Mimi nadhani kwetu Tz tatizo ni ujinga na umasikini wa walio wengi; woga, ubinafsi na unafiki miongoni mwa "wasomi" wachache. Nashawishika kusema, ingekuwa kwingineko Afrika, yule mama na chama chake wangebebwa kwa risasi za moto, mabomu ya machozi, maji ya kuwasha n.k. Lakini, katika miaka ya hivi karibuni, marais wangapi wamepita Malawi? Vyama vingapi vimeshika dola Malawi? Lakini Malawi ipo na itaendelea kuwapo! Tutafakari! Nimtakie kila la heri Mutharika. Hope he will be a man of his words!
Date: Wed, 4 Jun 2014 05:40:55 -0700
From: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] MALAWI WANATHUBUTU HAYA - TANZANIA NA KENYA TUKO WAPI?
To: wanabidii@googlegroups.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Malaw wanaelewa sana......cc baado ndio maana hata mtu akikamata nafasi ni kuumiza wengine kwa kwenda mbele bila kujali chama gani....kuna haja ya kujifunza uzalendo.....mwone huyu prof rais mpya w a malaw ahadi zake.....zimenigusa sana , akizitekeleza, there will be a new Malawi really
On Wednesday, June 4, 2014 1:09 PM, 'Nico Eatlawe' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Good piece of information.
Hata Tanzania tunao kama Mutharika ila Joyce amewazuia wasipate fursa kuingia ikulu. Siku moja ya ajabu inakuja ambapo Farao lazima atawaachia wana wa Mungu kwenda nchi yao ya ahadi wakati yeye na farasi zake wakiwa chakula cha samaki!
On Tuesday, 3 June 2014, 11:51, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
Uzoefu wangu ni kwamba viongozi wengi wa Afrika wanafanya vizuri katika awamu ya kwanza ya utawala wao na awamu ya pili huwa wamechoka na wanaelekeza nguvu nyingi kwenye maslahi yao (kwa kujirundikia mali na kupambana na washindani wao).
--2014-06-03 13:01 GMT+03:00 'Mike Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
--Mheshimiwa Mtatiro,Hivi unadhani viongozi wa nchi yetu hawaijui misingi ya haki na wajibu wao?Wanafahamu sana, tatizo ni ukosefu wa hekima na utashi, matokeo yake ni nchi kuongozwa kwa msingi isiyofaa, hata kiranja mkuu wa shule ya msingi anaweza akawa na mtaratibu mzuri wa kupanga taratibu na kuongoza viranja wenzake kuwa ufanisi zaidi kuliko nchi yetu inavyoongozwa.Kunaweza kuwa naserikari zinazofuata misingi ya haki kila upande wa nchi tunazopakana nazo, kama viongozi wet hawatakuwa na huluka ya kuongoza kwa misingi ya haki tutabaki hivyo hivyo tukiburuzwa hadi mbingu zitakaposhuka.Tunawapongeza majirani kwa hatu hiyo ya mwanzo, iwapo yote yatafanika kama inavyosomeka, hapo ndipo unaweza kuropoka na kusema hili ni chaguo la Mungu.Send Emails to wanabidii@googlegroups.com--MALAWI WAMEANZA KUONESHA NJIA, NI TAIFA LINALOELEKEA KATIKA DEMOKRASIA YA KWELI (USIKOSE KUSOMA NUKUU HIZI NILIZOZITAFSIRI)HOTUBA YA RAIS PETER MUTHARIKA – BAADA YA KUAPISHWA KUWA RAIS WA TANO WA MALAWI – 02 Juni 2014.1. VYOMBO VYA DOLA KUTOTUMIWA VIBAYA NA WATAWALA;“Kuanzia leo jeshi la polisi, taasisi ya kuzuia rushwa, ofisi ya mwendesha mashtaka wa serikali na vyombo vingine vya ulinzi na vinavyolinda sheria vitafanya kazi zake kwa uhuru lakini kwa weledi. Tutaizatiti Taasisi ya kupambana na rushwa kwa rasilimali watu na uwezo wa kifedha ifanye kazi yake bila kuingiliwa na serikali”2. MAWAZIRI NA WATUMISHI WA UMMA WEZI NA WABADHIRIFU;“Katika utumishi wa umma, sitaongeza hata siku moja ya kumvumilia waziri wangu au mfanyakazi wa serikali ambaye anachukua mali za umma au mali isiyo yake. Mtakapoona waziri wa serikali yangu amekwamatwa msishangae. Baraza langu la mawaziri litaishi na msingi huu wa kuwatumikia wananchi.Nataka ujumbe huu ueleweke kwa uwazi kabla sijateua baraza la mawaziri. Kama matakwa yako ni kuwa tajiri badala ya kuwatumikia wananchi wa Malawi, usijihangaishe kuja kwenye baraza langu. Nitakapokuteua jiambie moyoni kuwa leo ninachora mstari mwekundu dhidi ya rushwa, wizi wa mali za umma na najiandaa kuchora mstari huo kwa damu yangu”3. VYOMBO VYA HABARI NA MAWASILIANO YA UMMA;Uongozi wetu utahakikisha kuna upatikanaji wa habari wa kutosha na katika hili tutawasiliana na washika dau wote pamoja na vyombo vya habari ili kupitisha na kutekeleza muswada wa haki ya mawasiliano kuwa sheria.Tutaruhusu Shirika la Utangazaji la Malawi (Hapa Tanzania TBC) kufanya kazi kwa uwazi, uhuru na utaratibu unaotenda haki, kufanya maamuzi ya uhariri kwa uhuru na sitaki waziri wangu wa mawasiliano kuingilia kazi yao. Hii ni ahadi nayoitoa kwa wananchi wa Malawi. Enzi za kutumia mashirika ya utangazaji ya UMMA kwa ajili ya kupendelea utawala zimepitwa na wakati. Enzi za kufanya makeke ya watawala kupitia vyombo vya habari vya umma zimepitwa na wakati”4. KUBANA MATUMIZI YA SERIKALI;“Tutatekeleza utaratibu wa kubana matumizi. Hii itajumuisha Rais kufanya kazi Ofisini kuliko barabarani. Ndiyo, nitakuja kuwatembelea katika shughuli za kijamii na kitaifa. Lakini msiniulize kuja kuwatembelea bila sababu za msingi huku nikitumia gharama kubwa za taifa. Nitawawezesha maafisa wote wanaohusika katika utumishi wa umma wafanye kazi zao karibu yenu kama wanavyotakiwa”.5. KASHFA YA “CASHGATE”Wana- Malawi wenzangu, katika miezi kumi na mbili iliyopita, kulikuwa na jinai kadhaa zilizofanywa dhidi ya nchi yetu, kwa mfano KASHFA YA “CASHGATE”. Ninapenda kuwaeleza kwamba uchunguzi wa kashfa hii ambao ulianzishwa na Rais Joyce Banda utaeendelezwa na kukamilishwa kwa haki. Wana wa Malawi wanasubiri kujua nani alifanya nini. Wana wa Malawi wanataka rasilimali zao zilizoibiwa zirudishwe. Wana wa Malawi wanataka haki itendeke na hakuna atakayeidanganya serikali kuwa eti inawawinda watu bila sababu.6. UTANGAMANO WA KITAIFA;“Ndugu zangu wana wa Malawi, nimeapishwa kuilinda katiba ya Malawi na kusimamia utawala wa sheria. Hili nitalitekeleza. Lakini naomba niweke jambo moja wazi. Sheria lazima iachwe ifanye kazi peke yake inapotokea makosa yametendwa. Lazima tukomeshe utaratibu wa kukamata mtu halafu tunatafuta kosa lake baadaye. Lazima tukomeshe tabia ya kuwaadhibu wale tusiowapenda kwa sababu wanafuata itikadi iliyo tofauti na ya kwetu. Nyakati za kutumia vyombo vya dola na vya haki kwa ajili ya KUWASHUGHULIKIA wapinzani wetu kisiasa zimeshapitwa na wakati. Tusichanganye utendaji na utafutaji wa haki na visasi vya kisiasa”MAONI YANGU!Kwa vyovyote vile, Tanzania tuna kila jambo la kujifunza kutoka kwa taifa hili masikini, Uvumilivu wa Kisiasa, Kauli za viongozi zenye kuonesha matumaini na Dira sahihi na Nia njema inayotoka katika kauli za viongozi. Hapa kwetu kauli za viongozi ni “JESHI LITACHUKUA NCHI”, “TUTAINGIA MSTUNI”, “KULENI NYASI” “WANANCHI HAWANA AKILI” n.k. Hata kashfa zetu kubwa za mabilioni ya fedha yaliyochotwa zimeishia hewani kwa sababu wakubwa wanalindana na wanalindana huku taifa LINAKWISHA. Tuendelee kutafakari.J. Mtatiro,Dar Es Salaam,
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment