Wednesday 22 May 2013

Re: [wanabidii] Re: VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI

Taarifa ya TPDF kuhusu silaha kuibwa;

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA

Taarifa kwa Vyombo vya Habari
22 Mei, 2013

Tarehe 22 Mei, 2013 Gazeti moja hapa nchini lilitoa habari kuwa huko kusini mwa nchi yetu, kuna silaha zimepotea kutoka kwenye ghala la JWTZ na kwamba kuna msako mkali wa kuzitafuta silaha hizo.
JWTZ linapenda kuwaeleza wananchi wote kuwa habari hizo si za kweli. Hakuna silaha zilizoibiwa Mtwara, Lindi, Songea wala sehemu nyingine yoyote nchini Tanzania.
JWTZ linawaomba wananchi kuzipuuza taarifa hizo na kuendelea na shughuli za ujenzi wa Taifa bila hofu yoyote.

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
SLP 9203, Simu: 0764-742161
Email:ulinzimagazine@yahoo.co.uk

Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 22 May 2013 07:36:35
To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Re: VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI
KUHUSU GESI

Daraja la Mikindani limevunjwa hakuna mawasiliano Mtwara na Dar es
salaam.

Baadhi ya Wananchi wamepora Silaha na wanazitumia kujibu mashambulizi
ya Jeshi la Polisi (habari haijathibitishwa rasmi)

Jengo la Ofisi ya CCM saba saba limechomwa moto.

Nyumba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa, (Tamisemi), Hawa Ghasia yachomwa moto.

Askari kadhaa wamekufa (habari hii haijathibitishwa rasmi)

Vituo vya Redio vya Mtwara havizungumzii hali hii ya hatari bali
vinapiga Muziki pengine vinakusanya matukio na habari ya majanga haya
ili Wananchi wayapate.

On May 22, 5:22 pm, "ELISA MUHINGO" <elisamuhi...@yahoo.com> wrote:
> Huu ni wakati wa kunia mamoja na kujaribu kutoka salama ktk mgogoro huu. Mahakama haina nafasi tena kumaliza mgogoro huu. Ni maridhiano. Tukitaka kulaumu tujiulize kama vyombo husika vililijua hili au la. Kuondoa uwezekano wa mkono wa nje ni kutafuta maridhiano ya ndani.
>
> ----------
> Sent from my Nokia Phone
>
>
>
>
>
>
>
> ------Original message------
> From: Ipyana Lwinga <ipyanalwi...@gmail.com>
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, May 22, 2013 5:09:46 PM GMT+0300
> Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI
>
> Yona, kwani wewe ni msemaji wa serikali?
>
> --
> Ipyana Lwinga
> Email:    ipyanalwi...@gmail.com
>
> "Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment