Thursday 9 May 2013

Re: [wanabidii] Utapeli hhu bado upo wadau

Polisi hutapata msaada wowote. Binafsi nilifika hadi CID makao makuu sikupata msaada wowote.

2013/5/9 Women fighting AIDS in Tanzania <wofatatz@yahoo.com>
Walinipigia pia wiki ilopita.Namba walizotumia ni 0769395066 na 0763149590.

Nadhani pia wanaangalia kwenye website.Walipatia majina yangu, huenda wanayufuta kwa kujaribu kama vile wanatuma Mpesa au tigo pesa.Almanusra niingie mkenge, eti nitume pesa kwa simu, wakanunue bags  za kupark dawa za fumigation ziende Serengeti siku hiyo hiyo na ndege ambayo boss wake mzungu amekodi, ila, mzigo unanunuliwa kwa bei mbaya ya uongo, bila bosi wa huyo dr wa mifugo retired  kufahamu.
Kwa kweli, tujihadhali sana, tuendelee kuhabarisha watu.

Nadhani namba hizo za simu, ziripotiwe polisi, na kwa kampuni za simu, maana zimesajiliwa.

Mpendwa Abinery Chihimba
Executive Director - Women Fighting AIDS in Tanzania( WOFATA )

--- On Thu, 5/9/13, Victor Mwita <victormwita@gmail.com> wrote:

From: Victor Mwita <victormwita@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Utapeli hhu bado upo wadau
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, May 9, 2013, 5:37 AM

Ndugu zangu napenda kuwakumbusha kwamba ni muhimu tuendelee kuwa macho na matapeli wa kutumia simu ambao wameshawaliza baadhi ya ndugu zetu lakini bado hawajaacha.
Niwashirikishe kisa kilichonitokea jana.
Jana kwenye saa 7 mchana, nilipokea simu ya mtu mmoja anajiita Dr. Mjata, aliyedai kwamba aklikua Daktari wa mifugo hapa makao makuu ya wizara ya mifugo na kustaafu mwaka 2010. Kwa kumbukumbu zangu sikuweza kukumbuka mtu kama huyo ila nikamsikiliza. Akadai kwamba baada ya kustaafu aliomba kazi TANAPA na akapata contract huko na sasa yupo Serenegeti National Park. Kwa bahati mbaya nilikua busy kidogo nikamshauri anipitafute jioni. Hata hivyo alinidokeza kua kuna kitu cha kheri anachotaka kunishirikisha na ataongea na boss wake ili jioni waniambie.
Kilichonishangaza ni vipi aliweza kujua majina yangu yote na cheo changu na alivyokuwa anaongea kwa kujiamini. Ilikua ni rahisi kunishawishi kwamba ni mtu genuine.
Na kweli kufika joni akanitwangia na kudai sasa yeye ndio boss wa Dr. Mjatta na akaniambia kuhusu kazi wanazofanya huko Serenegeti na changamoto zinazoletwa na uhamaji wa nyumbu kutoka Serengeti kwenda Masai Mara na kurudi, kitu ambacho pia in cha kweli (kwamba nyumbu wanaeneza kwa mifugo ugonjwa unaoitwa malignant catarrah fever). Kwa hiyo bwn Dr huyu sasa ambaye alijiita Dr. Makombe akaeleza kwamba kuna dawa wanazotumia kwa ajili ya mifugo ili kupunguza madhara na zipo hapa Dar kuna sehemu zinauzwa. Akaniahidi nikiweza kununua na kutuma, basi kulikua na commission yangu ya kutosha. Kwa amount waliyosema ingeweza kunishawishi nitafute hela ninunue na kuwapa. After all kazi yangu ilikua ni kununua na kumkabidhi jamaa na fedha inaingia.
Kwa kuwa nawajua watu hawa nikamwambia kwa kumtania huyo Dr. kwamba nipo hapa mjini siku nyingi kidogo.
Aliposikia hiyo kauli yangu akakata simu na hadi leo haipatikani.
Kwa hiyo nawashauri ndugu zangu endeleeni kuwa macho na hawa watu. Hela haiji kirahisi rahisi namna hiyo.
Hata hivyo nabaki nashangaa: ina maana bado kuna watu wanauza simu bila kuzisajili!!??
Ni hayo tu ndugu zangu

--
Victor Caleb Mwita
Ministry of Livestock and Fisheries Development
P.O. Box 9152
Dar Es Salaam

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment