Sgn. Isaac asante kwa ufafanuzi tulikuwa tumeshapelekwa chaka na wapuuzi wa jf. Hii iwe role model kwa watumishi wa umma, hebu tuwekee list ya hayo majina 70 tukate mzizi wa fitina.
----------
Sent from my Nokia phone
------Original message------
From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 29, 2014 11:28:17 AM GMT-0700
Subject: Re: [wanabidii] AJIRA ZA UHAMIAJI ZASITISHWA KUTOKANA NA UPENDELEO
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
TAARIFA KWA UMMA
TAARIFA YA KUSITISHWA KWA AJIRA ZA KONSTEBO NA KOPLO WA UHAMIAJI
ILIYOTOLEWA JANA NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI HAIHUSIANI NA AJIRA 70
ZILIZOTOLEWA KWA NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI
Baadhi ya Vyombo vya Habari leo tarehe 29 Julai, 2014 vimeandika kwa makosa
kuwa ajira za Uhamiaji zilizositishwa jana zinahusiana na 70 zilizopatikana
baada ya usaili uliofanyika katika Uwanja wa Taifa.
Ukweli ni kuwa usaili wa nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji ambao awali
ulianzia Uwanja wa Taifa ulienda vizuri hadi wakapatikana wasailiwa wa
kujaza nafasi 70 za Mkaguzi Msaidizi wa
Uhamiaji. Zoezi hilo halikuwa na matatizo yoyote, na waliochaguliwa
walitakiwa kuripoti kazini tarehe 29 Julai lakini kwa sababu ya Sikukuu
sasa wataripoti baada ya sikukuu.
Hivyo tunapenda kufafanua kuwa wasailiwa waliochaguliwa kujaza nafasi 70 za
Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji hawahusiki na usitishwaji uliotangazwa jana na
wanatakiwa kuendelea na mipango ya kuripoti kazini kama ilivyotangazwa hapo
awali.
Wasailiwa wanaohusika na kusitishwa kwa ajira zao ni wale waliokuwa
wameshiriki katika zoezi la kuajiri Konstebo na Koplo wa Uhamiaji ambao
idadi yao ni 200, ambao walitakiwa kuripoti tarehe 06 Agosti, 2014 lakini
kwa sasa hawa ndio wanaelekezwa wasubiri hadi hapo watakapopewa maelekezo
mengine.
Sgn
Isaac J. Nantanga
MSEMAJI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
29 JULAI, 2014
On Monday, July 28, 2014 8:21:25 PM UTC+3, Abdalah Hamis wrote:
>
> TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA WATANZANIA WOTE
>
> Ndugu Watanzania
>
> Asubuhi ya leo tarehe 28 Julai 2014 nilitoa taarifa maalumu kwa vyombo vya
> habari nikiitaka Serikali kutolea ufafanuzi malalamiko yaliyojaa kwenye
> mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari. Asante Mungu kwamba
> Serikali imetolea majibu jambo hili kwa kusitiza ajira zote.
>
> Rejea taarifa yangu kwa vyombo vya habari niliyoitaka Serikali kutoa
> majibu katika
> suala hili asubuhi ya leo tarehe 28 Julai na nakala yake kutumwa katika
> ofisi mbalimbali za Serikali.
>
> Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali kwa kuwa sikivu katika hili na
> huenda katika mengi yajayo, kama Rais Mtarajiwa wa Tucta baada ya uchaguzi
> unaotarajiwa kufanyika Agosti 4-5 Dodoma, naahidi kushirikiana na Serikali
> hasa kama itakuwa sikivu.
>
> Nahitaji kupatiwa majibu pia juu ya hatima ya mabaamedi wanaolazwa chumba
> kimoja zaidi ya kumi tena siyo katika vitanda, bali zaidi huwa wanalala
> chini; wanafanyakazi hadi usiku, wengine wanakoishi ni mbali na baa, hoteli
> nk.
>
> Nahitaji kuona kero za walimu, wafanyakazi wa Serikali za Mitaa, madini,
> simu, kilimo, utafiti afya, mawasiliano, reli, bandari nk zinakomeshwa; Ni
> aibu hadi leo kuna walimu wanapoanza kazi wanalala kwa walimu wakuu
> wakisubiri kupatiwa sehemu za kuishi, ni aibu hadi leo mwalimu anafanyakazi
> kazi miezi sita inapita hakuna mshahara anaolipwa…hatuwezi kwenda hivi, ni
> lazima majibu yapatikane.
>
> Wafanyakazi wa Tanzania tunapaswa kuimba nyimbo zingine, siyo za kero zile
> zile kila kukicha. Naamini yote yanawezekana, cha msingi ni kwa Serikali na
> waajiri kusimamia kwa haki mambo yote juu ya wafanyakazi. Hakuna
> lisilowezekana tukipigania haki.
>
> Imetolewa leo Julai 28, 2014
> na Dismas Lyassa
>
> (Mgombea Uraisi TUCTA)
> 0754 49 8972/0712183282
>
> On Monday, July 28, 2014 6:47:28 PM UTC+3, Magafu GMD wrote:
>>
>> Bongo ni bongo kweli kweli. Zile mbwembwe zote zilizosifiwa kuwa ni uwazi
>> wa hali ya juu kumbe ni kiinimacho tu! Na hata huu uchunguzi waweza kuwa
>> mbwembwe nyingine tu. Bongo chochote chawezekana! Haya yetu macho.
>>
>>
>> On Mon, Jul 28, 2014 at 5:12 PM, Abdalah Hamis <hami...@gmail.com> wrote:
>>
>>>
>>> <https://lh5.googleusercontent.com/-fXfTJaJSVd4/U9ZoThmUZTI/AAAAAAAAAQw/cYNGn2yZyMg/s1600/10544354_10204170594532507_3737013383164467034_n.jpg>
>>>
>>>
>>> On Monday, July 28, 2014 3:47:54 PM UTC+3, Kilasara Fratern Kilawe wrote:
>>>>
>>>> This is too late a measure! Such, should have happened five years ago!
>>>>
>>>>
>>>> On Mon, Jul 28, 2014 at 2:02 PM, Yona Fares Maro <oldm...@gmail.com>
>>>> wrote:
>>>>
>>>>> Taarifa zinasema Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani , Mbaraka Abdul wakil
>>>>> amesitisha ajira za uhamiaji kutokana na tuhuma za upendeleo
>>>>>
>>>>> --
>>>>> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>>>>>
>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>> Disclaimer:
>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>> ---
>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>> an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>> --
>>>>
>>>> *----------------------- Fratern Kilasara,*
>>>> P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
>>>>
>>>> *Dar es Salaam - Tanzania.*Telephone (Office): +255 (0)22 2700021/4
>>>> Ext No. 239; Fax: +255 (0)22 2775591
>>>> Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
>>>> Emails: kilasara...@gmail.com or kilasara...@yahoo.com
>>>>
>>> --
>>> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>>
>>
>>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment