What a cheap and awkward argument!
------------------------------
On Wed, Aug 28, 2013 1:32 AM PDT Yona Maro wrote:
>Ndugu Ngozi
>
>Kila mwananchi ana wajibu wa kulipia kodi kwa huduma mbalimbali anazotumia
>kama ni za manunuzi au uuzaji , kodi hizi zinatumika kwa ajili ya shuguli
>nyingine za serikali kama ujenzi wa mabarabara , mashule , kununua vifaa
>vya hospitali , kulipa wafanyakazi wa serikali , kulipa madeni ya nje na
>ndani ya nchi na huduma nyingine mbali mbali .
>
>Kama kweli unataka kujua kodi inavyofanya kazi wewe angalia kitu kidogo tu
>kuhusu masuala ya mawasiliano kwa ujumla kwa miaka 10 iliyopita tulikuwa
>wapi na sasa hivi tuko wapi , kwenye masuala ya barabara miaka 10 iliyopita
>tulikuwa wapi sasa tuko wapi , vipi kuhusu huduma za afya ?
>
>Pamoja na mafanikio hayo kuna changamoto kadhaa za serikali kuwa na ubunifu
>wa kutengeneza vyanzo zaidi ya kukusanya kodi kama hiyo ya simcard ,
>tunataka pia baadhi ya barabara zilipiwe hela magari yanapopita , wanafunzi
>vya vyuo vikuu wakatwe kodi kwenye mikopo wanayopewa vyuoni na mwisho ni
>watu kama nyie mnaohoji matumizi ya kodi wakati mlisomeshwa bure enzi za
>nyerere na mpaka leo hamtaki kurejesha hizo fedha .
>
>
>2013/8/27 ngozitt N. <rigonzi@yahoo.co.uk>
>
>> Kikao cha 10 cha Bunge letu tukufu kinaanza leo. Bila shaka mojawapo ya
>> mada zitazozungumziwa ni kodi ya 'line' za simu za mkononi iliyopitishwa na
>> bunge hilo hapo nyuma.
>>
>> Je, wanajukwaa, kuna mtu anajua matumizi ya pesa inayokatwa katika huduma
>> mbalimbali kama vile maji na umeme kwenda EWURA inavyotumika? Kuna tetesi
>> kuwa wapo watu humo hujilipa hadi Million 15 kwa mwezi! ni kwa kazi gani ya
>> zaidi ya watumishi wa umma wengine? Kwa nini Serikali haidhibiti huko kabla
>> ya kumkamua raia anayetegemea 'ku-bipu' ili apigiwe?
>>
>> Mwenye data naomba nisaidie katika hili.
>>
>> Tibu.
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
>
>
>--
>Find Jobs in Africa <http://www.wejobsafrica.blogspot.com> Jobs in Africa
>International Job Opportunities <http://www.naombakazi.blogspot.com/>
>International
>Job Opportunities
>Jobs in Kenya <http://www.findjobinkenya.blogspot.com> Jobs in Kenya
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment