Sunday 26 May 2013

[wanabidii] Re: jukumu la kuleta amani

Dada anna kutoa habari au kuhabarisha watu ni rahisi sana, only 5 ws...ila sasa kuna mambo mengine ambayo ukitaka kubobea kifani lazima uingie darasani....hii ni habari ni njema na imeeleweka mambo ya gmo na mm ni kati ya wanaopinga sana gmo kwa nchi zetu....let look on food soveriegnity ....mavyakula haya ya kupandikizwa yanaharibu kila kitu, kuanzia,maumbile, tabia, afya nk nk....tuangalieni vyakula vyetu vya asili...nimeandika resaerch propisal yangu flani bado napambana kupata donor ya mambo ya food soverignity ktk tz......simalizii nataka kufanya nn...ukipenda lete pesa nijoin tufanye.........so sure kuna haja ya kuipiga vita sana haya magmos kuanzia mambegu yao , vyakula nk....tchao

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment