Mzuri;
Bado, binafsi sina jibu la ndio au hapana kwa maana ni mapema mno,ngoja wakati ufike wote wenye nia watakapokuwa wamejitokeza ndipo Watanzania wote tutakuwa na nafasi ya kufanya uchambuzi na kuwapima na kutoa maamuzi ya maswali yako.
Kwa sasa maswali yako yote hayajibiki, bado usubui.
Reuben
From: Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, July 30, 2014 11:43 AM
Subject: [wanabidii] URAIS 2015 - John White Winston
John White Winston: ni Mtanzania ambaye asili yake ni Amerika. Wazazi wake wote wawili ni Waamerika weupe, na wamekuwa wakiishi nchini tangu mwaka 1967.--Alizaliwa mwaka 1970 jijini Dar Es Salaam, na kuanza shule ya msingi Oysterbay kati ya mwaka 1978 na 1982.Aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Shaaban Robert kati ya mwaka 1983 na 1987, na kati ya 1988-1989 alihitimu masomo yake. Baada ya elimu ya sekondari, alijiunga na chuo cha Havard nchini Amerika na kupata degree yake ya sheria kati ya mwaka 1991-1994.Kwa sasa ana kampuni yake inayotoa msaada na ushauri wa kisheri. John White Winston, wa kufikirika, imethibitika kuonesha nia ya kugombea Urais ktk Uchaguzi Mkuu ujao, kupitia chama ambacho kwa sababu maalum jina lake limehifadhiwa. Je, unafikiri nini kwake kinaweza kuwa kikwazo.
Je, wewe binafsi upo teyari kumpa nafasi ya kuwa Kiongozi wa juu kabisa hapa Tanzania?
Kama ndio, kwa nini?
Kama hapana, kwa nini?
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment