Gani na kwa toka ipi!waacheni wamachinga jamani hao watching waridishieni chao,katakana rais wao!!!!
Sent from my Xperia™ smartphone smartphone
-------- Original Message --------
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI
From: heri rashid <herirashid@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
CC:
| Naungana na watanzania wapenda amani kulaani kinachotokea Mtwara! Ki ukweli si kizuri! Yanayotokea yote kama ukifuatilia yanalenga kundi moja ama uwe kiongozi wa serikali au mwanachama wa chama cha mapinduzi. Hawa ndio waathirika wakuu na walengwa. Kwa mtazamo wangu kuna tatizo ambalo viongozi na wanachama wa chama cha mapinduzi wanatakiwa wajiulize KWANINI IWE SISI TU NA SI WATU WENGINE? Muono wetu ni sawa na wa watu wengine? Jana kabla bunge halijaahirishwa, mama yangu Anna Kilango Malecela alipewa fursa ya kuchangia bajeti ya wizara ya nishati na madini na akasema nchi za Trinidad na Tobago zimefika pale kwa sababu ya gesi asilia. Wanachimba na kuuza gesi asilia na wameendelea kiviwanda. KWANINI WATU WA MTWARA wasifikirie kama watu wa Trinidad na Tobago? Kuna ulazima gani kusafirisha gesi kwenda Dar Es Salamu kwa Bomba? Jana hiyo hiyo Rais alisema gesi ni rasilimali ya taifa na itanufaishwa watu wote wa Tanzania. na akatolea mfano wa kahawa inayolimwa Kilimanjaro na Kagera. Kiukweli Kahawa inalimwa mikoa hiyo na mikoa mingine, Lakini viwanda vya kusindika kahawa vimejengwa huko huko. Madini ya tanzanite yanachimbwa Mererani na yanauzwa kwa wingi Arusha kwanini yasisafirishwe Dar Es Salaamu ndio yakauzwe? Ulazima wa gesi kwenda Dar Es Salaamu sijauona. Maoni yangu, SERIKALI IONE HII NI CHANGAMOTO NA kimsingi watu wa Mtwara wana haki ya kuhoji na wasipopatiwa majibu ya kujitosheleza kukataa. Kama kweli serikali inataka kuondoa msongamano Dar, haina budi miundo mbinu bora ikasambaa kote Tanzania. hii ni fursa ya Mtwara na mikoa ya jirani kuboreshwa kutokana na uwekezaji wa uchimbaji wa gesi. --- On Thu, 5/23/13, Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com> wrote:
|
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--

0 comments:
Post a Comment