Thursday 2 May 2013

[wanabidii] Re: AIBUUU.... PADRI WA KANISA KATOLIKI HUKO MOSHI AFUMANIWA LIVE NA MKE WA MTU AKIWA UCHI WA MNYAMA

TUSUBIRIE UHARIFU WA AINA MPYA SIKU ZA MBELE;

Unajua serikali inalea kitendo cha GLOBAL Publishers kutoa na kuweka picha za utupu kwenye front page za magazeti yake.This is Pornography in real sense.Wanauza na wanapata pesa kwa hii business strategy wanayotumia ya kuonyesha picha hizo.Watu wako addicted sana na masuala ya ngono na picha hizo,hivyo kwa kuweka picha hizo kwenye magazeti Mauzo yanaongezeka na hii inawapa hamasa kuendelea kutoa picha na kutafuta picha hizo kwa njia yoyote ile.
Hivyo basi,hii ni kama biashara ya madawa ya kulevya,siku wakikosa hizo picha,watakosa mauzo na kipato kitapungua.Lakini kwa kuwa wanaruhusiwa kuziweka front page,na bila kujali picha hizo zimepatikana wapi,na kwa nini basi tutegemee yafuatayo;

1.KUTANGAZA SOKO LA PICHA HIZO;
Hlili litafanyika au kwa kujificha au kuvamia nyumba ya mtu wakati wowote kwa kutumia njia mhusika aliyeahidiwa pesa.Watu tutaanza kuvamiwa hata bafuni,na unaombwa hela ukikataa wanapeleka GLOBAL PUBLISHERS wanaijengea kichwa cha habari wanauza.
Au wanakukuta ndani kama majambazi wafanyavyo,wanakuja na binti wanakuambia uvue nguo,wanawapiga picha ,wanasema uwape pesa ukiwanyima wanapeleka GLOBAL PUBLISHERS wanajengea habari wanauza.Yaani huu ni ujambazi ambao hautakuwa na malalamiko maana wana evidence fake zako na hauwezi kubisha maana tayari wana picha na binti jambazi ataenda kutoa ushahidi.Hii itakuwa hatari kwa Mapadri na Mabachelor ambao wanaonekana wana pesa kidogo.

2.UJAMBAZI KIMYA(UNYANG'ANYI WA KIMYA)
Kwa sasa GLOBAL ikiendelea hivi kuuza picha bila serikali kuangalia,basi ujue kuwa kuna hatari ya kujenga UJANGILI MPYA wa kuuza picha za uchi nchi kwa GLOBAL PUBLISHERS,.Hawa mauzo yao yanategemea uuzaji wa pics hizo hawawezi kuacha kuuza watatafuta njia ya kuzipata.Nayo ni kutumia watu hasa mabinti,au vijana ambao watatumika kuwavamia na kutumika kuchukulia picha hizo za kuuza.Unafikiri kama mtu anatumwa kuua ili apewe pesa kidogo sembuse hii ya picha tu.WATATUMIKA WENGI,NA WATU TUTAABISHWA SANA.

3.TUTEGEMEE NDOA KUVUNJIKA;
Kwa sababu hizi zinapangwa na watu wenyewe,mke akiweka mtego wa kumbamba mwanamume fulani na mwanamke huyo akatoa siri hiyo basi ujue kuwa ndoa ni mwisho.
Kiukweli kuna mengi sana ambayo vyombo vya dola visipoangalia kutatokea UJAMBAZI WA KIMY KIMYA na watu tutaathirika sana.
On Monday, April 29, 2013 7:07:52 AM UTC-5, richard bahati wrote:


Nimeshindwa kuiweka hii story katika blogu yangu kwa kuwa ninaamini aliyofundisha St. Francis na ningependa na wewe usome na pengine uamini kama mimi. Watumishi wa Mungu ni wa kuombea kwa kuwa wanakutana na vishawishi vingi sana na pengine kwa nguvu zao wenyewe si wote wanaweza kutimiza yote yanayoagizwa juu yao. Ni kama askari walio mstari wa mbele vitani, wanaonekana haraka na kwa kuwa ni hatari zaidi kwa adui (shetani) wanakuwa kwenye nafasi ya kushambuliwa zaidi kuliko wengine. Hata hivyo hiyo sio kisingizio cha kutimiza ahadi zao, bado wana option ya kuamua kama Mtume Paulo alivyosema, anayeweza kuishi kama mimi na aishi, na asiyeweza basi na aoe. 
 Now to the unmarried and the widows I say: It is good for them to stay unmarried, as I do. But if they cannot control themselves, they should marry (1 Corinthians 7:8-9)

How could anyone respect a sinful priest?! St. Francis did!

St. Francis wanted all of his brothers to honor and lovingly obey all members of the clergy, especially priests who have, as St. Paul said, 'the responsibility of watching over your souls'. Francis' rationale for honoring the clergy is based on the fact that it is GOD that has decided to act through them . . . to bring Christ back into the world physically, during the Mass, and HE ALWAYS deserves our honor and respect! .........

http://goldentz.blogspot.com/2013/04/aibuuu-padri-wa-kanisa-katoliki-huko.html

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment