TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI WA UPATIKANAJI WA DAWA ZA KUPUNGUZA MAKALI YA VIZURI VYA UKIMWI (ARVs) NCHINI

Bohari ya Dawa (MSD) inapenda kuufahamisha umma wa Watanzania kuwa hali ya upatikanaji wa daw za kupunguza makali ya Virusi vya UKMWI ni nzuri na ni ya kuridhisha.
Kuna baadhi ya wananchi wamekuwa wakilalamikia kuadimika kwa dawa za Triomune 40, Triomune 30 na Atripla. Ufafanuzi
juu ya dawa hizi ni kama ifuatavyo:
Dawa ya Triomune 40 ambayo ina machanganyiko wa Stavudine 40mg + Lamivudine 150mg + Nevirapine 200mg ilishaondolewa kwenye mzunguko mwaka 2007/2008 kutokana na sababu za kitaalam. Mojawapo ya sababu zilizotolewa ni kuleta madhara kwa watumiaji ikiwa ni pamoja na ganzi (Peripheral neuritis).
Daw ya Triomune 30, yenye mchanganyiko wa Stavudine 30mg + Lamivudine 150mg + Nevirapine 150mg imekuwa inatumiwa kwa wingi hadi mwanzoni mwa mwaka huu (2013).
Kwa sasa dawa zote zenye kiambata cha Stavudine zinaondolewa kwenye mzungunko kutumika, kulingana na maelekezo yaliyotolewa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii na Shirika la Afya Duniani (WHO).
Dwa ya Atripla ambayo ni mchanganyiko wa Tenofovir 300mg + Emtricitabine 200mg + Evavirenz 600mg, ni mojawapo ya dawa mbadala ya zile zilizotajwa hapo juu. Dawa hizi zipo za kutosha katika kanda zote tisa za Bohari ya Dawa na usambazaji unaendelea katika vituo vya kutolea huduma kama kawaida.
Aidha, upatikanaji wa dawa za aina nyingine pia ni mzuri wa kuridhisha.
Kwa taarifa hii tunawataarifa watoa huduma hii muhimu wafike katika bohari zetu kupata dawa hizi kwa utaratibu wa kawaida.
Taariaf hii imetolewa na:
Isaya Mzoro
KAIMU MKURUGENZI MKUU
BOHARI YA DAWA (MSD)

Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment