Monday, 30 December 2013

Re: [wanabidii] BAADHI YA VITU VILIVYOMO KWENYE RASIMU YA KATIBA

Asante sana kwa taarifa, hujaganikiwa kupata softcopy?

On Monday, December 30, 2013, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
> Rasimu ya Katiba hii ni ndefu kuliko ya kwanza ina ibara 271 ya kwanza ilikuwa na ibara 240 
> -wananchi wametoa maoni mazito kuhusu uongozi na utawala bora
> -lugha ya kiswahili lugha ya taifa.
> -Madaraka ya Rais yamepunguzwa.
> -wabunge wasiwe mawaziri
> -kuwe na ukomo wa wabunge
> -wananchi wawajibishe wabunge 
> -spika/naibu wasiwe wabunge wala viongozi wa juu wa vyama vya siasa.
> -kuwepo na jeshi moja la Polisi na Usalama wa Taifa.
> MUUNGANO
> 39000 walitoa maoni kuhusu muungano Tanzania Bara,na karibu wote wa Zanzibar walitoa maoni kuhusu muungano
> -Taasisi nyingi zilipendekeza serikali tatu.
> Malalamiko upande wa zanzibar
> Serikali ya Tanganyika imevaa koti la Tanzania
> -mambo ya muungano yamekuwa yakiongezeka
> -kumuondoa rais wa Zanzibar kuwa Makamu wa Rais
> Malalamiko Tanzania Bara.
> -Zanzibar imebadili katiba yake na kuchukua madaraka ya Jamuhuri ya Muungano
> -Wananchi wa Tanzania Bara kutokuwa na haki ya kumiliki ardhi Zanzibar
> Mambo mengi ya Muungano yamebadilishwa bila kufuata Katiba.
> TUME IMEPENDEKEZA MUUNDO WA MUUNGANO UWE WA SERIKALI TATU
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Ipyana Lwinga
Email:    ipyanalwinga@gmail.com

"Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment