Tuesday, 10 June 2014

[wanabidii] Re: Mafunzo ya Ujasiriamali IMED ni wiki ijayo - Karibuni

Asante!

Tunashukuru kwa taarifa. Tunaomba mchanganuo wa gharama hiyo na
uendeshaji wa hiyo semina ili tujue tunakuja kuchota nini?

Asante

On 6/10/14, Donath R.Olomi <olomi@imedtz.org> wrote:
>
>
> Wazalendo,
>
> IMED tutaendesha mafunzo Ujasiriamali na Uongozi wa Biasharaya kuanzia saa
> kumi mpaka saa moja jioni wiki ijayo (16-20 Juni). Mafunzo yanalenga wale
> ambao wako kwenye biashara tayari,wanaotegemea kuanzisha biashara na
> wanafamilia wa wafanyabiashara. Lengo ni kuboresha weledi wa washiriki
> katika kubaini, kujipanga na kutumia fuirsa za biashara.
>
>
> Mafunzo yafanyika ILALA JENGO LA CHAMA CHA WAALIMU GHOROFA YA SABA chumba
> cha mafunzo A cha IMED.
>
> Gharama ni Tshs 250,000/- tu kwa siku zote 5.
>
> KALAMU INACHAPA KAZI VIZURI IKIWA INANOLEWA. KARIBUNI MJINOE
> --
>
> Kwa mawasiliano
>
> Elinami Kweka, Afisa Masoko 0716018505
> Institute of Management and Entrepreneurship Development (IMED)
> 7th Floor,Mwalimu House
> Uhuru Street,Ilala
> P.O.Box 35036
> Dar es Salaam
> Tanzania
> Mob: +255 716018505
> 0714 429362
> 0758 460508
> Tel: +255 22 2203211
> Fax: +255 22 2203219
> Website: www.imedtz.org
>
> "
>


--
"If a man has not discovered something he will die for, he isn't fit
to live" Martin Luther King Jr.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment