Nico,
Msimamo mzuri lakini hutaungwa mkono, hata Mwalimu wasaidizi wake walimhadaa, walijifanya kukubaliana na misimamo yake huku wakitoa udenda mambo ya Magharibi. Hii migogoro na minyukano itaendelea kuwepo hadi pale Mungu atapoziondoa hizi gesi na mafuta!!
2014-06-06 1:15 GMT-07:00 Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com>:
Natamani tuwe Kama Zimbabwe ili tujifunze kujitegemea.
On Jun 6, 2014 10:31 AM, "'Mike Zunzu' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:--
--Yona,Ulicho sema ni sahihi kuunga mkono kaul;i ya Wazi Mkuu, tatizo linakuwa uwanja uliotumika kuyaanika hayo, nafahamu ingawa hao wenzetu watoa misaada hawapendi watu wao waadhiliki, wao pia wasingelichagua uwaja wa kuyasema, ikifahamika mtu anajama za kuhujumu uchumi wao ataanikwa kila uwanja wat wamfahamu ni nani na anatoka wapi.Kwa wabongo tuna mbavu za kufanya hivyo hatuna, kwa hiyo mambo ni kuyamalizia huko maofisini bila kuwajulisha umma, laa sivyo mtajikuta mko kundi moja na Zimbambwe.On Friday, 6 June 2014, 7:25, 'stella sabuhoro' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
----------
Sent via Nokia Email
------Original message------
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, June 5, 2014 9:55:57 AM GMT+0300
Subject: Re: [wanabidii] UINGEREZA YAZUIA VIZA YA NAIBU WAZIRI STEVEN MASELE
Ndugu zangu ,
Alichosema mhe waziri ni sawa labda amekosea jukwaa la kuwakilisha suala
lake .
Namuunga mkono waziri kwa kauli yake na mabalozi wa nchi za nje waache
kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu kwa sababu tu wanatoa misaada kwa
taasisi fulani fulani , kwanza hii ni mikopo tunailipa kutokana na
makubaliano ya mikataba .
Kwa tuhuma hizi mama balozi alitakiwa kuwajibika kwa kuondoka nchini mpaka
hapo uchunguzi utakapokuja kuthibitika si sahihi lakini mbali ya hapo
tuhuma hizi zitaendelea kuwa sawa na binafsi namuunga mkono waziri ila
amekosea jukwaa la kuwasilisha suala lake .
2014-06-05 9:45 GMT+03:00 'mwassa jingi' via Wanabidii <
wanabidii@googlegroups.com>:
> Ameyataka mwenyewe. Kidiplomasia Masele hana ubavu wa kulumbana na ubalozi
> wa uingereza. Kazi hiyo ilipaswa kufanywa na Bernard Membe kwa sababu ndiye
> waziri mwenye dhamana na mabalozi wote walioko hapa nchini. kwa balozi
> mdogo kama masele, tena kutoka wizara nyingine nje na wizara ya mambo ya
> nje ni ukosefu wa kutokujua diplomatic protocol. Amejiingiza kwenye mdomo
> wa mamba ataipata.
>
>
> On Wednesday, June 4, 2014 8:12 PM, "'lingonetlindi@yahoo.co.uk' via
> Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
> Uingereza wako sahihi kama wanaona tuhuma dhidi yao si sahihi, waziri wetu
> alikurupuka na ushahidi ni taarifa ya ikulu iliyotofautiana na masele na
> serikali kueleza kuwa taarifa ya ikulu ndio msimamo sahihi wa serikali,
> mawaziri wetu waache kuropoka
> Sent from Yahoo Mail on Android
> <https://overview.mail.yahoo.com/mobile/?.src=Android>
>
> * From: * 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
> * To: * wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>;
> * Subject: * Re: [wanabidii] UINGEREZA YAZUIA VIZA YA NAIBU WAZIRI STEVEN
> MASELE
> * Sent: * Wed, Jun 4, 2014 2:29:37 PM
>
> Hapa ni mahala pengine tunaweza kutofautiana maoni. Sihisi athali sana
> lakini Masele aliropoka alipayuka anastahili kufinywa. Haitoshi kufikiri
> kuwa angeweza kuwajibishwa lakini hata hivyo hatuna utamaduni huo. Siwezi
> kutumia hata nukta moja kujaribu kumtetea Masele. Mimi ni Mzalendo. Siamini
> kuwa nakosa uzalendo kutomtetea.
>
>
> On Wednesday, June 4, 2014 3:38 PM, 'lesian mollel' via Wanabidii <
> wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
>
> Wazuie, kuzuia si issue kabisa, walichopaswa kuona ni je kweli tuhuma ni
> za kweli au la.......ni vibaya diplomat kama hawa kuanza kutumia fursa
> walizoanazo kuumiza nchi changa kama sisi kisa kukataa kutumia bank zao,
> sasa baloz huyu si atimuliwe.....kenya waliwahi kufanya hivo, asibabaishe
> watu hawa waingereza bana......najua Tz ni hot sasa kwa investment....gas
> na mafuta ndio maaana
>
>
> On Wednesday, June 4, 2014 1:46 PM, 'Mike Zunzu' via Wanabidii <
> wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
> Haki iko wapi? Inawezekana Masele habari alizosema hazina ukweli, lakini
> ni mara ngapi wamekuwa wa publicize habari za viongozi wa nchi
> zinazoiendelea, habari zingine zikiwa za uongo? Je nchi hizo zilichukua
> hatua yoyoye?
> Bila shaka Mh Masele wenzake wamekataa kuunga mkono yale aliyosema ndiyo
> maana balaa linamwangukia yeye peke yake.
>
>
> On Wednesday, 4 June 2014, 9:08, Pauline Mengi <paulinemengi@gmail.com>
> wrote:
>
>
> SERIKALI YA KUINGEREZA IMEZUIA VIZA YA NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI ,
> MHE STEVEN MASELE , BAADA YA WAZIRI HUYO KUMTUHUMU BALOZI WAKE HAPA NCHINI
> KUJIHUSISHA NA VITENDO VYA UJASUSI KWA MASLAHI YA NCHI YAKE .
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
*Yona Fares Maro*
Institut d'études de sécurité - SA
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment