Saturday 28 June 2014

Re: [wanabidii] HUU NDIO MPANGO WA CHADEMA KUNUNUA WAJUMBE WA BARAZA KUU

Kwa akili ya Lwaitama hili linawezekana mwenye taarifa zaidi atusaidie tulifanyie kazi.

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: 'rigonzi@yahoo.co.uk' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, June 28, 2014 10:35:15 AM GMT+0100
Subject: Re: [wanabidii] HUU NDIO MPANGO WA CHADEMA KUNUNUA WAJUMBE WA BARAZA KUU

Katika kusoma mtiririko wa majibishano kati ya Mh Kunyaranyara na Mh Lwaitama nimeona lalamiko la kusema 'umewafelisha watoto wetu'.
Naomba kama mtu atajali (yeyote tu) anisaidie kuelewa maan yake nini? Ina maana mwanafunzi anawekewa alama ya kosa wakati jibu lake ni sahihi ama ni vipi?
Au hafundishwi kwa hiyo anashindwa kujibu kwa hiyo inakuwa sawa na 'kufelishwa'?
Au inakuwaje yaani!
Shida kubwa niliyoiona katika elimu ya juu ni kuwa kadiri wanavyokuwa wengi katika darasa ndivyo inavyokuwa vigumu kuwawezesha kusoma, kuwawezesha kujifunza, na pia kuwawezesha kuelewa. Nao kwa utoto ama malengo tofauti waliyo nayo kujituma hakupo. Mwisho wa siku kijana hataki umpe maksi stahiki na bidii ama kazi yake. Hawa wa namna hiyo ndo wengi hueneza kashfa hii ya 'mwalimu ame_nifelisha'  Wanataka tuwe na wahitimu wa kariba gani mimi sijui.

Ni ushuhuda wangu tu.
Asante.
Tibu.

Sent from Yahoo Mail on Android

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment