Saturday, 28 September 2013

RE: [wanabidii] Hizi zitakuwa Barabara za Mwendo Kasi au Mwendo Balaa?

Felix,

Ingefaa mradi huu ukaanza kuwaelimisha umma kwa kila step ili tuwe na imani na mradi huu.  Kwenda ofisi za Dart, haitoshi.

Ahsante

Date: Sat, 28 Sep 2013 13:39:47 +0700
Subject: Re: [wanabidii] Hizi zitakuwa Barabara za Mwendo Kasi au Mwendo Balaa?
From: mwema.felix@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

---------- Forwarded message ----------
From: <makulilo@yahoo.com>
Date: 2013/9/28
Subject: Re: [Engineers] Hizi zitakuwa Barabara za Mwendo Kasi au Mwendo Balaa?
To: Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>

Felix na wengine, jaribuni kwenda kwenye Ofisi za Dart, Strabag au SmEC mtapata majibu ya maswali yenu, sidhani kwa civil works ambayo iko almost 30 percent ya physical works kuweza kuona the final product.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

-----Original Message-----
From: Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>
Sender: "Engineers" <engineers-bounces@iet.co.tz>
Date: Sat, 28 Sep 2013 11:26:21
To: Mailing List<engineers@iet.co.tz>
Cc: Herment Mrema<hmrema11@hotmail.com>
Subject: [Engineers] Hizi zitakuwa Barabara za Mwendo Kasi au Mwendo Balaa?

_______________________________________________
Engineers mailing list
Engineers@iet.co.tz
http://iet.co.tz/mailman/listinfo/engineers_iet.co.tz

2013/9/27 Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
Nimenangalia kazi inayofanywa na hii kampuni ya Kijerumani ya kujenga barabara za mwendo kasi lakini nimeshindwa kupata majibu yafuatayo:

1.    Wasafiri wataingiaje na kuondoka kituoni cha mabasi? Itabidi waruke barabara za mwendo kazi, barabara za magari ya kawaida na barabara za baiskeli na waenda kwa miguu.  Swali usalama wao uko wapi hapa? na kuvuka kwao hakutafanya magari yasimame ili wasafiri wanaoingia kituoni waingie na kutoka?.  Je hii haitafanya ile nia ya kuwa na usafiri wa mwendo kasi kuwa mwendo polepole na kusababisha ajali?

2.  Barabara za kuingia na kutoka mjini zimejengwa kupitisha gari moja tu. Je itakuwaje gari likiharibika katikati ya njia.  Litavutwa mpaka kituoni au litatengenezwa papo kwa hapo? Je hii haitasababisha mwendo kasi kuwa mwendo polepole?

3.   Sijaelewa magari ya mwendo kasi yatakuwa juu usawa wa kituo ili wanaoingia na kutoka iwe rahisi kwao?.

4.   Je walemavu na watumia baiskeli za magurudumu na mikongojo wamefikiriwa vipi kwenye mpango mzima?

Nitashukuru kuelimishwa kwani si ajabu tuko wengi tunajiuliza maswali haya lakini hatuna majibu

Shukrani

Herment A. Mrema

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment