Hii hali ni mbaya na HEKIMA isipochukuliwa itasababisha uharibufu wa miundo mbinu zaidi. Magari yanachomwa moto, madaraja ya mamilioni yanaharibiwa, na vifo vinatokea. Target ni ofc za serikali, baada ya machafuko wana-Mtwara watahudumiwaje. Hayo mambo yaangaliwe vema.
|Alexander
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, May 22, 2013 5:06 PM
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI
Radio zimeongea vizuri zaidi zimetoa maelezo makini ya kinachoendelea na uharibifu unaofanyika na waandishi wa habari kuwindwa eti wakiongea wanaipendelea serikali. Kwa hali ilivyo Mtwara sasa, wageni ni wengi sana wanaohusika na utafiti na shughuli za miradi ya maendeleo funded by international devemopment organizations. Ni hatari sana kama watawavamia hawa na kuwadhuru. Ikiwa suala ni Gas ibaki kwao, basi watu wa Kihansi na huko Ruaha-Mikumi Kilombero, Pangani 1 and 2 Tanga; Mtera, Nyumba ya Mungu dam ambao hata kuvua huzuiwa nao waanzae kukata milingoti ya Miti kuzuia umeme Usije Dar na Maeneo mengine? Mungu atusaidie. Mbona mafao ya National park, Madini tunatumia nchi nzima kama sources za hela za nchi ambapo hata wafugaji na wakulima kando ya mbuga hizo kuingia protected areas wanaadhibiwa? Kwao hao vijiji vingine vyenye vyanzo vya umeme umeme unapita juu angani ya waya za umeme wao wanamulikia mienge ya moto. Hawana benefits na benefit sharing ni mkakati mpya wa sasa kimataifa kuanzia RIO Summit 1992. Maji yanatoka Ruvu, wami yananywewa mijini kuko vijijini misitu ni protected wasitumie ili maji ya mto yapatikane kwenye intakes yafike e.g. DSM. Tukifanya hivi kwamba kila mwenye ambako resource ipo azuie hatutofika mbali. Issue ni planning for benefit sharing. Wao watafaidikaje? Kuwe na mpango katika aina zote za resources ambazo zinatambulika kama mali ya umma sio binafsi. Hatutatatua matatizo kwa kuharibu miundo mbinu. Kubomoa daraja na mwenye mimba sasa na hofu ya mapambano uchungu utakuja haraka. Jee, utamsafirishaje unapokataza wasitoke nje na kuharibu miundo mbinu? Kweli tunafurahia haya na wengine kuona kuwa ndio faida ya utawala ni wa kifisadi ambapo mafisadi ni waume na ndugu zetu. Wakishitakiwa-tunaweka mawakili wazito. Na wakirudi home hao mafisadi tunawapigia KURA sisi wenyewe wanashinda tena. Jamani tumrudie Mungu. --- On Wed, 22/5/13, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:
|
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment