Naona tuanzishe chama cha wamiliki wa magari binafsi tupate pa kusemea, na tuwe na kauli moja au munaonaje? Mie niko tayari mie niko tayari kugharimia usajili, tumechoka kuwa mitaji ya watu.
----------
Sent from my Nokia phone
------Original message------
From: 'peter sikalumba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 1, 2014 4:37:08 AM GMT-0700
Subject: Re: [wanabidii] Tahadhari kwa Waegeshao Magari Jijini Dar
Kiukweli hawa JAMAA ni Washenzi na ni Wapuuzi Wakubwa tena Wasiojua hata Chembe ya Sheria za Barabarani zaidi sana Wanaongozwa na Rushwa. Mimi tarehe 26 June, 2014 majira ya saa Kumi Kasorobo nimekamatwa maeneo ya TAZARA nikiwa nimeongozana nao, ghafula nikapigia Simu nikiwa bado nimefunga Mkanda, gari inaunguruma nilipaki mbele kidogo ya kituo cha daladala na kupokea simu. Walivyoona nimeindikate kuwa nataka kupaki ghafula na wao wakaja mbele yangu wakatoa rock ya mlango kwani kioo kilikuwa kimeshushwa na kuingia kwenye gari yangu mithili ya Majambazi kiasi kwamba hata mimi mwenyewe niliogopa nikijua ni Majambazi.
Baada ya kuingia kwenye gari yangu ndipo walianza kujieleza na kunipa maelezo kuhusu uegeshaji wa magari sehemu zisizoruhusiwa, jambo ambalo mimi sikukubaliana nalo kwa kuwa mimi nilikuwemo kwenye gari ikiwa haijazimwa na nilikuwa nimeongozana nao wala sikuwa nimeegesha gari yangu kama walivyodai. Tulisumbuana na hawa Jama kwa zaidi ya masaa mawili huku wakiwa hawataki kunionyesha Ofisi yao iko wapi zaidi ya kunitaka niongozane nao kwenda mahali wanakokujua wao. Niliwaambia kuwa kama wao wanafanya Kazi yao kwa Mujibu wa Mkataba basi Waniandikie Notification ili nikalipe kutokana na hasira nilizopata, usumbufu na kila aiana ya karaha. Hawa vijana ni wadogo sana, kiukweli hawatafika mbali.
Kwa hakika kama TANROADS ndiyo wameingia Mkataba nao basi wanapaswa kujitathimini kwa kuwa kinachofanyika na hao Wahuni hakikubaliki.
Regurds
--------------------------------------------
On Sat, 6/28/14, 'LIBERATA ALPHONCE' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Tahadhari kwa Waegeshao Magari Jijini Dar
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, June 28, 2014, 1:23 PM
Mhhh Sina uhakika kama ni TANROADS
nadhan ni watu wa jiji na Halmashauri za Manispaa. Na
wanawalazimishia watu makosa. Mfano wewe uliyepelekwa Wazo,
ofisi ya TANROADS mkoa ni moja tu huko walikupeleka gereji
bubu labda. Anyway tuwe makini njaa zinawafanya watu watende
dhambi kweli
Regards
--------------------------------------------
On Sat, 6/28/14, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Tahadhari kwa Waegeshao Magari
Jijini Dar
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, June 28, 2014, 12:16 PM
Bajeti binafsi na siyo ya
Serikali
On Jun 28, 2014 10:12
PM, "'Lilian R. Kallaghe' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Ni katika kufidia deficit ya budget au?!?
Sent from my iPad
On Jun 28, 2014, at 3:02 PM, "'Lutgard Kokulinda
Kagaruki' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Nico,
"Wrong" parking ni kosa la usalama barabarani;
lakini kama ilivyoelezwa hapo chini, hawa jamaa nia yao ni
rushwa tu!!
Mwenyewe
nilikamatwa si zamani pale Tegeta, nimeingia
Postal Bank ambayo haina parking, na nikaona kuna
nafasi ya
kutosha, tena nikacheki vizuri, hakuna alama ya "No
parking", hivyo nikajua niko salama! Sijakaa sawa,
askari akauliza nani mwenye gari fulani, nikajitambulisha;
nikaambiwa nimepaki vibaya na faini ni Sh 200,000/=!!
Nikauliza, alama ya "no parking" iko wapi"
Nikaambiwa ilikuwapo lakini ilitolewa wakati wa kujenga
barabara!! Nikauliza, sasa mimi ningejuaje? Nikaambiwa,
dereva yeyote anapashwa kujua! Nikaambiwa ingebidi niwashe
taa za "hazard" Na hizo ni sehemu siku chache tu
nyuma watu walikuwa wanapaki bila taabu.
Binafsi sikumbuki kufunzwa kitu kama hicho wakati
nikifundishwa udereva miaka ile, nami "nilisoma"
haswa udereva! Basi mmoja kaingia kwenye gari langu na
kudai
elfu themanini kama sitaki kupelekwa TANROADS!!
Nikawaambia
sina hiyo hela!! Wakagang'ania lazima nilipe!
Nilipokataa, wakaamua kunipeleka TANROADS Wazo! Kule
nikakuta "wahuni" wengine, nao wanataka hongo!!
Nikakuta magari kibao yaliyoletwa hapo. Nako nikakomaa
sina
hela! Baada ya muda mrefu, nikapelekwa kwa "bosi",
kijana mdogo tu, akajaribu kunisemesha "vizuri kwa
upole" na kunieleza kwa nini nilipe hiyo pesa;
nikagang'ania sina; mwishowe akasema nitoe kile kidogo
nilicho nacho! Nilishajichokea, nikaamua kutoa hicho
"kidogo", nikajiondokea kwa hasira nyingi
sana!!
Ni wahuni tu wezi hao, wala si swala la usalama
barabarani!!
Nilijaribu kujiuliza, hivi kwa siku wanatengeneza shilingi
ngapi?? LKK
On Saturday, June 28,
2014 9:19 AM, Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com>
wrote:
Hivi "wrong parking" sio kosa la
usalama barabarani?
Naomba nijuzwe waungwana.
On Jun 28, 2014 10:28 AM, "'lesian mollel'
via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
jana
nilinusuruka mitaa ya mori...ni hatari sana na sijui
kwanini
operation kama hizi zinakuja hadi mtaani
Wamekosa
za mjini au hazijawatosha
On Friday, June 27,
2014 12:31 PM, Bariki Mwasaga
<bmwasaga@gmail.com>
wrote:
Kutoka kwa Taji Liundi
TAHADHARI: Inanisikitisha sana kuandika tahadhari hii
kwenu
rafiki
zangu. Haistahili kuwa tahadhari. Lakini SASA HIVI katika
mitaa
mbalimbali jamaa zetu wa TANROADS wanapita kukamata na
kupiga FINE
magari yaliyoegeshwa "vibaya".
Fine ni Tsh 220.000.
Hili ni
tatizo kubwa sana na RUSHWA inafukuta kwenye zoezi hili.
Mtanzania wa
kawaida HAWEZI kulipa kiasi hicho kama ameegesha KANDO YA
BARABARA zetu
za kawaida, mfano pale Sinza Palestina.
Hao jamaa wanadai inabidi uwe umewasha TAA ZA
TAHADHARI NA
UWEKE TRIANGLE.
Sawa. Lakini si kawaida kabisa na zoazoa yao leo ni
hatari.
Wanatembea na Noah kubeba madereva/abiria
waliokamatwa.
MAONI YANGU: Tusinyanyasane! Sio uungwana. Wananchi
tunasota ile mbaya. Huko mitaani tunahangaika kujikwamua
kiuchumi.
TANROADS kama Wakala wa Serikali inatakiwa ITOE
MATANGAZO
YA ELIMU KWA
UMMA KABLA YA KUCHUKUA HATUA ZA KISUMBUFU NA KIHALIFU KWA
KUCHOCHEA
RUSHWA(wanakubali hadi Tsh 60/70elfu ukiongea nao).
Kwa kawaida,
wangetakiwa wapite hata na PA watangaze: "Ndg wananchi
katika eneo hili,
mnaombwa kuegesha magari yenu kwa utaratibu huu
kandokando
ya barabara
kuu. Hakikisha umewasha taa za dharura na weka Triangle
mita...nyuma ya
gari".
Hii ingeondoa usumbufu wa KUMWELEKEZA kila mkosaji.
Tumieni TBC!! RADIO Uhuru nk. Ombeni Matangazo ya
kijamii
kwenye Radio binafsi.
Kinachotokea ni shambulio la kihalifu kwa WaTanzania
wasio
na hatia.
Kwa mara nyingine tena naandika kuhusu uendeshaji mambo
KIHOLELA.
Uholela huu unanyanyasa waTanzania.
Marafiki zangu humu mlio na wadhifa na uwezo wa
kufwatilia
hili..fanyeni hivyo. Mtagundua nazungumza UKWELI!!
Sijapendezwa!
Eneza TAHADHARI hii.
--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment