Thursday, 22 August 2013

Re: [wanabidii] WANANCHI WACHOMA MOTO BASI LA ABIRIA MKOANI SINGIDA

Sasa kama vyombo husika viko kimya unategemea nini? mwanakijiji kafariki majuma mawili yamepita hakuna hatua zozote zilizochukuliwa mwisho wa siku unategemea nini hapo? mimi sishabikii hivi vitendo ila lazima tupambane na mzizi wa tatizo na siyo majani ama matawi

2013/8/22 John George <georgejn2000@gmail.com>
Bariki, Haki haipatikani kwa kuchoma basi. Inapatikana kwa kushugulikia suala ipasavyo

2013/8/22 LINGONET Lindi <lingonetlindi@yahoo.co.uk>

tuna achia vitendo vya kujichukulia sheria mikononi kisha tutakuja piga kelele wakati mambo yameharibika,hata kama abirira wale wangeanzisha pingamizi juu ya kuteremshwa kwao ingekuwa vita na kwa vyovyote vile waathirika wangekuwa wao yaani abiria,la msingi mara baada ya tukio hili serikali inatakiwa kuchukuwa hatua ya kukabiliana na kitendo hiki kwa kutafuta wahusika na kuwaadhibu,kama ambavyo watu wanaopora majeruhi katika ajali hawatafutwi na hakuna hatua inayochuliwa na serikali hali inayoonesha kuwa ni utamaduni wa kawaida kuwapora majeruhi
On Wed, 21/8/13, Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com> wrote:

 Subject: RE: [wanabidii] WANANCHI WACHOMA MOTO BASI LA ABIRIA MKOANI SINGIDA
 To: "Wanabidii Mawazo" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Wednesday, 21 August, 2013, 10:39

 Lakini kweli na sisi tunaendekeza mno
 Mambo ya kujichukulia sheria mkononi.
 Hivi kweli inaingia akilini raia, hata kama 200, wanateka
 basi, wanalazimisha abiria kushuka, abiria wanatii bila
 kutoa taarifa Polisi, halafu wanalitia basi moto, abiria
 wanaangalia tu na kisha watu hao kuondoka zao?
  
 Date: Wed, 21 Aug
 2013 12:31:12 +0300
 Subject: Re: [wanabidii] WANANCHI WACHOMA MOTO BASI LA
 ABIRIA MKOANI SINGIDA
 From: georgejn2000@gmail.com
 To: wanabidii@googlegroups.com

 Sheria mkononi sidhani kama ni haki na wala
 si sawa. Je hao wananchi wana uhakika gani kuwa gari ndilo
 lenye kosa? Hapo wamemuadhibu mwenye gari na si dereva
 ambaye ndiye aliyekuwa akienesha gari hilo. Je kulikuwa na
 kesi mahakamani kuhusiana na dai hilo?

 2013/8/21 Abdalah
 Hamis <hamisznz@gmail.com>

 Abiria wapatao 60
 waliokuwa wanasafiri na basi la Turu linalofanya safari zake
 kati ya mkoa wa Singida na Haydom mkoani Manyara,
 walilazimishwa kuteremka toka ndani ya basi hilo na wananchi
 zaidi ya mia mbili ( 200 ) wa vijiji vitatu, ambao baadae
 walilichoma moto basi hilo.

 Taarifa toka eneo la tukio zinasema wananchi hao
 wa vijiji vya Singa, Idabagadu. na Nkungi. mkoani Singida,
 ambao baada ya kuhakikisha abiria wote wameshuka,
 walilichoma moto basi hilo ambalo limetekea sehemu
 kubwa. 

 Sababu ya wananchi hao kuchukua uamuzi huo ni
 kutokana na basi hilo kumgonga mwanakijiji mmoja na kufa
 wiki tatu zilizopita.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment