Sunday 1 December 2013

RE: [wanabidii] Sera Ya Gesi

Jesse, mpeleke Yona taratibu. Tatizo lake huyu, hajaelewa maana ya hicho anachokipigia debe na ukweli wa kinachotakiwa kiwe. Ina maana Sera hajaisoma. haijuwi kamwe. Anajadili nini sasa kama hajaisoma? Tatizo kubwa.

Ukishasikia Waziri wa Nishati anasema Wafanyabiashara wa Tz ni wababaishaji wasioweza kutegemewa kuwekeza kwenye uchimbaji gesi, ujuwe lipo tatizo kubwa vichwani mwa walio ktk CABINET. Lipo tatizo hata kwa Rais mwenyewe, mkuu wa Cabinet. Akishawishiwa nao kwa kumleta mtaalamu mwelekezi anasikiliza kila kitu. Anaingia mtegoni.

Wote hawajuwi au wanadharau ukweli kwamba huko China, Uingereza, Ujerumani, Australia, Brazil, Italia na Ufaransa, na ziko nchi nyingi, wanaotoka kwenda kuwekeza Afrika, au Asia au Latini, wanapewa pesa za kuwawezesha kuwekeza. Wanakopeshwa, wanapata ruzuku. Wenzetu wameweka mifuko ya kusaidia raia wanaotoka kutafuta utajiri ugenini. Sisi tunafanya mzaha tu kudharau watu wetu.

Ngoja Singapore hao wanakuja kuchimba gesi. Tutaona mambo.

Wakubwa wetu wanaona wakimruhusu Mtanzania kupata sauti ktk uchimbaji gesi ataona siri zilizomo ktk biashara hii, atakataa kudanganywa na kulaghaiwa, atakataa kuhonga washenzi. Sasa wacha tuliwe na wageni wasioipenda nchi isipokuwa kwa pale wanapoona watapata manufaa wao.

Kwa attitude hii ya wakubwa wa serikali yetu, tutaishia kunawa, kula watakula wageni.
Ila ni wao wakubwa watakuja kujibu kwanini waliruhusu dhulma kwa watu wetu.

Natoka.

Jabir+

--------------------------------------------
On Sun, 12/1/13, Jesse Kwayu <jessekwayu@gmail.com> wrote:

Subject: RE: [wanabidii] Sera Ya Gesi
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, December 1, 2013, 12:08 AM

Yona suala hapa siyo kulima
mboga, kujenga hoteli, kutandaza bomba na kila unachoweza
kutaja. Hapa kinachogomba ni ownership ya gesi mzee. Nani
anamiliki nini katika hazina hii. Kama hukumbuki ni kama
madini tu. Nani anamiliki madini? Tangu mgodi wa kwanza
mkubwa wa dhahabu ulipoanza miaka ya 90 nani anayemiliki
nadhshabu hii je, yamevusha uchumi wetu kwa kiwango gani,
umasikini wetu umepuguaje? Hivi wingi wa dhahabu katika nchi
una uhusiano wowote na thamani ya sarafu ya nchi husika kwa
maana hiyo uchumi? Hivi kidogo kidogo ndiyo nini hasa? Kwa
nini sera iwe kidogo kidogo?  Si itamke tu juu ya nafasi ya
wazawa. Kwa nini serikali nayo isiende kidogo kidogo kugawa
vitalu vipya bila sera mpya bila sheria mpya. Tuache
kupumbuzana kwa majibu mepesi kama ya Yona.

On 1 Dec 2013 08:30,
"Herment Mrema" <hmrema11@hotmail.com>
wrote:

Mr. Maro

Samahani sana sio kuwa sikubalini na uliyosema lakini
nilichotaka kuuliza ni JE SERA HII YA GESI INAWASHIRIKISHA
WANANCHI WAZALENDO KUANZIA UTAFUTAJI, UCHIMBAJI,
USAFIRISHAJI, UHIFADHI NA UUZAJI WA JUMLA?.

Nisingependa mtaji ukuwa ni tatizo kwani tuna uwezo wa
kukusanya mitaji kutoka kwa watanzania hata kwa kuandikisha
kampuni kwa ajili hiyo na tukauza hisa kwa Watanzania.
Ninaamini kuna watanzania watakuwa tayari kununua hisa na
wakasubiri miaka 5 kabla ya kupata gawio na wakaridhika.
Tungependa kuwa wabia kwenye kampuni hizi za wageni

Kinachotakiwa ni Sera ambayo itawapa fursa sawa watanzania
na wageni kama hatutaki ubaguzi.

Ahsante

Mrema

Date: Sat, 30 Nov 2013 07:37:53 -0800
Subject: Re: [wanabidii] Sera Ya Gesi

From: oldmoshi@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Ndugu Mrema ,

Nilikuwa maeneo ya kusini mwa Tanzania haswa
maeneo ambayo bomba la gesi litapita au kutakapokuwa na
shuguli haswa za mambo ya gesi .
Nimefurahishwa kuona jinsi wananchi
wanavyoshirikishwa japo kwa kiwango kidogo ila tunazidi
kusonga mbele tutafika kidogo kidogo , haya mambo
tusiharakishe sana , twendeni taratibu ili mradi ni wananchi
wanaofaidika zaidi maana kwenye biashara nzima ya mambo ya
gesi unahitajika utaalamu ambao sisi hatuna tunatakiwa
kwenda kusomesha watu wetu kitu kitakachochukuwa miaka
kadhaa , tujenge miundo mbinu ambayo ndio inajengwa sasa
kama mahoteli , mabarabara , shule , hospitali na huduma
nyingine mbalimbali ambazo sasa hivi zinajengwa ingawa
kidogo kidogo ile hali ya vurugu ilichangia kutisha watu
.

Mimi ninachosema kila mtanzania anafursa ya
kushiriki kwenye hili suala la gesi kama kuna madaktari
wataweza kwenda kutoa huduma za kitabibu , kwa wakulima
walime chakula kizuri na cha ubora watauza kwenye maviwanda
na mahoteli yatakayojengwa , kwa watu wa IT kama sisi
tufungue kampuni na kwenda kupata mafunzo zaidi
yanayohusiana na gesi , kwa walimu vile vile watafundisha
kila mtu atatumia utaalamu wake kulingana na kile
alichojifunza au anachojua .

2013/11/29 Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>

Ndugu Wanabidii,

Nimemsoma Reginald Mengi akisemea kupitia gazeti la
Mwananchi la leo kuhusu sera ya Gesi. Mimi binafsi ninakiri
kuwa anachosema kuhusu ushirikishwaji wa wananchi kina
maana. Je Sera ya Gesi iliyozinduliwa hivi karibuni ina
manufaa kwa Wazalendo kama ndio kwa vipi kama sivyo kwa
vipi? Je tunahitaji Sera mbadala ambayo itaeleza bayana
kwamba wananchi watashiriki kwenye shughuli za gesi kuanzia
utafutaji, na uchimbaji, usafirishaji, uhifadhi na uuzaji
jumla?

Naomba michango yenu ili tuweze kujenga hoja kwa Serikali
yetu ambayo tunaamini ni sikivu.

Ahsante

Herment A. Mrema

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Find Jobs in
Africa Jobs in AfricaInternational Job
Opportunities International Job Opportunities

Jobs in
Kenya Jobs in Kenya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment