Sunday 29 June 2014

Re: [wanabidii] TAHADHARI KWA WATEJA WA CRDB SIMBANKING

Ahsante kwa taarifa

On Jun 29, 2014 10:02 AM, "Yona Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:
TAHADHARI KWA WATEJA WA CRDB SIMBANKING 

Ndugu zangu ,

Asubuhi hii kuna jamaa yangu amepigiwa simu kutoka kwa mtu ambaye amejitambulisha kama mfanyakazi wa benki ya CRDB .

Huyu jamaa akamuuliza kama ana kadi ya CRDB na kama ina tatizo lolote , jamaa yangu akamwambia kadi ipo nyumbani lakini ime expire .

Akaambiwa aende kwenye tawi lolote la CRDB akapate kadi mpya halafu ampigie simu .

Niliposikia hivyo , nikamuuliza huyu ndugu yangu kwanini amekupigia jumapili ambayo ni mapumziko ?

Tukajaribu kuangalia usajili wa namba iliyopiga tukagundua ni ya mtu binafsi , kumpigia tena akatuambia kwa taarifa zaidi twende CRDB .

Jamaa alikuwa anataka kadi ya benki ya CRDB kwa ajili ya kufanya uhalifu haswa wa kuhamisha hela na huu ni aina mpya kabisa ya uhalifu unaosambaa nchini Tanzania .

Tuchukuwe tahadhari na tufahamishe wenzetu .

--

Yona Fares Maro

Institut d'études de sécurité - SA

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment