Acha uvivu wa kufikiri! Swali lina mapungufu mengi!!! Nani kakuambia Chuo Kikuu Dar es Salaam kinatoa wanafunzi bora katika fani ya Ushirika, Udaktari, Unesi,Teolojia au Ugavi?!!
Justinian Mushumbusi Bamanyisa Moshi University College of Cooperative and Businesss Studies (MUCCoBS) Sokoine Road, P.O.Box 474, Moshi, Tanzania Mob. +255 754 514 316/ 715 514 316
--- On Mon, 5/6/13, Ipyana Lwinga <ipyanalwinga@gmail.com> wrote: From: Ipyana Lwinga <ipyanalwinga@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] Which University in Tanzania produces the best students? To: wanabidii@googlegroups.com Date: Monday, May 6, 2013, 5:40 AM
Nadhani UDSM ndicho chuo kinachotoa wanafunzi bora hawa kwa kuangalia kinavyofanya kazi na kujiweka katika nafasi nzuri Africa. Hii si kwa sababu tu nimesoma pale, bali ukiangalia miaka ya hivi karibuni wamejaribu kuzuia migomo ambayo hukwamisha ufanisi wa wanafunzi hasa pale wanafunzi wanapofukuzwa chuo. Ndio wengine wataongelea vyuo vingine, hiyo ni mtazamo wangu mimi na si tu kwa kuwa nimesoma pale bali ni kwa sababu ya Products zake kutambulika na kuwa chachu kwa dunia nzima! -- Ipyana Lwinga Email: ipyanalwinga@gmail.comMob: +255 757 065577 Skype: ipyana.plwinga "Mpende Jirani yako kama nafsi yako..." -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+ unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+ unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
|
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment