Wednesday 22 May 2013

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Vurugu Za Mtwara Na Kinachohitajika Sasa…

Nyoka kakimbia wakati anaoneka live akiendelea kumwaga sumu kila kona
na kila uchao?

On 22/05/2013, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
> Ndugu zangu,
>
> MTANZANIA mwenzetu marehemu Shaaban Robert anaandika;
>
> " Wasadikika wana desturi ya kutafuta fimbo baada ya kuumwa na nyoka.
> Tumekwisha umwa na nyoka kwa matendo yetu mabaya ya zamani.
>
> Nyoka mwenyewe amekwishakimbia. Hapatikani kwa kujilipiza kisasi, lakini,
> sumu yake imebakia katika jeraha tulilolipata. Sasa, shauri lililo jema ni
> kuzuia sumu hii isienee miilini mwetu ikaleta kifo.
> Maovu yana hatari kubwa kukaa kati yetu. Tumedumu nayo kwa muda mrefu.
> Hayakutuletea faida ila hasara, huzuni na kilio siku zote."- Shaaban Bin
> Robert.
>
> Ndugu zangu,
>
> Yanayotokea Mtwara yanatuletea mashaka kama taifa. Linalohitajika sasa si
> tamko la Serikali tu, bali, tamko letu Watanzania kwenye mioyo yetu,
> kwamba, pamoja na haki yetu ya kimsingi ya kudai haki, lakini, lililo la
> hekima na busara ni kutumia njia mujarab za kuitafuta haki hiyo.
>
> Na njia hiyo haiwezi kuwa ni matumizi ya nguvu ikiwamo kufanya vurugu.
> Hivyo, kufanya maovu ikiwamo kutoa roho za wenzetu na uharibifu wa mali,
> iwe imefanywa na wananchi au Serikali.
>
> Kama Watanzania huu ni wakati wa kufikiri kama taifa. Hii ni Nchi Yetu.
> Huu si wakati wa kufikiri kwa mitazamo ya kiitikadi au kiimani. Yanayotokea
> Mtwara yana madhara kwa nchi nzima, na yakiachwa bila kupatiwa ufumbuzi
> wa
> haraka, yatatawanya sumu mahala pengine pia.
>
> Ni wakati wa Viongozi wa Serikali, Viongozi wa Chama Tawala, Viongozi wa
> Vyama Vya Upinzani , Viongozi wa kidini na kwa kuwashirikisha wazee wa
> Mtwara, kutoa matamko yatakayosisitiza umuhimu wa kutumia majadiliano
> katika
> kupata ufumbuzi wa tatizo lililopo.
>
> Tukumbuke, kuwa nchi yetu ina mipaka, hivyo basi, ina maadui pia.
> Tusipotanguliza hekima na busara, yumkini tunaweza kutoa nafasi kwa maadui
> kutugombanisha zaidi. Na hivyo ikawa hasara zaidi kwetu , na faida kwa
> wengine.
>
> Hakika,tunaweza kuyamaliza yetu kwa mazungumzo. Tuianze kazi hiyo sasa.
>
> Maggid Mjengwa,
>
> Iringa.
>
> 0754 678 252
>
> http://mjengwablog.co.tz
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forums" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>


--
Sincerely Patty,
Cell: +255 713 474 155
+255 767 474 155
E-mail:magubira@gmail.com,
pmagubira@aol.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment