Sunday 29 June 2014

Re: [wanabidii] UFISADI WA VIONGOZI WA CHADEMA NA MWAMVULI WA UMALAIKA

Jaribu kutujuza migogoro ndani ya vyama vingine kama CCM maana hii ya Chadema imekuwa wimbo usiokuwa na mchezajai


2014-06-30 0:05 GMT+03:00 MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com>:

Awali ya yote napenda kuwa pongeza ndugu,jamaa na marafiki kwa Dua mlizo kuwa mna nipa kipindi nipo nje ya nchi nikiwa natekeleza majukumu yangu ya kitaifa.....Ahsanteni sana Mwenyezi mungu awalipe kwa Dua ZENU. vile vile nawatakia Ramadhani Njema kwa waislam wenzangu wote walio anza kufanya ibada ya kutimiza nguzo muhimu katika uislam.

Takribani wiki sasa toka mgogoro ndani ya chadema kutokea,niliyo shuhudi ni upuuzi usio na viwango unaofanywa na viongozi wa chadema kujaribu kutumia mwamvuli wa Umalaika kuficha uchafu wao.

Ukiwa mwanachama wa chadema kwanza tambua kuwa utakiwi kuoji juu ya suala la mapato na matumizi ya chama,maana ukioji hayo Wazembe hawa SLAA n MBOWE wanatumia mwavuli ule ule wa kusema hao ni wasaliti wanatumiwa na vyama vingine kukidhoofisha chama.Wanatoa majibu mepesi sana kwenye maswali magumu,wanataka kutuaminisha wa Tanzania wao ni malaika hawawezi fanya makosa yoyote makosa kama hayo yanafanywa na watawala tu.

Mwezi huu kwenye kipindi cha Bunge la Budget Kilaza SUGU alitumiwa na MBOWE kumchafua Nguli wa siasa za Bongo na mwanasiasa shupavu mwenye uzalendo wa kweli si mwingne ni Mwana uchumi wa daraja la kwanza nae ni Mh ‪#‎Zitto_Z_Kabwe‬ kuwa anachota fedha za wasanii wanao unda kundi la kigoma all star,tena katika kipindi ambacho Mh Zitto Z Kabwe akiwa ana muuguza marehemu mama yake,(Eee mwenyezi mungu mlaze mama yetu mahala pema).Mbowe kutumia siasa chafu katika kipindi kigumu alicho kuwa nacho ‪#‎Mh_ZITTO‬ ni ushenzi uliopindukia.

Mara baada ya siasa hizo chafu Mh zitto alijitokeza kwenye vyombo vya habari kupinga kwa ushahidi adhimu ufedhuli huu,na kuweka wazi nyaraka zote za malipo walizo patiwa vijana wetu wa Kigoma ALL star....Baada ya siku 3 kundi la Kigoma ALL STAR nao wakatoa matamshi yao juu ya huu upuuzi na siasa za maji taka wanazo fanya viongozi wa chadema.

SWALI...! KWANINI WAO WANAPO TUHUMIWA KWA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA WALIPA KODI WANAJIBU KWA MAJIBU MEPESI TU?Nanukuu kauli ya Kilaza SLAA " masalia hao wanatumiwa na ccm kukivuruga chama,hapo wamemaliza KUJIBU TUHUMA",Tena wanao watuhumu ni viongozi waandamizi wa chama na wajumbe wa BARAZA KUU LA CHADEMA,

Nchi kwa sasa imerindima kwa kashfa ya Escrow Account kila mtanzania anataka walio kwapua fedha za IPTL nao wachukuliwe sheria,kila mmoja wetu anapenda watu wawajibishwe kwa aya,leo SLAA nae yupo mstari wa mbele kutaka wawajibishwe lakini yeye anapofanya kama hayo anataka watanzania wakae kimya,anatumia mwamvuli ule ule wa kusingizia hao ni wasaliti wanatumiwa na ccm. kwa ili mtawajibika tu dawa yenu ipo jikoni hakuna anae kubali kuona baadhi ya viongozi wa juu wa cdm wao ni malaika wasio weza kufanya uchafu wowote ule.

siasa hii imepelekea mpaka vijana nao kufanywa mazuzu,na kuamini kuwa MBOWE NA SLAA na malaika hawawezi fanya ufisadi kama huo...wanatumia njia hiyo hiyo kupiga hela mpaka kuja kushituka wanakuta hola.

Mimi na uchungu sana na chama changu cha CDM,naomba wanachama wenzangu kuomba mkutano wa baraza kuu ili kuwawajibisha hawa vilaza wanao tuchafulia chama kwa majibu mepesi tu.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment