Wednesday, 18 June 2014

Re: [wanabidii] KIGOGO WA NCCR MAGEUZI AJIVUA UANACHAMA

Nakubali aliyesema "NI WALEWALE" kwa sabb kila nikisoma kinachodaiwa amekisema/andika, nagundua ni kilekile kilichowahi kuletwa humu na tukaelezwa wamekisema walioitwa ni baadhi ya viongozi wa vyama vitatu c/o UKAWA wa mikoa fulani hapo mwezi hivi kabla.

Ndio maana kwangu taarifa hizi ni muendelezo tu wa mbinu za wanaopinga UKAWA, na hawa si wengine bali wanaopigania Rasimu isiyo rasmi ya Katiba mpya ndio ijadiliwe BMKatiba.

Inachangamsha kubaini kuwa mpaka sasa, hakujawa na hoja inayojisimamia ya kurudisha UKAWA ndani ya BMK ili liendelee na kazi. Hakuna kwa sabb waliosababisha UKAWA wasusie Bunge lile, hawajaamini bado kuwa wao ndio TATIZO - wamelenga kuvuruga Rasimu rasmi ya Katiba mpya, ile iliyowasilishwa na Justice Warioba. Na kwa hapo, ni upuuzi kurudi Bungeni. Warudi Ukawa ili iwe nini while wanaosukuma mjadala nje ya Rasimu Rasmi hawajaona wao ni tatizo? Likirudi bunge, ni mpango tu wa kutafuna pesa za wananchi, zile ambazo wabunge wa BJM wanalia wanazihitaji ziiingizwe kwenye mafungu ya miradi ya maendeleo ambayo kwa sehemu kubwa imekosa pesa. About 80 ya pesa za maendeleo zimepelekwa kwenye manunuzi. Hapa maana mwananchi amewekwa kando ktk vipaumbele vya this CCM government.

Mimi nafurahi tu hali kwa sabb chama hichi kinajichongea chenye kwa wananchi. Wanakichukia kuliko sumu ya panya!

Natoka.

Jabir+
--------------------------------------------
On Tue, 6/17/14, Theophil Makunga <tmakunga@tz.nationmedia.com> wrote:

Subject: [wanabidii] KIGOGO WA NCCR MAGEUZI AJIVUA UANACHAMA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, June 17, 2014, 9:18 PM

Kazi aliyopewa huko nccr, ama
imemshinda ama ameimaliza ndiyo maana anashindwa kutoa
sababu ya kujiondoa kwake. Hivi naye huyo alikuwa kigogo
nccr?  From: wanabidii@googlegroups.com
[mailto:wanabidii@googlegroups.com]
Sent: Wednesday, June 18, 2014 7:57 AM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] KIGOGO WA NCCR MAGEUZI
AJIVUA UANACHAMA  Huyu ndugu sijamwelewa. Kilichomtoa ni ajali,
bajeti, Katiba, UKAWA au nini!
Mbona statement yenyewe kama vile ni ya kughushi.
Nahisi NCCR MAGEUZI watafanya sherehe kwa huyu ndugu
kujiondoa kwenye chama maana naona kama ulikuwa mzigo
usiobebeka. From: 'Mollel'
via Wanabidii
Sent: ‎6/‎18/‎2014 1:01
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] KIGOGO WA NCCR MAGEUZI AJIVUA
UANACHAMANi kweli Baha

'bahabp2003' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:Kazi
kwelikweli huu usanii huu,balaa        Sent from Samsung
tablet

-------- Original message --------
From 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

Date: 17/06/2014 23:57 (GMT+03:00)
To wanabidii@googlegroups.com

Subject Re: [wanabidii] KIGOGO WA NCCR MAGEUZI AJIVUA
UANACHAMA

Ipo siku mtu
ataita waandishi wa habari kuwaambia leo sili chakula.

 On Tuesday, June 17, 2014 5:09
PM, Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>
wrote:
 TAMKO LA
KUJIVUA UANACHAMA WA CHAMA CHANCCR –
MAGEUZI 17 Juni 2014.
 1 :0  
 UTANGULIZINdugu wana
habari na ndugu Watanzania, kwa kutambua mchango
wangumkubwa ambao
nimkuwa nikiufanya katika ujenzi wa vyama vya siasa
hasaUpinzani hapa
nchini, ni dhahiri nimekuwa mjenzi wa vyama
kulikomafanikio ya
wananchi.  Nimegundua mengi sana na kujifunza mengi
sanajuu ya hivyo
vyama vyetu vya Siasa, tunapotafuta demokrasia
katikanchi yetu sio
tu kuwa huru kwa kila jambo bali kuwa na UTU kwa
watu  tunaowatafutia
Demokrasia ya kweli, hatuwezi kusema nchi
hainademokrasia
kama hatujatenda haki kwa wanachama au wananchi
wetu.
 SABABU ZA
KUJIUDHURU UANACHAMA NA NYADIFA ZOTE ZA
UONGOZI.
 2 :0  
 AJALI YA GARIMwaka jana
June 2013 kulikuwa na uchaguzi mdogo wa Udiwani
Wilayanisengerema
Kata ya Nyampulukano na mimi nikiwa msimamizi wa
Uchaguzihuo mdogo wa
marudio, jumamosi ya kuamkia uchaguzi tulipata ajali
yagari tukitoka
kukagua vituo vya kupigia kura na mimi nilikuwa kiti
chambele cha
gari na nikapata maumivu makali sana, japo nilipewa
hudumaya kwanza
lakini baada ya hapo sikupata matibabu stahiki kitu
ambachompaka sasa,
nisingeweza kulaumu kama hawajui lakini wanajua
fikaviongozi
wenzangu, na ukizingatia wakati ule nilikuwa Katibu
waMahusiano na
Uenezi Taifa kitengo cha Vijana.
 Kutokana na
hali kuwa si nzuri na kufikia kuona nalalamika ujue
kabisahali si nzuri
ki afya, jambo la msingi kwa wenzangu hata kama
wanahisina makosa
lakini jambo la Busara ni UTU kwanza wakumponya
aliyemgonjwa ndipo
busara zingine zinafanyika, kiukweli nasikitika sana
naninaumia sana
kwa tukio hili maana ile ilikuwa ni kazi ya chama
nasiya mtu, ina
maana hata Elfu kumi tu nayo ni ngumu ?  kweli
hapatujiulize
sasa, na ndio maana naumia sana kwa hilo, kwa hili
miminaona kama
wamenitelekeza na kuniachia familia yangu
mzigo.
 Nashauri tu
kuwa vijana wenzangu wa Kitanzania tunapo jiunga na
vyamavya Siasa
 tuchunguze UTU kwanza kabla hatujafikia maamuzi na
tusiwewashabiki
wasiasa bila kujua hatima yetu kimaisha, nashauri
kamavijana tuwe
tunasapotiana kwenye matatizo maana leo limemkuta
Kisandukesho
linakuja kwako.  Nimejaribu hatakuomba msaada kwa
baadhi yaviongozi
rafiki msaada wa aina yoyote bila
mafanikio.
 USHAURI WANGU
kwa chama changu NCCR – Mageuzi naomba kama
hililimetokea
kwangu basi lisijirudie kwa mwingine kwani hata
Munguhapendi kuona
hali kama hizo.
 Kutokana na
hili la matibabu ndugu na familia yangu
wamenishauriniachane na
Siasa za vyama ili waweze kuona wananisaidia
vipi,kimsingi
naungana na ndugu zangu na kukubali ombi lao kuliko
kuumianamna hii.
 Naomba msamaha kwa viongozi wenzangu pale tulipo
kwazanana mimi na
wasamehe pale walipo nikosea japo nabaki na maumivu
yakiafya.
 
 3 :0  
 KATIBA MPYAKwa upande wa
swala la KATIBA MPYA, huu mchakato si wa mtu mmoja
auwatu kadhaa
bali ni mchakato wa Watanzania wote.  Swala la Muundo
waMuungano si
swala la CCM wala UKAWA bali ni letu sote,
hapaningeshauri
tu kuepuka mvutano baina ya serikali mbili au
Serikalitatu, wakakaa
pamoja na kufikia maridhiano yenye Busara ili
tupateKatiba mpya
inayoendana na mazingira ya Kitanzania.   Pia
lazimawawakilishi
wetu Bunge la Katiba watambue kuwa maoni ya Serikai
mbilini ya
Wananchi na Maoni ya Serikali tatu nayo pia ni ya Wananchi
hivyoBusara ndio
itumike kurejesha Umoja wetu wenye katiba ya
pamoja.
 4 :0  
 KUHUSU BAJETI YA SERIKALI MWAKA
 HUUViongozi wetu
watambue kuwa Bajeti hii ni ya Watanzania wote
hivyobadala ya
kukosoa tunapaswa kuboresha na tusikosoe bila
kuiboreshamaana kama
tutakosoa tu mwisho wa siku tutakuwa hatuja tibu
chochotebali serikali
ikosolewe kwa kupewa solution.
 
 5:0  
  UKAWAHakuna dhambi
mbaya kama dhambi ya ubaguzi,  Baba au Mama
akibaguabaadhi ya
watoto tena wadamu ni dhambi kali sana ya
ubaguziinayohitaji
kukemewa.  Ndugu zangu wanao jiita UKAWA hawa jamaa
siwazalendo
kabisa wametawaliwa na dhambi ya ubaguzi wa vyama.
 Vyamavya Siasa
vipo 23, vyama 22 vikawa ni vyama vya Upinzani, iweje
leowote ni
wapinzani eti UKAWA iwe ya vyama vitatu vya upinzani
fikiriakama ni
uchaguzi Mkuu, vyama vitatu kugombea uchaguzi haisaidii
maanahata robo
haijafika. Ubaguzi uliofanywa na hawa jamaa
hauvumilikikabisa na si
vitendo bali ni Umoja ndani ya Mtengano.
 Wakiwezakuungana
vyote vyama 22 vikawa UKAWA basi nitakuwa tayari kuendelea
nasiasa na hata
Serikali 3 nitaunga mkono lakini dhambi ya kubaguana
yavyama
 itaendelea basi ni heri Serikali 2 au 1 maana UKAWA ni
ya vyamavitatu na si
ya wananchi maana ya UKAWA ya wananchi ni ya vyama
vyote22 vya
Upinzani dhambi ya ubaguzi iacheni ni Pepo
mchafu.
 
 6:0  
  FIKRA MBADALAVijana
wenzangu tuache mihemko na jaziba katika ushabiki wa mambo
yakisiasa na
tuhamie katika uzalendo wa kujenga nchi yeye Amani
naUzalendo bila
kujali itikadi za vyama vyetu na tusijikite
kuchaguavyama bali
tuchague viongozi wanaotufaa bila kujali Ushabiki wa
vyama.
 
 7:0  
  MAPUMZIKOKwa sasa
nimeamua kupumzika siasa na kuangalia mstakabli wa maisha
yakifamilia
kwanza, pamoja na kupumzika huko nitapumzika na
kwambanitakuwa
naelekea chama gani hilo si swala la leo mpaka
palenitakapooona
inafaa na sijui ni lini.
 Ndugu
wanahabari nifikishieni taarifa hii kwa umma wa Watanzania
naMungu atupe
uzima wa maisha marefu.
 0786 025
609
 MUNGU IBARIKI
TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA.
 
 MWL.
DEOGRATIUS KISANDUALIYEKUWA
MJUMBE WA HALMASHAURI KUU TAIFA NCCR – MAGEUZI 17 / 06 /
2014--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
 --

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

Note:
This
message is for the named
person's use only.  It may contain confidential,
proprietary or legally
privileged information.  No confidentiality or
privilege is waived or lost
by any mistransmission.  If you receive this message in
error, please
immediately delete it and all copies of it from your system,
destroy any hard
copies of it and notify the sender.  You must not,
directly or indirectly,
use, disclose, distribute, print, or copy any part of this
message if you are
not the intended
recipient. MWANANCHI COMMUNICATIONS
LIMITED and any of its subsidiaries each
reserve the right to
monitor all e-mail communications through its
networks.
Any views
expressed in this message
are those of the individual sender, except where the message
states otherwise
and the sender is authorized to state them to be the views
of any such
entity.

Thank
You.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment