Sunday, 29 September 2013

Re: [wanabidii] Re: Mzee Makunga Mwananchi Mnatuangusha!

On Saturday, March 9, 2013 1:32:47 PM UTC+3, mutabaazi lugaziya wrote:
> @ PLAGIARISM
>
> Tony PT aliwahi kuandika juu ya 'plagiarism" ya wasomi wa Tanzania. Taarifa nyingi za maandiko "Theses na Dissertations" huwa ni za kuchakachua tu!
>
> Alichoandika Chambi kiliwahi kukanushwa na Dr HK, kwa maelezo kwamba yeye mwenyewe alikuwa huko mwishoni mwa mwaka jana na kwamba ile ilikuwa "utafiti" wake mwenyewe!
>
> Sasa sijui Mh Dr HK ana lolote la kuongezea?
>
> @ GENIUSES wa Kitanzania
>
> Kama hawa vijana wapo, ni vema kuwapongeza. Watu wa aina hii huwa wapo. Tulikuwa na mmoja King's College, Buddo(Kampala) na baadaye Makerere. Yeye pia alikuwa na uwezo wa kuiga kitu kwa kutizama tu-km kupiga gitaa au kinanda, achilia mbali uwezo usio wa kawaida darasani. Ingawa alikuwa anasoma PMM alikuwa anasoma novels kutuliko sisi watu wa literature. Alipoingia University kusoma Engineering, hakuwahi kupata B tangu first year. Katika mwaka wa tatu na wa nne,, alipata 100 katika 3/4 ya mitihani yote.
>
> Pamoja na hayo huo uwezo(feats) zao ndio zinatia shaka. Niungane na Dr Mussa kwamba suala la mtu ambaye hajahitimu kufanya upasuaji ni suala la kukiuka ethics za kazi-hajala kiapo cha Hypocrates wanachoapa. Lakini, ebu fikiria, mtu anakuja anasema ana kipaji, hana vyeti, unaweza vipi kumuachia aanze kufanya upasuaji-sio mara nane, mi nazungumzia hata hiyo mara moja.
>
> La pili, assuming ameweza kufanya, je surgeon wa kawaida(general surgeon) anawezaje kufanya upasuaji wa kichwa-KCMC after that alleged "extra-ordinary feat in Manyara? Kwamba alienda kujitambulisha KCMC wakampa vifaa akaingia theatre kufanya upasuaji wa kichwa?(neuro-surgery?)
>
> Hivi hao wagonjwa wakifa-pengine wala sio kwa incompetence ya mpasuaji, huyo aliyeruhusu atawaambia nini ndugu za marehemu? Kwa ufupi, maelezo aya ni magirini tu. Tanzania tunababaisha katika mengi, ila huku hatujafika!
>
> MJL

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment