- Kila La Heri Chipolopolo Dhidi Ya Tai Wa Nigeria..
Ndugu zangu,
Mechi za kuwania tiketi za kucheza fainali za Kombe la Dunia zinaendelea. Jirani zetu Zambia leo jioni wanapambana na Nigeria pale Lusaka.
Ni wakati pia kwa ulimwengu wa soka kuwakumbuka vijana hawa wa Waafrika waliokufa kwenye ajali ya ndege wakitokea Lusaka, Zambia.
Wapenzi wengi wa soka tunakumbuka tulikuwa wapi wakati tulipofikiwa na habari hizo za majonzi makubwa. Ilikuwa ni april 27 mwaka 1993.
Vijana wale wa 'KK Eleven' walikuwa wakielekea Senegal kucheza mechi muhimu kuwania tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia kwa mwaka 1994.
Walipofika pwani ya Gabon... Soma zaidi..http://mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/28148-daima-watakumbukwa-walikufa-wote-wakiipigania-nchi-yao-kwenda-kombe-la-dunia-kizazi-kipya-leo-jioni-kinapigana-tena-lusaka.html#.V_n7AvkrLIU
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment