Tuesday, 27 August 2013

Re: [wanabidii] Zitto Kabwe : Sitogombea Urais wala Ubunge 2015

Mussa,
 
Nimependa uchambuzi wako na mtizamo wa Zitto kwa baadaye. Lakini pia ni Mkakati mzuri kwa sasa kupunguza maadui wanaomuandama kila wakati kwa kuonesha hasira na mitizamo tofauti na anavyofikiria. Nafikiri sasa watu watapumua.
 
K.E.M.S.

From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, 27 August 2013, 15:37
Subject: Re: [wanabidii] Zitto Kabwe : Sitogombea Urais wala Ubunge 2015

Hao wanafunzi wanaopitisha hayo majina matatu wanatumia vigezo gani? au ndio kuufanya umma uanze kujadili mambo ya ajabu na kuacha masuala ya KATIBA? 

From: "BILLEGEYA, Mussa" <msbillegeya@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, August 27, 2013 1:52 PM
Subject: Re: [wanabidii] Zitto Kabwe : Sitogombea Urais wala Ubunge 2015

Hauwezi Ukafundisha Uchumi na Maliasili katika Dunia ya Leo bila kuhusisha Siasa. 

Labda aseme atabadilisha aina ya Siasa atakazokuwa anafanya - badala ya Kufanya SIASA ZA VYAMA na MAJUKWAANI, atafanya Siasa Kupitia Taaluma - Katika eneo la Uchumi na Maliasili - akiwafundisha wengine. 

Na hata kama sitapata nafasi ya kuwa Mwanafunzi wake katika darasa mojawapo, NINA UHAKIKA atakuwa anafanya  Reference Nyingi SANA kwenye Siasa zake akiwa Chamani au kwenye Siasa zitakazokuwa zinaendelea wakati huo.

MWISHO: Nina HISIA KALI kwamba huu pia ni mkakati wake wa Kisiasa AKIJIANDAA KUGOMBEA URAIS HAPO BAADAYE!!! Anataka kujitoa kwenye "USO" wa Siasa kwa muda, Afanye Siasa kama Mchambuzi, Mwandishi na Mtaalam, ili watu Wamuone, Wamsome na Kumsikia kama "Mtu Huru", Wamuamini kwa Urahisi zaidi kwa kuwa watajua kuwa hasemei chama chochote, Kisha Waamini kwamba ndiye anayewafaa kuwa Rais, Kisha atarudi kugombea Urais miaka MITANO AU KUMI BAADAYE!

PIA, Muda huo wa "Mapumziko" Utamuwezesha Kusoma upepo wa Siasa za Tanzania na kumuwezesha kuelewa kwa Urahisi ni Chama kipi kwa wakati huo kitakuwa na Uwezekano na Ukubalikaji mkubwa zaidi Tanzania ambacho akisema anagombea Urais kupitia hicho - I Guess hakitakuwa CHADEMA - atakubalika kirahisi!

Huu ni Mkakati Mzuri, na ninadhani unaweza ukamsaidia sana Kisiasa - na hata Akaweza kuupata Urais!!!

Siasa huwa inafanywa kwa namna nyingi - Kama ZITTO anasoma huu Mtazamo wangu sasa hivi anaweza kuthibitisha ninayoyasema!!

BY THE WAY, NIKO NAYE HAPA UBUNGO PLAZA TANGU JANA, NADHANI WANA KIKAO HAPA!
 
BILLEGEYA, Mussa,
Twitter: @MBillegeya

De : ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
À : "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Envoyé le : Mardi 27 août 2013 14h32
Objet : Re: [wanabidii] Zitto Kabwe : Sitogombea Urais wala Ubunge 2015

Nafikiri anaweza kupumzika siasa lakini hawezi kuacha. Huenda akipumzika na akaenda kufundisha (hata kulima) akitoka huko anaweza kuwa kiongozi/mwanasiasa bora zaidi. Generali Jerry Rawlings aliwahi kufanya hivyo. Lakini pia nafikiri akiwa mwalimu anaweza kusumbua na kusumbuliwa kwa kujihusisha na siasa bila kuwa ndani ya siasa. Wanafunzi wake watamlazimisha kuiingia siasa kwa kutaka au bila kutaka.
Nawaza kuwa kwa kuwa Zitto ametamka mambo mengi ambayo yakiorodheshwa yataonekana yanapingana akishika hili baada ya miaka kumi atakuwa amewasahaulisha watanzania mgongano huo. Nittanza kufikiri kuwa ameanza kukomaa.

From: Leila Abdul <hifadhi@gmail.com>
To: wanaBidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, August 27, 2013 11:58 AM
Subject: Re: [wanabidii] Zitto Kabwe : Sitogombea Urais wala Ubunge 2015

uvumilivu kwa kiongozi ni muhimu sana haswa kwa vijana kama zitto matamko aliyowahi kuyatoa yamechangia  haya

2013/8/27 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Bw. Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema hafikirii kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho wala ubunge katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2015.

Alisema mwaka 2015, ndio mwaka wa mwisho kujihusisha na siasa ambapo dhamira yake ni kutafuta chuo ambacho ataweza kufundisha masomo ya uchumi na maliasili.

Bw. Kabwe aliyasema hayo hivi karibuni katika mahojiano maalumu na gazeti hili siku chache baada ya viongozi 105 kutoka Vyuo Vikuu 30 nchini, kupendekeza majina ya wanasiasa wanaofaa kuwania urais mwaka 2015. 

Jina la Bw. Kabwe, lilishika nafasi ya pili katika mchujo huo ambapo Mbunge wa Bumbuli, mkoani Tanga ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Bw. January Makamba, alishika nafasi ya kwanza kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwanasiasa aliyeshika nafasi ya tatu katika mchujo huo alikuwa Mbunge wa Ubungo, Dar es Salaam, Bw. John Mnyika (CHADEMA).

"Hiki ni kipindi cha mwisho kwangu kujihusisha na siasa kwani nimechoka nazo, nitatafuta chuo nikafundishe na kama nitakosa ni bora nikalime michikichi... sihitaji urais," alisema. 

Katika mkutano wa wanafunzi hao, walisema Bw. Makamba ana sifa zote za kuwa rais wa nchi kamaatagombea nafasi hiyo mwaka 2015 ili aweze kulikomboa Taifa ambalo hivi sasa linakabiliwa na matukio mengi ya uvunjifu wa amani. 

Wanafunzi hao walikwenda mbali zaidi na kuyataja baadhi ya matukio hayo kuwa ni pamoja na vurugu, kutekwa kwa watu wasio na hatia, kufanyiwa vitendo vya ukatili, kumwagiwa tindikali na kupungua kwa mtangamano wa kijamii. 

Mwenyekiti wa mkutano huo ambao ulifanyika mkoani Morogoro ambaye pia ni Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Kampasi ya Mbeya, Bw. Theonest Theophil, alisema Bw. Makamba alipata kura 72 ambapo Bw. Kabwe alipata kura 20.

Bw. Theophil alisema sifa za kiongozi wanayemtaka kwanza awe kijana mwenye fikra mpya, atakayeleta matumaini mapya, kuwaunganisha Watanzania, asiyeendekeza siasa za kikanda, mdini na mkabila. 

Sifa nyingine ni kiongozi mwadilifu asiye na rekodi ya kutuhumiwa mahali popote kwa vitendo viovu, mtulivu, mwenye busara na anayepima kauli zake.

Source: Majira
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment