Saturday, 28 September 2013

Re: [wanabidii] URAIS 2015 – UDHAIFU WA FREEMAN AIKAELI MBOWE

Kumbe Mbowe afaa basi. Kule kujua kuwa hajui sheria na akamjua na kumtumia anayejua ni sifa kubwa ya kiongozi. Tunao viongozi tena madarakani wasiojua wasiyoyajua. wanatuhangaisha na hatuna la kuwafanya tunasubiri waondolewe na uchaguzi. Tunakushukuru sana Yona kuliona hilo. Mbowe anafaa basi

From: Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, September 28, 2013 12:47 PM
Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 – UDHAIFU WA FREEMAN AIKAELI MBOWE

Umewahi kujiuliza kwanini mhe mbowe huwa na mhe lissu kwenye mikutano yake karibu yote inayohusiana na siasa ? ni kwa sababu ni mbumbumbu kwenye masuala ya sheria na taratibu nyingine hata pale anapoulizwa maswali malaini inabidi ambonyeze lissu kwa ajili ya ufafanuzi zaidi .

Huyu ni mtu ambaye miaka 3 ijayo anaweza kusimama kujipigia kampeni tanzania nzima kuomba ridhaa ya wananchi aongoze watanzania , sijui atakuwa anambeba lissu mgongoni .

On Friday, September 27, 2013 8:45:14 PM UTC+3, fr....@yahoo.com wrote:
Katumwaaaaaaaaaaaa! Halafu akachelewaaaaaaaa!,, sasa hakumbuki alitumwa nini! So ungekariri Kama tulibyokuwa wadogo unatumwa chum I unakwenda ukiimba mpaka ufike dukani. Ukakutana na mtu basi akikutibua unanunua kitu kingine! Unaona na ulikoshika pabaya, sasa usituimbishe wimbo huo ulioukosea tangu ulipotumwa
Sisi tunawashukuru wapinzani kwa  kutu onyesha nchi iliko na inkokwenda endapo hatutabafilika. Kwamba Mbowe Ana udhaifu sio hoja.wewe ulipaswa kumsaidia Kama ni kweli. Unatualika tumjafili halafu itusaidie nini. Wewe nenda ukamwambie Kama kumsaidia Hilo unalodhania upungufu, ili tufikie mabadiliko ya kweli
Acha sasa kutujaza huo ujinga hauendani na mabadiliko

Sent from my iPad

On Sep 25, 2013, at 11:33 AM, Jesse Kwayu <jesse...@gmail.com> wrote:

Yona unajadili nini? Unatafuta nini katika mjadala huu? Umetumwa na nani? Unataka kumnufaisha nani? Kwa akili yako na uelewa wako unaweza kuifananisha Chadema ya 2013 na ile ya mwaka 1995 chini ya Mzee Mtei, au 2000 chini ya Mzee Makani? au unataka kusema nini? Unaifananisha Chadema na chama kipi cha upinzani hapo kabla? 

Kambi ya upinzani unayoijua wewe ni ipi? Ile chini ya Mama Fatma Maghimbi, au ya Chini ya Mzee John Cheyo, au chini ya Amani Walid Kabourou au ya chini ya Hamad Rashid? kama umeamua kufanya kile kinachoitwa comparative analysis ni lazima uwe umejipanga, uwasilishe vitu hapa siyo kuleta blablaa zisikokuwa na kichwa wala mkia. Acha hizo, hupati mtu huko.
Jesse

2013/9/25 Yona Fares Maro <oldm...@gmail.com>
Ndugu zangu ,

Leo tumjadili Freeman Aikaeli mbowe ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA , Mbunge wa Hai Mkoani Kilimanjaro , Mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na Mfanyabiashara maarufu nchini .

Kwangu naona moja ya udhaifu wake mkubwa ni uelewa wake wa mambo mbalimbali haswa ya kijamii yanayoendelea nchini , nchi jirani na kimataifa kwa ujumla sijawahi kumsikia akiongelea masuala haya .

Ameonyesha udhaifu mkubwa katika kusimamia masuala ya kambi ya upinzani bungeni na amekuwa  mkuu wa kwanza wa kambi rasmi ya bunge kusababisha virugu bungeni baada ya kukataa kutoka bungeni alipoamriwa .

Ndani ya chadema wanasema anabebwa sana na anahusishwa na baadhi ya makundi ndani ya chama hicho hicho yenye lengo la kuharibia wenzake wanaotaka kupambana nae kwenye nyadhifa mbalimbali ndani ya chama .

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@ googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment