Thursday, 5 June 2014

Re: [wanabidii] CCM NA UCHAGUZI WA MGOMBEA URAIS 2015

Emma, wacha nkuongezee,
6. Dr. Augustine Mahiga - undp
7. Jaji mstaafu Ramadhani - ruco

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, June 4, 2014 9:32:52 PM GMT-0700
Subject: [wanabidii] CCM NA UCHAGUZI WA MGOMBEA URAIS 2015

CCM NA UCHAGUZI WA MGOMBEA URAIS 2015,
Majina:-
1, Asha Rose Migiro,

2, Benard Membe,

3, Edward Lowasa Ngoyayi,

Samwel Sitta,

4, John Pombe Magufuri,

Hawa ndiyo wanaowania kuchaguliwa kugombea Urais kwa Card ya CCM 2015,

Mwanamke atapita kwa kisingizio cha jinsia kama walivyomufanya Sitta kwenye
usipika wakamupa Anna Makinda,

Lowasa hata chaguliwa na CCM agombee Urais maana wanajua akiupata tu urais
basi mambo yatakuwa hivi,

1, Wanakamati wote wa kamati ya RICHMOND watakiona cha moto,

2, Waziri mkuu atakuwa Chenge,

3, Waziri wa fedha atakuwa Rostam Azizi,

4, Mwanasheria Mkuu atakuwa Ngereja,

5, Waziri wa mambo ya ndani atakuwa Kangi Lugola,

6, Waziri wa Ulinzi atakuwa Deo Filikunjombe,

Hawa jamaa nitishio kwa serikali ya CCM Iliyopo kwa sasa na kama wakichukua
Nchi watahakikisha wanawafunga watu kuazia ngazi shina hadi akina NAPE
NAUYE, KINANA na wengine kibao.!!!

Huu ni utabiri wangu na kama hamuamini Lowasa achukue Nchi muone,

Ila kwa sababu CCM wameshaligundua hilo watasema kipindi hiki tunaweka
jinsia ya kike hivyo Lowasa watakuwa wamemkata makari aksante.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment