Shule kama taasisi ya kutoa elimu kwa wananchi katika nchi yenye sheria na taratibu lazima iwe chini ya taratibu elekezi za serikali. Majengo ni mali ya mtu au taasisi lakini elimu itolewayo hapo shuleni ni mali ya umma (public). Hivyo wizara husika yenye dhamana ya kusimamia elimu inao wajibu wa kuhakikisha kila shule inasajiriwa, inakuwa na walimu waliosomea ualimu na inaendeshwa kwa taratibu na sheria zote zilizowekwa.
Kuna siku za kusoma katika mwaka, endapo mtu au taasisi itakwenda kinyume na hapo lazima wizara iwajibike kumkukumbusha. Kama watendaji wa wizara waliulizwa wakashindwa kutoa majibu sahihi huo nao ni uzembe wa hali ya juu. Taratibu zinazoeleweka ni kwamba wanafunzi na waumini wa dini ya kiislamu katika shule zote huruhusiwa kwenda kuabudu siku ya ijumaa saa sita. Katika baadhi ya nchi kuna shule zinazoitwa shule za kijamii (community schools). Shule hizi uendeshwa kulingana na matakwa ya wazazi, yaani muda wa kusoma na mengine yote ni makubaliano kati ya wazazi na waalimu pengine na hiyo ya Mtambani ni ya aina hiyo. Kweli Tanzania ina safari ndefu kuelekea kwenye ustaarabu..

2014-06-09 8:00 GMT+03:00 'Nico Eatlawe' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Wacha wafu wazike wafu wao? Waonekanao kuwa wafu wakikosa elimu wanaweza kuwawafisha wengine pia! We are not in the business of burying the dead but in instead we are in the business of raising the dead!On Sunday, 8 June 2014, 23:33, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
--Wawaache wafanye watakavyo. wanafunzi wakifaulu au kuferi si shauri lao ni la uongozi wa shule na wazazi waliopenda shule ya namna hiyo ua kusoma siku 3 kwa wiki. Waache wafu wazike wafu wao.
On Saturday, 7 June 2014, 17:15, Fakhi Karume <fkarume@gmail.com> wrote:
--Shule inayomilikiwa na Taasisi ya kiislam iliopo katika msikiti wa Mtambani Jijini Dar imetakiwa kutoa maelezo kwanini isichukuiwe hatua. Katika barua yenye kumbukumbu UKKC/DSM/E.2/37/04 imeleza kwamba shule hiyo imekuwa na utaratibu wa kuwapumzisha wanafunzi Alhamis na Ijumaa badala ya Jumapili ambapo ni kinyume cha Sheria.Katika majibu ya shule hiyo kwa mkaguzi wa elimu imesema kwamba waliomba mwongozo kutoka kwa mkaguzi unaoanisha ni siku zipi rasmi za kazi katika wiki na siku zipi siku za mapumziko katika wiki. Wakuu wa shule hiyo wanadai hadi leo hawajapata majibu hayo.
uongozi wa shule hiyo wamedai tangu ianzishwe shule 2006 utaratibu wao ni huo huo.
Amedai siku ya Ijumaa wametoa fursa kwa wanafunzi kuafanya ibada.Source: gazeti la Annur
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

0 comments:
Post a Comment