na
woga wa kujadili haya. Inawezekana wapo watu wazuri sana na
wanafaa kuwa viongozi wetu lakini wao hawajijui, tukiwajua
ni swala la kwenda kuwaomba wagombee. Si kila mtu anayependa
kuwa kiongozi ana sifa za uongozi, wapo wasiopenda kuwa
viongozi lakini wanazo sifa.

2013/9/2 Mashaka Mgeta
<mgeta2000@yahoo.com>

Yona Maro

kwa nini tumjadili Lowassa kuhusu Urais ambao na wewe
umeandikwa 'anatajwa'. Tuambie kwanza
'anatajwa' na nani?

Pili, tunafikia mahali pa kumjadili mtu katika taifa lenye
changamoto nyingi zinazohitaji michango ya watu kama
unaowauliza swali hilo ambalo binafsi (niwie radhi kwa hili)
naliona halina mantiki yoyote.

Mzee Joseph Butiku, aliwahi kuzungumza kwenye mjadala mmoja
katika ukumbu wa Nkurumah, UDSM, akasema, "Kiongozi
bora ataonekana kwa maneno na matendo yake, akijiibua
kupitia njia hizo na umma kumuona anawafaa pale Uchaguzi
Mkuu unapowadia."

Hapo alikuwa akijibu hoja iliyotolewa siku hiyo na January
Makamba, aliposema Rais wa 2015 asiwe aliyezaliwa nyuma ya
1961 (mwaka Tanganyika ilipopata Uhuru), akimaanisha awe
kijana.

Sasa wewe tukishayajadili mema ama mabaya ya Lowassa,
  ili iweje? Asipogombea ingawa anatajwa, mjadala huu utakuwa
na maana gani?

Ninashauri Lowassa aachwe atekeleze wajibu wake kwa umma
kama wengine wanavyofanywa, ili siku itakapofika, avune kwa
kadri ya mbegu alizozipanda. Ndivyo inavyotustahili wote.

Mashaka Bonifas Mgeta

      From: Yona Fares Maro
<oldmoshi@gmail.com>
  To: wanabidii@googlegroups.com

  Sent: Monday,
September 2, 2013 1:43 AM
  Subject:
[wanabidii] URAIS 2015 – MATATIZO YA EDWARD LOWASSA
 
Ndugu zangu ,
Mhe Lowassa ambaye ni waziri mkuu wa zamani wa
Tanzania ametajwa mara kadhaa kutaka kugombea urais wa
Tanzania kupitia CCM .

Pamoja na mazuri yote aliyonayo kama kiongozi bado kuna yale
mengi tusiyajua kama kiongozi tunapenda tufahamishane wewe
kama Mtanzania unaona matatizo gani ukumtazama Edward
Lowassa , ukimsikia au ukisoma kuhusu yeye ?

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment