Ukiona hivyo ujue wana mambo fulani wasiyotaka yajulikane. Kama mtu unajijua ni wa hivyo bora usiombe au kukubali nafasi zenye utaratibu wa kulindwa na kupangiwa ratiba pamoja na mambo ya kufanya. Tatizo ni pale utakapodhurika utawatia doa walinzi wako na taifa kwa ujumla
2013/8/30 Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
Yamekuwa hayo. Kumchunga mtu mzima shughuli. Kaza buti lakini anayosema Maro sio rahisi.
Herment
Date: Fri, 30 Aug 2013 12:21:50 +0100
From: mruahdeo@yahoo.co.uk
Subject: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] TABIA ZA VIONGOZI WETU KUTOROKA
To: Wanazuoni@yahoogroups.com; wanabidii@googlegroups.comYona,Wanatoroka kwani wapo kifungoni?, Na hizo taarifa za wanapotakiwa kulala huwa zinawekwa kwenye gazeti gani ili na wengine tukusaidie kuwaripoti iwapo tutawaona huku Bagamoyo.
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>; Wanazuoni <wanazuoni@yahoogroups.com>
Sent: Friday, 30 August 2013, 13:29
Subject: [Wanazuoni] TABIA ZA VIONGOZI WETU KUTOROKA
Ndugu zangu ,Kuna tabia na sasa umekuwa utamaduni wa baadhi ya viongozi wa nchi kutoroka usiku kule walipopangiwa kufikia wakati wa safari zao za sehemu mbalimbali wengine ni pale wanapokuwa kwenye nyumba walizopangiwa na serikali lakini usiku wao hutoroka kwenda wanapojua wao .Kuna tukio limetokea katikati ya wiki hii ambapo kiongozi mmoja wa nchi alifumwa saa 6 usiku tena akiwa na msafara wake , Mwingine aliwahi kukutwa na zahama karibu na nyumbani lounge na rais wa zamani ndugu Mwinyi nae aliwahi kukutwa na balaa maeneo ya ubungo baada ya kuchelewa .Ni vizuri kujua hawa viongozi wa nchi waliapa na kuridhia taratibu za nchi kuhusu usalama wao lakini wanapoamua kukaidi amri hizi na kutembea wanavyojua wao wanakuwa wanaharibu taratibu za usalama wa taifa kuhusu usalama wao na kusababisha matatizo mengine kwa wale wanaowalinda muda wote .Nashauri wanausalama kutumia nguvu kurudisha viongozi majumbani kwao au pale wanapopitiliza muda wa kukaa nje bila sababu za msingi walazimishwe kurudi kwenye sehemu walizopangiwa kwa muda unaotakiwa .--Find Jobs in Africa Jobs in AfricaInternational Job Opportunities International Job OpportunitiesJobs in Kenya Jobs in Kenya__._,_.___
Reply via web post Reply to sender Reply to group Start a New Topic Messages in this topic (1) .
__,_._,___
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment