Saturday 28 June 2014

Re: [wanabidii] BARUA KUTOKA KWA MUME WA FLORA MBASHA KWENDA KWA MCHUNGAJI GWAJIMA

Mbali na tuhuma zote anazomtuhumu mkewe, mi nadhani hazimsaidii kwenye hiyo kesi yake ya msingi ya kubaka... Naona anapoteza nguvu nyingi kwenye kuchafuana ambako the best outcome itakuwa ni Jamii kumhukumu mkewe na huyo mchungaji lakini haisaidii kesi yake... Ushauri angetulia na kutafuta wanasheria wazuri na kujipanga namna ya kupambana na kesi... Misukosuko katika ndoa ipo kila kona na itaendelea kuwepo Siku zote

Sent from my iPhone

On Jun 28, 2014, at 9:19 PM, "'Charles Misango' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ngupula, nakubaliana nawe. Flora Mbasha kwa nafasi yake katika jamii na hususan hili suala la mumewe sio jambo dogo. Amechafuliwa na jamii unadhani inamwonaje? Mbasha kama mwanadamu, angeweza kuvumilia mengi, lakini kama anachosema ni kweli juu ya kesi hii, hata dada yangu Katabazi sidhani kama ungetoa ushauri huo ikiwa Mbasha ndo angekuwa kaka yako.
Mwisho, daima nimekuwa nikionya watu kuhusiana na hawa wachungaji wa vijikanisa vinavyozuka na kuwa matajiri ghafla. Kibaya watu wasomi kabisa nao wanadanganyika na kukimbilia huko. Ona sasa, kumbe huyo mchungaji kesha bomoa ndoa nyingi sio ya Mbasha tu. bado watanzania wasisahau kuwa kuna mwingine ana kesi ya kutapeli kiwanja na nyumba ya muumini wake na ile tuhuma ya kutembea na mke wa mtu kwa miaka mitatu


On Saturday, June 28, 2014 12:58 PM, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Dada happiness hata mimi mwanzoni niliwaza kama wewe...lkn nikajua kuwa kuna juhudi nyingi kadhaa zimefanyika lkn hazikuwa na dawa..na kwa hili la kesi ya kubaka,na mazingira hayo,bora tu lije tu hadharani ili kila mmoja ajua na aamue..mi sioni sababu kwa nini mbasha aumie kimyakimya?na kwa nini kwajima apete? Binafsi hainiingii akili hata kidogo mke wa mtu kukosana na mumewe na kwenda kuishi hotelini...Mbasha kama anayoongea ni kweli,ni heri mfe wote kuliko kufa peke yako....but kwa hatua mtayofikia baada ya yote hayo...itawalazimu kama bado mnapendana muanze kuokoka upya,mchumbiane upya,na muanze ndoa yenu upya kabisa...na hiyo itakuwa muujizza kufika mlipokuwepo kwani wanadamu hushika historia zaidi ....ngupula.

'Happiness Katabazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Kwanza nakiri Kuwa Sina maslahi na mgogoro wa wanandoa hawa ambao ni watumishi wa MUNgu.Ila napenda kuweka wazi Kuwa sifurahishwi na tabia ya wanandoa hawa Wawili kwa kila mmoja kufikia uamuzi wa kuanika magomvi Yao adharani kupitia vyombo Vya Habari.kwanza nikuulize tangu Muanike hayo magomvi yenu Kwenye vyombo ya Habari mmeupata faida gani zaidi ya kuwapa faida wale waliyokuwa hawazijui tofauti Zenu wamezijua na Wanaishia kuwadharau.
Ukisoma barua hiyo ya mume wa Mbasha Kwenye Gwajima, utaona kabisa mume wa frola anaonyesha ni mwanaume aliyekamilika lakini anakiri Kuwa anaushahidi wa wazi Kuwa Mkewe amekuwa akiisaliti ndoa yake KWA muda mrefu ila amekuwa akivumilia. 
tuliulize HIvi mwanaume mwenye akili timamu na anakiri timamu anaweza Kusema Utumbo huo adharani?
Kama uliweza kuvumilia vitendo Vya kimalaya Vya Mke wako KWA MUDa mrefu kwanini HIvi sasa unashindwa kuvumilia dhambi hiyo?
Kumbukeni huu upuuzi wenu wa kutumia vyombo Vya Habari kuanika magomvi yenu , yanadhalilisha watoto wenu na kunaaribu kisaikolojia na pia wazazi wenu. HIvi mlipooana wazazi wenu na KANISA lilowafungisha ndoa liliwaambia siku mkigombana ,atakayetatua matatizo yenu ni vyombo Vya Habari?
KWA taarifa yenu sisi waandishi wa Habari tuandika hizo Habari Zenu, magazeti yetu yanauzwa na kuingizia Fedha makampuni yetu na Nyie na magomvi yatawaacha na doa na heshima yenu kuporomoka Mbele ya jamii.
Huyu mumu wa Frola ni mweume wa aina yake Kama kweli ameandika barua yake kwa Gwajima  Kuwa eti " amevumilia sana Gwajima Kuzini na Mkewe". minaomba wanaume wenzake wajitokeze wamshauri huyu mume  wa Frola aachane  na Ujinga huu wa kutamka  maneno ya aina hii ambayo pia yanamfedhehesha na yeye Moja KWA Moja adhari.
Wanawake wako Wengi sana, Kama ameishabaini Kuwa Mkewe ni msaliti Na amemvumilia Vya kutosha ,aachane naye.
maana Katika mahusiano ya ndoa huwezi kuishi na MTu ambaye Tayari umeishambAini ni msaliti wa ndoa yenu.
inawezekana haya Madai yanaolewa na mume wa Frola yana ukweli lakini misidhani Kuwa kutumia vyombo Vya Habari na Mitandao ya kijamii ndiyo suruhisho. Jifunze kwa Aliyekuwa mume wa Mke wa sasa wa Dk.Wilbroad Slaa, alikuwa akifanya Kama ulivyokuwa kujifanya wewe  Leo hii kwakutumia Mitandao ya kijamii na magazeti kuchafua Josephine Mushumbushi. Lakini MWISHO wa siku MAIMBO ha kufanikiwa , Na Josephine Mushumbushi Yule pale Katulia KWA Dk.slaa anaendelea na Maisha yake. na Mbaya zaidi wale Waliokuwa wake shauri MAIMBO afanya Kama wewe unafyofanya Leo kutumia media. HIvi sasa wamemwacha solemba.
Sasa na wewe nakupa tafadhali mapema sana, kuanzia sasa kaa chini watafakari sana Hao watu wako wa karibu wanaokushauri utumie media kukuza ugomvi wako na Mke wako.mimina uhakika wewe hajui Hao wanaokushauri kufanya haya wa nakutumia wewe ama wewe bila wewe kujua au unajua ila MWISHO wa siku wanaofaidika ni Hao wamshauri wako na wewe Ndio utapata Hasara. tusubiri Tuone.
milikuwa mkiishi vizuri na mkeo hadi Mkawa MFANO Leo hii ni ugomvi gani mkubwa ambao shetani amewavaa hadi n ashindwa kukaa chini na wazazi wenu na viongozi wa dini mkasuruhishwa yakaisha kimya kimya?
KWA taarifa yenu hayo magomvi yenu pia yanasababisha kuleta picha Mbaya hata KWA watumishi wengine wa MUNgu Mbele ya Jamii.
MWISHO nakushauri mr.mrs Mbasha acheni tabia ya kutumia vyombo Vya Habari kuanika magomvi yenu.Ndoa nyingi zina misuguano lakini mmeishaona wanatumia media kuanika machafu Yao?
Minawaombea KWA MUNgu Huyo shetani aliyesimama Kati yenu anayewatuma mtumie media kukuza mgogoro wenu awatoke.


Sent from my iPad

On Jun 28, 2014, at 11:17 AM, "'Ngupula GW' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Duh,mwenye uwezo wa kuitafuta mbingu akaipata,na afanye hivyo,hii dunia haiaminiki tena...huyu jamaa inaonyesha asilimia kubwa ya anachozungumza ni ukweli. Ngupula

Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:

"Mchungaji ...yapata kama wiki mbili zilizopita nilihoji kupitia vyombo vya habari juu ya 'utajiri' wa ghafla wa mkewangu Mara baada ya mgogoro kutokea kati yangu na yeye, bila kupoteza muda mkewangu akanijibu kupitia gazeti moja la udaku kuwa amechangiwa fedha kiasi cha milioni 9 na waumini kanisani kwako.

Mchungaji, naomba uelewe kuwa nafahamu juu ya mipango yote mnayoipanga kuliko unavyodhani!! Kwanza ni kweli kuwa mlipitisha harambee ya kumchangia mkewangu, lakini kiwango kilichopatikana kilikuwa ni milioni 2 na laki tatu na si milioni tisa kama mlivyotangaza --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment