Saturday, 28 September 2013

Re: [wanabidii] WASHINDWA KULIPUA BOMU DARAJANI ZANZIBAR

Wasome aliyoandika mwenzao gazetini majuzi hapa wauone ukweli. Naomba hilo aliloandika mwenzao. 
Alexander

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, September 28, 2013 4:10 AM
Subject: Re: [wanabidii] WASHINDWA KULIPUA BOMU DARAJANI ZANZIBAR

Wanafaidika au watafaidika na nini hawa watu kwa matendo yao haya? Hawaoni mifano kwa wenzetu congo, mripuko wa juzi kenya na kuteka nyara wastegate shopping mall? Ni nini watakacho? Hawaoni vilema Msumbiji vilivyotokea wakati wa vita kabla haijajitawala sasa watesekavyo, na sasa Liberia, Congo jirani zetu toka kabla na baada ya Uhuru mapigano tu?

Mungu gani anayetuma mtu kuua wengine? Ni siasa, ubinafsi na uchoyo au ni mapungufu kichwani-vichwa Pumba? Hilo duka bila ya shaka ni la mbara au la mtu anayepingana nao huko ZNZ au la mwekezaji.

Mfano wapewe uhuru wautakao ZNZ kujitenga na bara-na watakiwe wote kuondoka bara itakuwaje? Wasome aliyoandika mwenzao gazetini majuzi hapa wauone ukweli.

Au kama si suala la muungano-Ndio kufanya mazoezi vijana kumeanza? Nchi hii, hata achukue nani madaraka tufahamu kuwa-kujituma, kufanya kazi kwa bidii, kujiunga vikundi vya ujasiriamali ili kupata mikopo, kuzingatia standard za biashara na kuzingatia sheria ndio mkombozi. Soma pata vyeo ila zingatia kuwa na UJUZi ndio dawa sio vyeti tuu interview unashindwa na ukipewa kazi vyeti kibao hiyo kazi huiwezi. Ataichukua mgeni tu.

Tusitegemee kwamba kitakuja chama tawala chochote kuacha CCM ambacho kitatoa ajira kwa std 7, aliyemaliza secondary, high school na university. ajira hazitadondoka kama mvua. kama vikundi vya ujasiriamali kila vikianzishwa kuna kugombania madaraka, udugu, ufisadi na vinakufa na vinategemea vikao vyao wenyewe vya kujilipa osho faida inayopatikana-hakuna atakayetukomboa. Vya madini wakitakiwa kujiandikisha wanawaacha waanzilishe wenzao na kuweka ghost names  za wengine na kuwaacha wenzao na kumpa shida mwekezaji (mifano mingi Handeni-Magambas gold  mining area)-HATUTOVUKA.Mchina atatufanyisha kazi kwa matusi. jamani, unafika kijijini asubuhi saa moja viajana wenye nguvu wanacheza pool na kuna mabonde yanayotoa nyanya maji, nyanya chungu, bamia wao hawataki kuongozana na wazazi shamba na ni std 7 au 12; unakuta ardhi nzuri lakini kiongozi/viongozi wa mila, kijiji, kata au customary owner anaingiza illegal immigrants wanalishia mashamba ya watu-mmbongo mtu kituko na waajabu. Unaukuta msitu hauna undergrowth ya wenyeji kuchuma mbogapori-Tuendako malnutrition itakuwa tatizo la afya namba moja.

Kijana mwenye nguvu amebeba mzigo wa viatu na mtumba anatembea kwa mguu kwa siku kilometa 20 kijiji au mtaa hadi mtaa na hatouza apate angalau 20,000/- labda elfu 5 na uchovu. lakini angelima nyanya na wenzake na kupakia ktk malori angepata zaidi au kujiunga wapate pickup ndogo-wangesafirisha nyanya na vinginevyo nchi jirani. Matunda kutoa Sudan, south Africa; mitumba kutoka China, UK inafikaje kijijini nkusiko barabara nzuri vijana washindwe kusafirisha kutoka huko mbali kwenda mijini kwa njia hiyo hiyo mchele, nyanya etc?.

Hayo mazoezi ya mabomu hayasaidii kitu kuliko kilimo na ufugaji, uvuvi endelevu; kununua maziwa vijijini, maende na mananasi yanayooza na kuyafikisha sokoni na viwandani na kupanda mazao ya muda mfupi yanayohibili ukame (ufuta, mtama, mchele mfupi). ufuta assa ni almasi na upo vijijini mwingi sana na mtama. wacheni mabomu, ukiwa kiwete likikuripukia utamwuona nani kukulea maisha? Ukivunja daraja-dada na mama watafikaje hospitali kwa haraka kujifungua. tuone mbali. Maendeleo hayashuki kama mvua. Na tusipojiunga na kujitupa-tutakuwa ni maandamano kumpinga mwekezaji ambapo wenyewe tunashindwa kuwekeza ufisadi mpaka family level pamoja na kujaza pamba mchanga na mawe/kokoto ndogo ktk mchele, kufisadi mizani mradi tu wazo la kwanza ni wizi sio quality.

Matajiri wako wapi kufufua viwanda na mashamba ya authorities na kuweka makambi na nyumba huko vijana watembeze misuri ya kazi wazalishe viwanda vichakachue? Viwanda unampa mgeni anageuza karakana na used spare parts, store ya makaratasi ya used papers kuuza mtaani? Wazalendo wenye mihela saidieni ardhi itoe ajira kwa vijana ambao hawajitumi mpaka watumikishwe kinguvu. Wazolewe wakafungiwe makambini huko jini ya mwamvuli wa jeshi la kujenga taifa. zamani darasa la saba akikaa 2 years na akitoka huko anajua kushona viatu, nguo kwa charahani, useremara etc na sasa ajue kilimo na ufugaji endelevu na life skills. Zoa na omba omba wazalishe mikeka, kufuma nguo viwandani. Wengine wana macho na mikono na mwili mzoma tu ila wanatesa watoto mtaani na kuviacha vinabakwa mtaani. Vijana waripuaji nao wataacha kupewa kukubali kupewa vijisenti ili waripue majengo na miundo mbinu.Wacheni kuzalisha juice za maji-ikazalishwe miembe ya muda mfupi na hawa wasio ajira watakao kutumaliza sisi vikongwe.

Tuone vibanzi vyetu. unamkomoa nani unapomuibia mfano-mzazi? Mwajiri wako na kisha hela uzichezee? unapotengeneza fedha bandia na kuwasaidia wageni kuzisambaza? unapovamia maduka na kuiba mamilioni kisha unakwenda kulewea pombe na kula maraha tu zio kuzalisha mali; unapoua na kuibia wenzako magari na kuyauza; unapomuwekea jambazi dhamana naye kaua, kabaka kulikoni. na inavyofanyika sasa kudhibiti njia za madawa ya kulevya, ujangiri wa tembo, faru; waliozoea kupata hela kwa njia hizo watapungukiwa utajiri wao hivyo watatafuta mbinu za kuhujumu nchi kama hizo groups za ujambazi, kuripua mabomu ili nchi isitawalike wapate mianya zaidi ya kufanya uovu wao. bado-mapya yaja. Wakikosa madaraka ya kulinda utajiri wao wa njia za kiwizi-wataripua na kufukua mpaka makaburi na maeneo ya mitambiko ili mzawa aone kweli nchi imeshindikana kutawalika ili wapate madaraka waendeleze ubinafsi na ufisadi wao.

Mwenye macho haambiwi tazama kwa yanayoendelea nchini sasa. Raslimali zilizopo na tulivyobweteka mpaka mchina aje kutufanyisha kazi kwa matusi. wenyewe tupo kuharibu na kushutumu uongozi ila tunachangia uharibifu na kubweteka.

Na sasa ndio wazungu na wachina wanaoa changudoa ili wabiliki ardhi. Kibabu cha 80 years+ kinaoa kasichana 18 years na kukazalisha. nchini kwao huyu hakubaliwi kufanya hivi. Tunaangalia. Tuongeze tu matatizo ya ardhi turipuane zaidi!!

From: Alois Komu <fr.komu@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 27 September 2013, 18:55
Subject: Re: [wanabidii] WASHINDWA KULIPUA BOMU DARAJANI ZANZIBAR

Huu ndio upuuzi tunaoulelea. Na Hakika tutavuna upuuzi Huu. Watu wanamiliki vitu Vya hatari mno na serikali haponi hatari hiyo. Waliokwisha ukiwa serikali Haiti adhabu kwa wahusika. Inachangia mno kuwapa nguvu wajinga hao na kuwafanyia wasiogope kufanya lolote

Sent from my iPad

On Sep 25, 2013, at 2:38 AM, saleh100888@gmail.com wrote:

> Ni kweli kabisa maneno yako yona
> -----Original Message-----
> From: Yona Maro
> Sent:  25/09/2013, 10:30
> To: wanabidii
> Subject: Re: [wanabidii] WASHINDWA KULIPUA BOMU DARAJANI ZANZIBAR
>
>
> Tatizo la zanzibar ni vurugu za ubaguzi kati ya makundi ya kijamii maeneo
> hayo .
>
> 2013/9/24 lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
>
>> zanzibar watu wasipoangalia watatuletea mambo ya ajabu ajabu.....sasa watu
>> wataanza kuogopa, police waachiwe wafanye kazi jamani, huuu upuuzi
>> sasa....mtu akirusha hata sausage sasa itabidi mtu utimke bw! tynaelekea
>> wap sasa
>>
>>
>>  ------------------------------
>> *From:* Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>
>> *To:* Mailing List <wanabidii@googlegroups.com>
>> *Sent:* Tuesday, September 24, 2013 2:28 PM
>> *Subject:* Re: [wanabidii] WASHINDWA KULIPUA BOMU DARAJANI ZANZIBAR
>>
>> ----- Forwarded Message -----
>>
>> [image: Boxbe] <https://www.boxbe.com/overview> This message is eligible
>> for Automatic Cleanup! (mwema.felix@gmail.com) Add cleanup rule<https://www.boxbe.com/popup?url=https%3A%2F%2Fwww.boxbe.com%2Fcleanup%3Ftoken%3DOtNACj5c75bu0E7%252BMmR7jN0CHoP%252BjmHipY0tbcod9lSiN9N9D7RrcyL3WC%252FYrBNp8bkB0PfN7irUMITsYxHcM%252F9FTZGXn6iNQz9H7FyrK%252BNNHGzeWY6A0Bg3UQ0%252BhlepjbMRQ%252BIwRrJoOX%252BXpCp72w%253D%253D%26key%3DNvE8gfrlbAP9uiNwF0pS%252BH69HDYIbqG8P2Jo2uNIwZA%253D&tc_serial=15219945786&tc_rand=1415347388&utm_source=stf&utm_medium=email&utm_campaign=ANNO_CLEANUP_ADD&utm_content=001>| More
>> info<http://blog.boxbe.com/general/boxbe-automatic-cleanup?tc_serial=15219945786&tc_rand=1415347388&utm_source=stf&utm_medium=email&utm_campaign=ANNO_CLEANUP_ADD&utm_content=001>
>> Zanzibar inahitaji kusafishwa!
>>
>>
>> 2013/9/24 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
>>
>> Watu wasiofahamika bado, usiku wa kuamkia jana Jumatatu walitupa kitu
>> kinachosadikiwa kuwa bomu lililokuwa katika mfano wa 'sausage' karibu na
>> eneo la biashara kando ya Barabara ya Darajani mjini Zanzibar.
>>
>> Msaidizi wa Kamishna wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar Mkadam
>> Khamis Mkadam akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana kuhusu
>> taarifa hiyo alisema, mlinzi binafsi, Amour Kassim Amour (36), aliyekuwa
>> kazini kwenye
>>  Duka la Sahara, aliona idadi ya watu katika gari aina ya 'pickup'
>> wakitokea Bwawani kuelekea Mkunazini, walikwenda uelekeo wa dukani
>> alipokuwa akilinda, na walipofika hapo walipunguza mwendo, ndipo mmoja wao
>> aliporusha guruneti upande wake, na kitu hicho kilitua katikati ya
>> masanduku yaliyokuwa mbele ya duka hilo.
>>
>> "...lilikuwa likitoa moshi. Kwa ushujaa, Amour aliliokota na kulitupa
>> mbali na maduka," "Kwa bahati, Amour alilitupa kwenye uwanja wa wazi na
>> hakukuwa na wanunuzi katika mtaa huo wenye shughuli nyingi kwa sababu
>> ilikuwa ni usiku," alisema Mkadam akiongeza kwamba guruneti lililipuka kwa
>> mlipuko wenye sauti kubwa dakika chache baadaye.
>>
>> Polisi walifanikiwa kupata mabaki ya unga unga na kukusanya kokoto
>> zilizotokana na athari ya mlipuko huo.
>>
>> Polisi wameanzisha msako na uchunguzi katika tukio hilo, na kuwataka
>> Wazanzibari kuwa watulivu na kuripoti kitu chochote kinachoshukiwa.
>>
>>
>> Source:
>> http://www.wavuti.com/4/post/2013/09/wafeli-kulipua-bomu-darajani-zanzibar.html#ixzz2fnWMoop3
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

> --
> Find Jobs in Africa <http://www.wejobsafrica.blogspot.com> Jobs in Africa
> International Job Opportunities <http://www.naombakazi.blogspot.com/>
> International
> Job Opportunities
> Jobs in Kenya <http://www.findjobinkenya.blogspot.com> Jobs in Kenya
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment