Thursday 23 May 2013

Re: [wanabidii] Re: Tanzania Limekuwa Taifa la Walalamikaji


On Friday, January 27, 2012 9:57:32 PM UTC+3, Rmgamba2000 wrote:
Leila whether you dont like him or not is irrelevant. He has expressed his opinions as granted by the constitution.


Sent from Samsung Galaxy Note
leila, im woried humfahamu karim hirji. Si kweli kwamba yeye ni miongoni mwa matajiri wakubwa kama usemavyo. Ni bora tuendelee kuufuata mstari wa kuijadili hoja yake kama walivyofanya wengine badala ya kumjadili mwenyewe.

-------- Original message --------
Subject: [wanabidii] Re: Tanzania Limekuwa Taifa la Walalamikaji
From: Leila Abdul <hif...@gmail.com>
To: Wanabidii <wana...@googlegroups.com>
CC:


I dont like Karim F. Hirji approach to issues in Tanzania. He can only
talk,we all know that this country has problems .For how long will
people like Hirji keep repeating what we all know,its really annoying
action they said speaks louder than voice. People like him should
burry their heads in shame .Let him mention some of his efforts to
better the life of an average Tanzanian. Hes among the rich and
influentials in this country so what exactly has he done to better the
situation in the country other than talking. talking with no action
becomes boring.

On Jan 27, 3:19 am, ludigo mhagama mhagama <lmhag...@yahoo.co.uk>
wrote:
> Unajua kama tuna wanyama wa porini wangapi????????????.umefanya sensa ya wanyama?????????.Najua watu wengi wanasensa yao kujua wanyama wapo wengi labda baada kuona wamekuja sehemu fulani kwa wingi.Ndungu zangu Mnatakiwa mjiwe Enviromental vizuri sana na kusoma tabia za kila species.Sasa ngoja nikuambia au nikupe elimu ndogo hapa.Wanyama wanatabia ya kuhama na kwenda sehemu nyingine [kusini,mashariki,magharibi,kaskazini],wanafanya hivyo kwa kufuata chakula,maji au hali ya hewa pia.WANYAMA WETU[VITAL RESOURCES  OF OUR ECONOMY] WANA MAADUI WANNE,1.UJENGANGAJI HOLELA WA MAHOTELI NDANI YA MBUGA [easy to be captured by predator].  2 . Poachers, 3.Professional hunters[they use modern weapons],4 .Climate change and Global Warming.[no food ,no water].Sasa naomba unieleze hapo Baada ya miaka 15 kutoka sasa kwa maelezo hayo KUTAKUWA NA BIASHARA YA UTALII??????????????.HII RESOURCES NI MUHIMU KWA MJUKUU WAKO ,VIZAZI  7 KUTOKA SASA HIVI.UNAFIKIRI WATAISHI
>  VIPI??????????.TUMERITHISWA RESOURCES HII HATUNA BUDI KUWARITHISHA WENGINE IKIWA BORA ZAIDI KULIKO TULIVYORITHISHWA.[HAPO NDIO UTASEMA GREEN  SUSTAINABLE ECONOMY[STABLE ECONOMY]MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WENYE BUSARA YA KUTAZAMA MBELE.
>
> ________________________________
>  From: Hildegarda Kiwasila <khildega...@yahoo.co.uk>
> To: "wana...@googlegroups.com" <wana...@googlegroups.com>
> Sent: Thursday, 26 January 2012, 9:57
> Subject: Re: [wanabidii] RE: Tanzania Limekuwa Taifa la Walalamikaji
>
> Kweli kaka Yona, mtu usilaumu kama hujui sera au hujazisoma. Pia, hakuna anayeweza kujua kila kitu lakini kujielimisha budi badala ya kuanza kushutumu tu na kuhamasisha uovu. Wanyamapori wana sera ya kuvuna wanyama-live capture na kuvuna kwa kuwinda ukachukua trophies ukawapa wananchi nyama. Inategemea makubaliano yenu kama ni Wildlife Management Area (WMA) au wildlife conservation area authority (Ngorogoro) au concervation area only without au authority like Ngorogoro lakini kuna game department ina sera na sheria zake  au kama ni National Park (hakuna kuwinda) au Game Reserve (kuna kuwinda) au ni wildlife corridor (migratory route)  au watering site au clinic-pa kuzalia within a corridoe (Tukuta kimasai).Huruhusiwi kuwinda maeneo ya clinic (fisi tu ndio anakwenda kula mtoto wa nyumbu huku nyumbu anazaa) au kuwinda mahala pa kunywa maji. Unaruhusiwa kumnunua na kuondoka nae mzima mzima kwenda kuanzisha zoo nchini kwako na watanzania kununua vifaru
>  kutoka South Afrika kuwaleta TZ (Mkomazi game reserve sasa national park Kifaru breeding site-clinic). Tumewatoa south Africa wamekuja kwetu kwa ndege!! John Fritzjon mtoto wa kulea Wade Adam (kauawa kenya) aliwaleta faru toka S.A. Faru hata kule kenya analindwa ana body guard binadamu 5+. Tumeleta wild dogs toka S.A kwa vile wetu walipotea kwa kuuawa. Wakafunguliwa kuzaana tena mbuga mbali mbali. Chura wetu wa Kihansi akapanda ndege akaenda ulaya kula keki ikatugharimu sana. Tuna wazungu wametusaidia kuboresha mbuga za sokwe ambao tulikuwa tukiwatesa. Jane G ametusaidia sana huko Goma na tafiti nyingi na sasa ana taasisi za miradi nchini.  Ila, pia wapo waswahili wanaofumwa wanasafirisha kisiri vitoto vya chui, duma, meno ya tembo, ngozi za wanyama kadhaa na wanaoficha majangili. Hawa wanastahili?
>
> Sekta si yako-utaanzisha vurugu tukachoma nyumba za wawekezaji baadae ukakamatwa ukaacha familia. hata sera ya ardhi iliyopo inavyompa mwananchi haki-hatujasoma, tunadai katiba iwe na mambo fulani ya kuhusu ardhi kumbe land policy, land act na village land act inakupa fursa za kamati za maamuzi ya matatizo, kuthibiti kupata hati toka VEO kijijini, ward Tribunal n.k-hujasoma. Fika LHRC, WLAC, TAWLA wametafsiri sheria ya ardhi kwa kiswahili na wametoa mafunzo, wana kiongozi za mwezeshaji na mfunzwaji.
>
> Tujisomee, tujifunze sera na sheria zetu tusiwe wavivu. Tuache kulalama. tusome ili tukawaelimishe wananchi wenzetu. Kama kutorosha wanyama live-nasi tumeleta kutoka nchi Jirani baada ya kumaliza wetu tumeleta kuzalisha upya baadhi yao.
>
> From: Yona Maro <oldmo...@gmail.com>
> To: wana...@googlegroups.com
> Sent: Wednesday, 25 January 2012, 12:24
> Subject: Re: [wanabidii] RE: Tanzania Limekuwa Taifa la Walalamikaji
>
> Ndugu Ludigo umeonyesha usivyokuwa na uelewa wa mambo mengine yanayoendelea nchini naomba nijibu maswali yao kadhaa .
>
> 1 - SUALA LA KUTOROSHWA KWA WANYAMA
> Ukienda pale uwanjani KIA sasa hivi utaambiwa kuna jitihada zimefanyika na baadhi ya watu wameshaachishwa kazi wengine wanaendelea na uchunguzi kuhusu sakata hilo watu hawa wawawezi kufikishwa mahakamani tu bila kukusanywa ushahidi kwa kupitia uchunguzi ambao unaendelea sasa hivi lililokuu ni kuhusu Mwanamama mmoja inasemekana ni wa nchi ya kigeni anayehusishwa na tukio hilo huyo bado yuko kwenye mazingira ya kiwanja hicho .
>
> Suala la ulinzi na usalama limeimarishwa sana na viwanja vyote kuanzia KIA , MWANZA , JKN , MTWARA vimeongezewa ulinzi toka JKT na viwanja vingine havisimamiwi ni Kampuni Binafsi vingi sasa vinaanza kuchukuliwa na Mamlaka ya viwanja vya Ndege mfano mzuri ni KIA .
> Nimeamua nikujibu hili na kukuongezea taarifa ambazo hukuwa nazo ili kukuambia
>  kwamba wewe sio sehemu ya suluhisho .
>
> 2 - Masuala mengine kuhusu utalii sasa hivi yameboresha kiasi chake kama ulipaji wa Ada kutumia mfumo wa Electroniki ambapo sasa ni ngumu sana kwa mapato kupotea kienyeji na kuna jitihada nyingine zinaendelea kama mpango wa miaka 5 wa wizara hiyo kwenye masuala ya kuendeleza utalii nchini , kuna suala la kuwa na viza moja kwa watalii wote wanaotembelea afika mashariki lakini waziri wa maliasiri na utalii ataweza kuelezea hilo .
>
> Nashauri wwananchi haswai vijana wa nchi hii tuwe sehemu ya suluhisho na kutafuta ukweli wa mambo mbalimbali yanayoendelea nchini tusikubali kupotoshwa na mtu au vikundi vya watu hii ni hatari itaharibu nchi yetu na umoja wetu , kupata ukweli ni bure na tuutumie kwa maslahi yetu .
>
> On Wed, Jan 25, 2012 at 9:10 AM, gosbert mutasingwa <bertmu...@yahoo.com> wrote:
>
> JAPO SI MAHIRI WA KISWAHILI NADHANI WALALAMIKAJI NI WALE WANAOONESHA KUTORIDHISHWA NA JAMBOFULANI. SASA KOSA LAO KWA ULANGA NI NINI? ANATAKA WAONESHE KURIDHIKA NA KUYAPONGEZA YANATOWAKERA? MIMI SASA NI MLALAMIKAJI KWA ULANGA KWA JINSI ALIVYOLETA HOJA YAKE .SIKURIDHIKA NA LOGIC (ART OF REASONING) YAKE KWA HILI.
>
>
>
>
>
>
>
> >
> >GOSBERT MUTASINGWA
>
> >From: "acheng...@gmail.com" <acheng...@gmail.com>
> >To: "wana...@googlegroups.com" <wana...@googlegroups.com>
> >Sent: Tuesday, January 24, 2012 10:02 PM
> >Subject: [wanabidii] RE: Tanzania Limekuwa Taifa la Walalamikaji
>
> >Mtoa mada inabidi atupe maana ya neno 'walalamikaji' kwa mtazamo wa mada yake ili tujadilii kulingana na mtazamo wake.
>
> >-----Original message-----
> >From: Humphrey Simba
> >Sent:  24/01/2012, 15:02
> >To: wana...@googlegroups.com
> >Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania Limekuwa Taifa la Walalamikaji
>
> >mnaoponda dhana nzima ya ulalamishi wa Watanzania sisi mnajichanganya
> >sana. Kwa kawaida mzungu anapaswa kuwa tour guide? Je katika taratibu
> >za uwekezaji mchina anapaswa kuuza viatu chini pale kkoo? Je mgeni
> >anapaswa kuajiriwa katika nafasi ambayo Mtanzania mwenye sifa hizo
> >yupo? Kwanini tusilalamike pale unapoona post ndogo tu kama hr manager
> >yuko foreigner? Sheria zimetungwa kumlinda mtanzania dhidi ya
> >mwekezaji lakini hazifuatwi unataka tukae kimya? Bei zinapanda ovyo
> >kusababisha interest rate katika mabenki kufikia asilimia 25 unataka
> >tucheke? Sukari elfu mbili mia tano unataka nitabasamu? Hebu jamani
> >tuwe wakweli na tuache unafiki. Mambo mengine yamefika mahala tukikaa
> >kimya tutaonekana punguani.
>
> >On 1/24/12, Yona F Maro <oldmo...@gmail.com> wrote:
> >> Watu walioshindwa kwa kawaida ni walalamikaji maana yake wameshindwa
> >> kila kitu hawana jipya wanaamini katika kuongozwa kwenye utendaji wao
> >> wa kila siku , hapana tusipeleke taifa huko hata USA haikujengwa kwa
> >> siku moja , mwaka huu wanatimiza miaka zaidi ya 400 ya uhuru wao
> >> wamepitia mengi katika kujenga nchi yao hata vita ya wenyewe kwa
> >> wenyewe , tuangalie fursa zilizopo tuzitumie vizuri kwa ajili ya
> >> maendeleo yetu na ya watu wetu hata kama fursa ni chache tupiganie
> >> kupata fursa nyingi zaidi Inasikitisha kuona raia wa malawi
> >> walivyojazana huko majumbani mahotelini katika kufanya shuguli za
> >> ndani  wakati watanzania wamejazana kibao vijiweni , utashangaa kuona
> >> wimbi la wachina
>
>  walivyojazana hata wanaanzisha gereji bubu wakati
>
>
>
>
>
>
>
> >> wanafunzi kibao wanamaliza veta kila siku , hiyo migodi midogo yote
> >> ilitakiwa iwe na wafanyakazi toka veta wangeweza kuboresha shuguli
> >> hizo na kuingizia taifa faida ,huko mbugani siku hizi unakuta mzungu
> >> wa afrika kusini anamuongoza mtu kutoka Amerika kwenye mbuga zetu na
> >> milima Watanzania wako wapi ? Kulalamika
>
> >> On Jan 24, 2:11 pm, Nico Eatlawe <eatl...@yahoo.com> wrote:
> >>> Swali: Kwanini Tanzania ni taifa la walalamikaji? Je kulalamika ni kitu
> >>> baya siku zote?
>
> >>> ________________________________
> >>>  From: Humphrey Simba <simb...@gmail.com>
> >>> To: wana...@googlegroups.com
> >>> Sent: Monday, 23 January 2012, 19:46
> >>> Subject: Re: [wanabidii] Re: Prof. KaIf a country like Puto Rico can
> >>> overcome the issue ofrim F. Hirji Tanzania Limekuwa Taifa la Walalamikaji
>
> >>> Dr Kafumu, Karibu tena, ubeti wa kwanza tuko pamoja, ubeti wa mwisho naona
> >>> umemfuata Prof aliyesema sisi ni Taifa la walalamikaji.. Sio kwamba kila
> >>> mtu anataka kuwa Rais, au kila mtu ni mtaalamu ila watu hawaoni kama Rais
> >>> anawatendea kwa kadiri inavyopaswa, hawaoni kama wataalamu wao wanatenda
> >>> inavyotakikana, wewe leo ni mtaalamu wa madini uko kwenye siasa, utatenda
> >>> saa ngapi kama mtaalamu? Nimesoma CV ya Prof Muhongo nikachoka na kusema
> >>> je wataalamu wanatumika? We are not just lamenting, we have a reason
>  and
> >>> we wont stop until we get an equal share in that cake, national cake that
> >>> you are enjoying.
> >>> On Mon, Jan 23, 2012 at 10:34 PM, Dr Peter D Kafumu <kaf...@yahoo.com>
> >>> wrote:
> >>> Yes!!!!!!!
>
> >>> >a nation groaning as in labour pain,
> >>> >a
>
> ...
>
> read more »

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment