Saturday 4 May 2013

Re: [wanabidii]Degree mbili mtu hajui kingereza,Tanzania tutafika?

Habari wanabidii
Hili swala la mtu kua na degree 2 na akawa hajui kiingereza mimi sioni kama ni tatizo, kwani kuna mambo kadhaa ya nayo weza kuambatana na hilo. 
Kabla ya kumbeza na kufikiri Tanzania inaweza isifike kwa yeye kutojua kiingeraza, unapaswa pia kujua hizo degree alizisomea nchi gani? Na kwa kutumia lugha ipi?....swala la msingi hapa ni elimu aliyokua nayo na si lugha ya mawasiliano!!! 
Kwangu mimi ninge mtathimini mmiliki wa Degree hizo kwa uelewa na ujuzi wake, umakini, utendaji wake na umakini wake katika kutekeleza mambo  kulingana na elimu yake!! 

Sent from my iPhone

On May 4, 2013, at 5:42 PM, thebennynho <thebennynho@gmail.com> wrote:

Mbona wachina hawajui kingereza na mambo yao yako juu tu...acheni upompompo
ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:

Huu ni utumwa mbaya sana (wa kudhani kwamba kujua kiingereza ndio mambo yote) ambao ni mtu mwenyewe ndiye anayeweza kuamua kuondokana nao na wala siyo watu wengine.

Sent from Yahoo! Mail on Android

From: Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii]Degree mbili mtu hajui kingereza,Tanzania tutafika?
Sent: Sat, May 4, 2013 11:32:49 AM

amon kwani wewe ulitaka mtu anayejua kingereza au mwenye digrii mbili?

On 5/4/13, amon mkoga <dramontz2002@yahoo.com> wrote:
> Salaam
> Jana sikuamini macho yangu nimekutana na kijana mwenye degree mbili lakini
> kingereza hajui kabisa,ktk EAC tutauweza ushindani kweli?
>
> AMON MKOGA
> P.O BOX 78566
> MOBILE 0755 638 004/0784 772628/0655 638 004
> EMAIL dramontz2002@yahoo.com
> DAR ES SALAAM
> TANZANIA
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment