Kama unataka watu wajadili seriously basi vile vile ungeweka.watu serious. Utamwekaje Mwigulu, Ngeleja na Wasira eti kugombea urais halafu utegemee watu wakuone upo serious kwa kitu ulichokileta? Kwa Tanzania tunayoitaka, kwa maana ya kumpata mtu atakayeirekebisha nchi kutoka hapa ilipo, kwenye list yako bado sijaona mtu wa kufanya hivyo. Katika kundi hilo wapo watu ambao wangeweza kufaa kwa nafasi ya Waziri Mkuu lakini kwa nafasi ya Urais, sishawishiki! |
From: hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Ungependa nani apeperushe bendera ya CCM 2015?
Sent: Sun, May 19, 2013 8:08:18 PM
Vin., Lengo la mimi kuweka hiyo post halikuwa utani wala mzaha. Tuweni serious jamani...kama hautaki kuchangia ni bora kunyamaza tu! Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania From: Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Sun, 19 May 2013 22:01:45 +0300 To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] Ungependa nani apeperushe bendera ya CCM 2015? Aliowataja wooooote. Hakuna, mi nataka Mzee Ngombale Mwelu. Vin On Sun, May 19, 2013 at 9:32 PM, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment