Msiwe na wasiwasi hata sweepers wanafanya kazi kwa uhakika zaidi pale wanapopewa taarifa za uhakika na ukweli kabisa bila chuki binafsi au migongano ya kibiashara .
-- Kwahiyo tuzidi kuhimizana humu majukwaani , mitaani , mashuleni na popote kwenye jumuiya kutoa taarifa kwa hawa watu wa uhamiaji ili zoezi liweze kuwa salama .
On Saturday, September 28, 2013 8:04:05 AM UTC+3, ezekiel kunyaranyara wrote:
On Saturday, September 28, 2013 8:04:05 AM UTC+3, ezekiel kunyaranyara wrote:
Mngonge
Nafikiri umesema sahihi kabisa. Kwetu palipo na kweli lazima kuna feki pia - haya ni matatizo makubwa, tahadhali ni muhimu sana, kwao na kwetu raia pia.K.E.M.S.
From: mngonge <mng...@gmail.com>
To: wana...@googlegroups.com
Sent: Friday, 27 September 2013, 11:16
Subject: Re: [wanabidii] OPERESHENI KIMBUNGA YAHAMIA MAOFISINI
Naona pia itabidi tuwachunguze hao maofisa uhamihaji kama ni watanzania na kama ni maofisa uhamiaji waliotumwa na serikali. maana tumesikia kuna matapeli wamevamia kitengo hicho kwa spidi kubwa. Wakija ofisini waje wamejiandaa na vielelezo vya kutosha la sivyo wanaweza kuhisiwa ni Al Shabaab. Ni vyema nao wakajiandaa kuwa interrogated na clients wao. Zoezi ni la muhimu lakini tumefika mahala hatuaminiani tena dunia imebadilika
--On Fri, Sep 27, 2013 at 8:29 PM, Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
--Ndugu zanguOperesheni Kimbunga ambayo ina lengo la kukamata wahamiaji haramu nchini imeingia rasmi kwenye ofisi mbalimbali zile za serikali na watu binafsi .Mnapoona watu wa uhamiaji wanapofanya shuguli zao tafadhali wapeni ushirikiano wa mali na mali .
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out .
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out .
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment