Thursday 23 May 2013

RE: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI

Salum,
 
Kwanza sikubaliani na hizi fikra eti za kuwaelimisha wana Mtwara. Hivi ni nani anayetakiwa kumuelimisha mwenzake? Nadhani Serikali inabidi ielimishwe ili iweze kujua aspirations na needs za wana Mtwara. Hivyo nasi tunatakiwa kuelimishwa ili kujua ni kwa nini wanafanya hayo wanayoyafanya?
 
Pili, hivi unafikiri utawaelimisha wana Mtwara kwa kuwapeleka Wabunge nje? au kwa Waziri kwenda kuongea na watu wachache na tena viongozi wa serikali? huko sio kuelimisha. Mipango yoyote inatakiwa ianze chini, serikali ilitakiwa kujenga ownership kwa wananchi wa Mtwara, hawakufanya hivyo, inawagharimu, sasa wanatafuta wa kumlaumu, eti wanachochewa, hivyo ndio wanazidi kulikoroga.
 
Kwa nini wasiwatume wataalam, sociologists wakaenda kufanya utafiti wa kina na kujua chanzo ni nini? hivi unadhani hata ukiwaelimisha usiku kucha ndio wataunga mkono mpango huu? katu haiwezekani. Wakikumbuka walivyotapeliwa na utaratibu wa stakabadhi ghalani, wanachukia kweli. Kwanza walipwe korosho zao kwa bei nzuri ili waweze kupeleka watoto wao shule.
 
Sele
 
Date: Thu, 23 May 2013 05:26:13 -0700
From: salumkango@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI
To: wanabidii@googlegroups.com; josephkumb@yahoo.com; samkwawa2@yahoo.com; mditihenry@yahoo.co.uk

Ndugu yangu Lucas ni lazima tufike wakati dirisha tuliite dirisha na si mlango wa kuingiza hewa ndani. Tukubali kwamba wananchi wa Mtwara wamekosea kwa njia waliyoichukua kudai haki zao. Na si kweli kwamba serikali haijafanya juhudi kwenda Mtwara kuwaelimisha wananchi wa Mtwara. Ni mara ngapi wabunge wao wamepelekwa mpaka nje ya nchi kujionea jinsi miradi kama hii ya gesi inavyotekelezwa na faida zake kwa majimbo yao na taifa kwa ujumla? Ni mara ngapi Waziri wa Nishati na Madini amekwenda Mtwara au Kuzungumza kupitia vyombo vya habari kuhusu huu mradi na manufaa yake kwa Mtwara na taifa kwa ujumla? Hivi wanafikiri hata kiwanda cha Cement kinachojengwa Mtwara watafanya kazi bila ya kuwa na elimu ya kutosha? Nenda Nyamongo, Geita, Buzwagi na Bulyanhulu kajionee mwenyewe ni Wasukuma, Wakurya au Wajita wangapi wanaofanya kazi kwa upendeleo eti kwa sababu migodi iko kwao? hakuna kitu kama hicho katika ulimwengu wa soko huria. Tusiwadanganye wanaMtwara.
From: lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, May 23, 2013 2:43 PM
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI
Hildegarda, kaka
Tatizo siyo yote unayoyasema, tatzo ni Wanamtwara wangapi walielimishwa kuhusu gesi hiyo? Na kauli ya siku za mapema za mkuu wa mkoa alisema wale hawana akili. Wananchi wakamwambia Pinda nenda na huyu alitutukana, serikali ilifanya nini? Tuna angaika kusema tutadharauliwa, watadharauliwa walioshindwa kuona mpaka wakigawiwa maumivu.
Kama unaipenda nchi wakemee wote ambao huwa wanawabeza watoa taadhari na kuionya serikali kabla ya hatari.
Naumizwa na kuumia kwa watu, vifo lakini njia waliyochukua wananchi, siwalaumu na nailaumu serikali kwa kuzembea.--- On Thu, 5/23/13, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, May 23, 2013, 4:35 AM

Tunahitaji watu kama wewe Rwebangila, wenye mawazo chanya.

Enyi watanzania, tunajiaibisha na kudhalilisha utu wetu kimataifa.
Tumekuwa wepesi sasa kuchukua sheria mkononi kuharibu kabla ya kusubiri sheria au mazungunzo/majadiliano. Hii ni mbaya sana sana. Tunaonekama watu wa ajabu.  Ni gharama kwa taifa sote tukemee na tunawajibu kuyazuia yasiendelee.
Haisaidii kabisa kama usemavyo kushabikia mauaji, uharibifu wa miundo mbinu na kuonea wengine. Jee, wewe unayeshabikia uchafuzi huo huko na vurugu ndio njia ya haki ukiwa wewe ndio kiongozimadarakani utaruhusu haya yaendelee hutokataza ukizingatia haki za binadamu?

Kama ni umasikini kote TZ upo. Unaweza kushuhudia vijijini mwetu mtu ana mifugo ya ng'ombe wengi, mbuzi kibao, kondoo, kuku ambao kwa sasa almasi na analima mahindi, pamba lakini nyumba yake ya kimasikini pamoja na mifugo yote na kilimo. Wake zaidi ya wane, watoto 50, tegemezi ya ndugu waliokosa elimu kibao. Wake na watoto kila mmoja analima na kuuza pamba; pombe, maziwa na anapata mifugo kwa kuoza visichana lakini watoto hawasomeshwi. Anavuna madini Mererani-analimbikiza mifugo aonekane tajiri sio kuwekeza kwingine ni wachache sana. Janguo la minazi kauza nazi malori-anatoa mwali kwa gharama hela zinaangamia. Anataka sifa ya ngoma. Anaweza akaja mtu kutoka mbali akagonga kokoto pamoja na wenyeji akauza akajenga kibanda kizuri na akafungua duka mara ana mgahawa, inafika hotel mara ana bajaji na daladala. Yeye yupo hapo kabweteka.

Maendeleo ni mipango na unafanya nini maishani. Umasikini lawama haiwi upande mmoja tu kwani utajiri haushuki kama mvua. Daima sababu ni nyingi na si upande mmoja tu nasi wenyewe tumo.

Kwa sasa imekuwa kama tabia ya kuchoma na kuharibu. Anashukiwa uchawi-choma nyumba, ua. Wakati mwingine si kweli kuwa mchawi ila ni wivu wa maendeleo yake lakini sheria haitumiwi.

Ni hivi pia mashamba ya wawekezaji na mali zao na ya wakulima wengine walioomba na kupewa ardhi kisheria wakaomba mikopo na kuanza kilimo kikubwa kuharibiwa. Kuharibiana mali magomvi ya viwanja. Unaona ktk TV kubomolewa  nyumba zenye kesi mahakamani tena ya vizee mtu anatumia mabaunza kubomoa kwa vile ana hela huenda na za kuhoga.

Wanagombea sehemu ya malisho lakini walijenga na kuchangia sekondari ya kata au shule ya msingi ya kitongoji-inabomolewa ktk kijiji hicho hicho eti ipo eneo la malisho. Shule ya kijiji chao, wamejenga wenyewe ila kuna wachache wakorofi huvunja usiku. Michango na gharama zote kwisha. Tupo kuchangia  umasikini sio ubinafsi. Na ndio maana mh Nyerere alikuacha Butiama kama kulivyo kukajengeka kwa misaada baada ya kifo chake. Daima utajiri wa mifugo na madini Mwanza, Geita, Mwadui, Mwadui ulitumika kitaifa.

Fikiria ingekuwa nyumba ya mzazi wako uliyomjengea ndio imebomolewa kwa vile yeye ni mzee wa Baraza la sheria kata au Mahakamani. Itakugharimu kiasi gani kuanza kujenga upya na wao walimchagua wenyewe awe ktk baraza. Je, kesho unayeshabikia Chama chako kikishika madaraka utaruhusu uhuru wa namna hii wa uharibifu.

Jee ile ya Songosongo tunayotumia DSM na kwingineko walibomoa majengo watu wa huko kwa maandamano. Watu wa Mtwara wakae wasomeshe watoto na kupanga elimu kama sehemu ya mafao na wasome kikweli. Waache zile ngoma za jando zikianza kulia huko miezi sita  inalia daily usiku mpaka unajiuliza mtu huyo akitoka huko ni degree au cheti gani cha ujasiliamali wakipatacho haa watoto?

Wajadiliane na kupanga kipaumbele vya maisha yao badala hayo pungufu waliojenga miaka 50 ya Uhuru. Wanamvunja nguvu mama Kikwete na viongozi wao kitaifa baadhi waliowachagua wenyewe waliowekeza juhudi zao kuboresha maisha huko kusini makwao.

--- On Thu, 23/5/13, Daud Rwebangila <drwebangila@gmail.com> wrote:

From: Daud Rwebangila <drwebangila@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, 23 May, 2013, 9:44

Kama kuna mwanasiasa au mtu yeyote anayefikiria kwamba anawasaidia watu wa mtwara kwa kuchochea vurugu zinazoendelea sasa, mi nafikiri atakuwa mwendawazimu.
Suara hili haliwezi kutatuliwa kwa vurugu za kuharibu mali. Na kinachoonekana hapa ni ubinafsi na baadhi ya watu kutaka umaarufu kirahisi kupitia damu za watu wa mtwara.
Ni lazima tudai haki , lakini wakati huohuo tukihifadhi haki za wengine. Ni lazima watanzania tukubaliane kushare raslimali za nchi na wengine. Kwa miaka mingi tangu uhuru baadhi ya mikoa imekuwa mihimili ya uchumi wa Tanzania na watu wa sehemu hizo hawajawahi kulalamika. Kinachotokea mtwara leo ni matunda ya wenzetu wachache wasioitakia mema nchi hii.
Tukatae vurugu na uvunjivu wa amani, tusimame katika kutetea haki zetu na za wengine bila kuvunja haki za wengine.
Daud
 
2013/5/23 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Mchungu,
Ningekufurahia sana iwapo ungeweka sasa uchambuzi kwamba sasa nini kifanyike kuliko kuwachochea tu wanaMtwara. Au kama hii ndio SERA sawa kwamba hauwezi kusema nini kifanyike ili Utakaposhika madaraka uweze kuitumia hiyo Gesi kudanganyia. Hilo linafahamika bora uweke wazi kipi kifanyike ndugu yangu.
 
K.E.M.S.
From: isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, 23 May 2013, 0:11
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI
MWAKYEMBE,
  hivi ni kwa nini mtu akisimama kudai haki anayoona haipati anaonekana katumwa? kama mikoa mingine haiwezi kusimama na kudai hali nzuri ya uchumi unategemea Mtwara wawasemee? na kama unadai Tanzania tuna tatizo la kiungozi unategemea nani aseme? Mtwara wao wameliona hilo, yale ya Liwale hata kwenye ushahidi wa wazi wa dhuruma walisema wametumwa ina maana wao hawaoni? au ni kwa vile mmewaona watanzania ni mazezeta hawajui kitu? acheni mtwara wadai kile wanachodai kama wao wanaoni ni haki yao wadai
   kule usukumani dhahabu inachimbwa, matani yanapelekwa ulaya wao wanabaki na umasikini hata watoto wao hawana madarasa ya kusomea, hali kadhalika kule nyamongo, hata kule mfindi ambako mbao zinavunwa kwa wingi nako shule hazina madawati kwa nini? hamjiulizi hilo kw nini? watu wa mtwara wanasitahili kunufaika na gesi kwanza ndo na wengine tufuatae hakuna mzazi aliyetoa chakula kwa watoto wa jirani ilihali wakwake walale njaa!!!
2013/5/23 Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
Ezekiel,
Hatuwezi kuhalalisha yanayotekea Mtwara kwa sababu ya kusahauliwa. Ni Watanganyika wangapi waliokumbukwa na hiyo serikali, vipi kuhusu Rukwa ambao pamoja na kutekezwa lakini ndio wenye kuwalisha hata hao wa Mtwara, vipi kuhusu Tabora, Kigoma, Mbeya, Iringa, Ruvuma, Katavi, Kagera, nk.
Tatizo la umasikini linawakaba Watanzania wote, watu wameingia Mtwara wakatumia udhaufu wa umasikini wetu na kuchochea vurugu, hapana lazima tukatae vurugu.
Tukumbuke hizi vurugu zimeanza baada ya taarifa za kuwepo kwa hizo rasilimali, ni mazingira hayo hayo yanayozifanya nchi kama DRC, Somalia, Sudan, na nyinginezo kuwa katika machafuko miaka yote.
Tanzania tuna matatizo  ya kiuogozi kama taifa, lakini pia tuelewe kuna nguvu kutoka nje zenye lengo la kutugonganisha ili wajichotee rasilimali hizo bila bughudha wakati sisi akili iko kwenye kupigana wenyewe kwa wenyewe.

Felix
2013/5/23 Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com>
Maelezo yako dada Hilda mazuri sana lakini yana kasoro za msingi. Baadhi ya sababu ulizozitoa unaweza kuzitafiti tena kuona ukweli wake. Watu wa Mtwara wanalilia maendeleo Yao baada ya kusahauliwa kwa MUDA mrefu. Kwa MUDA mrefu pato la taifa halikugawiwa kwa Haki. Naweza kukupa mifano michache tu: Angelia barabara zinazoenda kusini na zile zinazoenda kaskazini, kwa nini miundombinu  Hii muhimu itofautiane kiasi hicho wakati nchi ni moja hii hii. Ni kweli Kwamba hata watu wa Maganzo kwenye almasi maendeleo Yao hayalingani na utajiri ulio jirani hapo. Ni kweli Kwamba tujikita kwenye majimbo wengine ambao hawana HAYO madini na gesi watafanyaje? Basi kile kinachopatikana kigawiwe kwa haki, wote wapate, ndipo hiyo amani iwe ya kudumu.
wasalaam
On Wednesday, May 22, 2013, Hildegarda Kiwasila wrote:

Radio zimeongea vizuri zaidi zimetoa maelezo makini ya kinachoendelea na uharibifu unaofanyika na waandishi wa habari kuwindwa eti wakiongea wanaipendelea serikali. Kwa hali ilivyo Mtwara sasa, wageni ni wengi sana wanaohusika na utafiti na shughuli za miradi ya maendeleo funded by international devemopment organizations. Ni hatari sana kama watawavamia hawa na kuwadhuru.

Ikiwa suala ni Gas ibaki kwao, basi watu wa Kihansi na huko Ruaha-Mikumi Kilombero, Pangani 1 and 2 Tanga; Mtera, Nyumba ya Mungu dam ambao hata kuvua huzuiwa nao waanzae kukata milingoti ya Miti kuzuia umeme Usije Dar na Maeneo mengine? Mungu atusaidie. Mbona mafao ya National park, Madini tunatumia nchi nzima kama sources za hela za nchi ambapo hata wafugaji na wakulima kando ya mbuga hizo kuingia protected areas wanaadhibiwa?

Kwao hao vijiji vingine vyenye vyanzo vya umeme umeme unapita juu angani ya waya za umeme wao wanamulikia mienge ya moto. Hawana benefits na benefit sharing ni mkakati mpya wa sasa kimataifa kuanzia RIO Summit 1992.

Maji yanatoka Ruvu, wami yananywewa mijini kuko vijijini misitu ni protected wasitumie ili maji ya mto yapatikane kwenye intakes yafike e.g. DSM. Tukifanya hivi kwamba kila mwenye ambako resource ipo azuie hatutofika mbali. Issue ni planning for benefit sharing. Wao watafaidikaje? Kuwe na mpango katika aina zote za resources ambazo zinatambulika kama mali ya umma sio binafsi. Hatutatatua matatizo kwa kuharibu miundo mbinu. Kubomoa daraja na mwenye mimba sasa na hofu ya mapambano uchungu utakuja haraka. Jee, utamsafirishaje unapokataza wasitoke nje na kuharibu miundo mbinu? Kweli tunafurahia haya na wengine kuona kuwa ndio faida ya utawala ni wa kifisadi ambapo mafisadi ni waume na ndugu zetu. Wakishitakiwa-tunaweka mawakili wazito. Na wakirudi home hao mafisadi tunawapigia KURA sisi wenyewe wanashinda tena. Jamani tumrudie Mungu.

--- On Wed, 22/5/13, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:

From: Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 22 May, 2013, 12:25

Huko MIKINDANI ofisi zote za serikali zavamiwa na kuchomwa na mpaka daraja la Mikindani nalo limevunjwa kwa maana hauwezi kutoka wala kuingia MTWARA 
Kuna madai kwamba silaha zimeibiwa (Haijathibitishwa) 
Maaskari wanafanya msako wa nyumba hadi nyumba maeneo ya Magomeni na Mangowela
Askari achomwa mshale. Haijulikani hali yake
Ni mapambano baina ya vijana na maaskari. Vijana hawaogopi tena risasi wala mabomu . 
Kundi limeelekea Shangani kwenye nyumba za vigogo.
 Nyumba ya kupumzikia wageni inayoitwa Shengena Lodge imechomwa moto kwa kile kinachoelezwa kwamba iliwapokea askari Polisi.
Ofisi ya CCM saba saba imechomwa moto, na baadhi ya waandishi wamezingirwa maeneo ya Sokoni, sasa ni milio ya risasi na mabomu.
Matairi  kila  kona  ya mji  yamechomwa  barabarani  polisi  na  zimamoto   wanafanya kazi ya kuzima na kufukuza wananchi. Kauli mbiu "Gesi haitoki hata kwa bomba la peni"
Kambi ya Upinzani yaukataa mpango wa serikali wa ujenzi wa bomba la gesi
Nyumba kadhaa  za watumishi  wa Serikali  zimechomwa  maeneo ya Shangani.(habari haijathibitishwa rasmi)
Ni magari ya FFU tu ndio yapo barabarani nayo hupata wakati mgumu kupita kwasababu ya mawe na magogo yaliyowekwa na vijana,baadhi ya watu kadhaa wamechukuliwa na askari eti kwakuwa walipita jirani na gari yao,askari wengi waliokuja si wa hapa Mtwara wengi wametoka Masasi na Lindi. Ving'ora vinalia ovyo ovyo.
watoto wamefungiwa mashuleni walimu wamekimbia
Vituo vya Redio vya Mtwara havizungumzii hali hii ya hatari. Vinapiga Muziki pengine vinakusanya matukio na habari ya majanga haya. Ili Wananchi wayapate .
 Mabomu yanapigwa mfululizo maeneo ya Magomeni-Mtwara . Takriban mabomu 20 na ushee mpaka sasa. Na wanaendelea kupiga mabomu.
Sasa hali si shwari kila eneo, wakionekana watu watatu wanaongea maongezi maaskari wanapiga mabomu. Mabavu yamechukua mkondo wake. Wananchi wamejifungia majumbani mwao. Chuki dhidi ya Polisi yaimarika. Polisi wanapiga mabomu bila mwelekeo.
Magomeni na sokoni kimenuka, mabomu yanarushwa na wananchi wanakimbia ovyo.
Kituo  kimoja  cha habari  kinachorusha habari za bunge chazuia mawimbi yake kwa Mkoa wa Mtwara hivyo hakisikiki(Redio na TV). Na kimewanyima haki wananchi wa Mtwara ya kupata taarifa.(Hatimaye wamerejesha matangazo yao)
Waziri wa Nishati amesoma hotuba yake kwa hisia kali na mbwembwe. Mwishoni amesema bomba la gesi linajengwa kutoka Mtwara kwenda Dar.
Maduka yote yamefungwa, baa zimefungwa, hakuna huduma za usafiri, ofisi za serikali zimepwaya kimsingi hakuna lolote linalofanyika
Boda boda zinazoonekana maeneo ya Nkanaledi na abiria zinapigwa mawe.
Makachero nao wanajifanya madereva wa boda boda na Bajaji, Tax wengine wanatembea na magari ya Serikali.
2013/5/22 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
Askari mmoja na raia mmoja amefariki na ofisi ya ccm na kituo cha mafuta vimechomwa moto
2013/5/22 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Nasikia hata Guest Houses walizowahi kufikia askari wakati wa vurugu za mwanzo zinachomwa moto (Not sure).
 
Hali kama hii haifai kabisa kwa Taifa huru kama hili. Wahalifu lazima wasakwe na wakamatwe na wafikishwe mbele ya mkono wa sheria.
 
Naona hii sio gesi tu kuna kitu cha ziada hapa.
 
Tutajua tu.
 
K.E.M.S.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.  

-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.    

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment