Tuesday, 27 August 2013

Re: [wanabidii] Kodi ya SIM-Card

Wakati EWURA inaanza kulikuwa na matumaini makubwa kuwa bei ya mafuta ya petroli itashuka. Lakini hakuna mwenye ushahidi kuwa bei imeshuka. Nadhani EWURA imeshindwa kudhibiti bei kama tulivyoaminishwa. Basi serikali iliachie soko la mafuta ya petroli lijidhibiti lenyewe.



From: ngozitt N. <rigonzi@yahoo.co.uk>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, August 27, 2013 2:01 PM
Subject: [wanabidii] Kodi ya SIM-Card

Kikao cha 10 cha Bunge letu tukufu kinaanza leo. Bila shaka mojawapo ya mada zitazozungumziwa ni kodi ya 'line' za simu za mkononi iliyopitishwa na bunge hilo hapo nyuma.

Je, wanajukwaa, kuna mtu anajua matumizi ya pesa inayokatwa katika huduma mbalimbali kama vile maji na umeme kwenda EWURA inavyotumika? Kuna tetesi kuwa wapo watu humo hujilipa hadi Million 15 kwa mwezi! ni kwa kazi gani ya zaidi ya watumishi wa umma wengine? Kwa nini Serikali haidhibiti huko kabla ya kumkamua raia anayetegemea 'ku-bipu' ili apigiwe?

Mwenye data naomba nisaidie katika hili.

Tibu.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


0 comments:

Post a Comment