Sunday 29 December 2013

[wanabidii] Re: MAANA YA SANDA ILIVYOTUMIKA HAPA

Abdalah,

Siijui sanda wanayotumia Waislamu, lakini ninachoweza kusema kwenye swali lako ni kuwa hapo vinavyozungumziwa ni vitambaa ambavyo vilitumika kuusitiri mwili wa Yesu kwa mujibu wa taratibu/tamaduni za Wayahudi walioishi enzi hizo. Kwamba nguo hizo zilikuwa za materials gani sijui, ila najua zilikuwa ni kwa matumizi hayo, and that matters most.

Amani iwe nawe.



On Sunday, December 29, 2013 2:42:06 PM UTC+3, Abdalah Hamis wrote:
Yohana 20

4. Akainama na kuchungulia, akaona vitambaa vya sanda vimelala; lakini hakuingia.

5 Basi akaja na Simoni Petro, akaingia ndani ya kaburi; akavitazama vitambaa vilivyolala,
6. na ile leso iliyokuwako kichwani pake; haikulala pamoja na vitambaa, bali imezongwa-zongwa mbali mahali pa peke yake.

NAOMBA KUFAHAMU. MAANA YA SANDA ILIVYOTUMIKA HAPA. JEE NI KAMA HII WANAYOTUMIA WAISLAM WANAPOZIKANA?LESO NDIO KITAMBAA KINOCHOWEKWA KICHWANI ?

Naomba Kujua tu na sio kutumia matusi. kama hujui wapo wanaojua waachie na wengine tupate Elimu. Kama muislam hujui acha kuchangia usipate dhambi na usiharibu.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment