Friday 3 May 2013

Re: [wanabidii] Re: I cheated on my husband and I plan to continue

MUNGU aliposema mwanamke mpumbavu ataivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe alikuwa na maana kubwa sana japo leo hii wanawake wengi hawapendi kuisikia kauli hii kutoka kwa yeyote yule but mtaipenda kwa maana mungu alisema na itabaki hivyo, pamoja na mateso yoote ambayo mwanamke NABALI kutoka kwa mumewe hakuhangaika na dunia na alimuomba mungu siku zote, na hata pale Nabali aliposikia majeshi ya mfalume DAUDI yanakwenda kumwangamiza mumewe Nabali alikwenda kusimama mbele ya majeshi ya Daudi kumuombea mume wake msamaha,(MSAMEHE MUME WANGU AMEFANYA HAYO KWA SABABU YA UPUMBAVU) na Daudi alisikia kilio cha Nabali akimlilia mumewe Daudi akayarudisha majeshi yake nyumbani.
 
    USHUJAA huu wa Nabali haukujali mateso ambayo mume wake alikuwa akimpa alisimama kama mwanamke ili aiokoe familia yake isiteketee! mimi nina imani sana na akina mama,kwa jambo moja tu mama anaweza kuisimamia familia isiyumbe hata kama baba umepotea kiasi gani na pia mama anaweza kuisambaratisha familia ikakosa mwelekeo hadi ikaingia kwenye mtawanyiko, kuna wanaopotea kwa kukosa tu maadili na malezi kutoka majumbani mwao,lakini nguvo ya nyumba ni mwanamke, mume unaweza kupotea lakini busara za mama zikakurudisha katika msitari, tatizo la tuliowengi wanawake wa sasa ni kkukosa weredi wa mambo, na mara nyingi wengi wetu tumesomea shule za boarding tukasogea hadi viuoni hatukukulia nyumbani na hivyo kutukosesha weredi wa mambo ya nyumbani na jinsi kuisimamia familia
  
 unaposema mbele ya jamii kuwa mume ni mdanganyifu katika ndoa so ukafikilia kumkomoa ni wewe pia kuwa mdanganyifu woote wawili mmepotea! mnachofanya sasa ni kuporomasha familia, amekosekana mwenye akili ya kusema since mwenzangu yuko hivi ni njia gani mimi nipite kuhakikisha hili jambo linakuwa solved.
   
 Ninavyojua mimi kwa sasa wote wanausaka ukimwi, kwa hiyo ni rahisi kuupata, huu msemo wa dawa ya moto ni moto una maana kwa mambo mengine na hauna maana kwa mengine, kwa vile huyu mama tayari alishajua tatizo la mumewe alitakiwa alitafutie ufumbuzi kwa njia ambazo ni za kiungwana zaidi kuliko hatua aliochukua, tena mwenyewe anasema sasa ana watoto wanane, je hakuwafikilia watoto wake? je ametafuta hata njia ya kuwaangamiza watoto wake?  kwa sababu ya upumbavu wa mumewe?  kwa sababu nina hakika huyu kijana aliyempata hawakupima! je ana uhakika gani kuwa huyu kijana nae si mpumbavu kama mumewe ?
      
  yoote hayo ni tisa, kumi, hawa akinamama wakipata wanaume nje ni rahisi kuwagundua hii ina maana kwamba siku nyingi mume atagundua na hapo patashika itaanza ndani mani haitakuwepo kitakachofuata ni kuachana, wao wataendelea kula raha na wapenzi wao je watoto? shida zoote zinaishia kwao! familia tena haipo sababu ya upumbavu wa wazazi, eee jamani ndo maana mungu akatuweka wawili mmoja akikosa akili wapili zifanye kazi,tuwanusuru watoto kuwa ombaomba mitaani, na magonjwa yasiotibika na watoto kubaki yatima. MUNGU AWATANGULIE KUWAPA AKILI YA KUTAFAKALI MAMBO KABLA YA KUCHUKUA HATUA YA KULIPIZIANA VISASI.

On Fri, May 3, 2013 at 2:53 AM, Deo Kibambizi <kibambizi@gmail.com> wrote:
BINADAMU kwa mwendo huu,WASIOE....!Je,na hawa suluhisho lao nini?Je,kwa hawa kukosa uaminifu,basi watu wasioe au kuolewa?


On Thursday, May 2, 2013 9:56:52 AM UTC-5, Tracy John Kimambo wrote:


---------- Forwarded message ----------
From: Tracy John <tracy...@gmail.com>
Date: Thu, May 2, 2013 at 5:55 PM
Subject: I cheated on my husband and I plan to continue
To: wana...@googlegroups.com


I have been the angry, unsatisfied and bitter wife for the last nine years. I'm married to a man who has absolutely no respect for the marriage institution. He has had more girlfriends than I have changed my hair since we got married.

He started cheating on me months after our wedding in 2004 when I was pregnant. And it hasn't stopped ever since. Every other day a different girl, a different situation, a lot of drama. Initially he would lie or try to cover up when I ask him questions or catch him but now he tells me to go to hell and leave the marriage if I was no longer satisfied.


Well, I have four kids and I don't plan to be a single mother in this kind of environment so I'm staying put in my marriage but I'm done being the victim. Yes, I have started cheating on my husband. I am proud to say I have a boyfriend who I have regular, satisfying sex with. And I have absolutely no plans of being the faithful wife ever again. Once this affair ends, I'm starting a new one. There's no going back now. As long as he's cheating on me, I will be cheating on me. I smile a lot these days and it's not just Jesus putting the smile on my face. This is the happiest I have been in at least 8 years. And I also discovered that quite a number of my female friends have been cheating on their husbands for years now. Why didn't anyone give me the memo sooner? Just thought to share my happy story. Xoxo Happy Lagos wife.

Source:
Linda Ikeji


Read more: http://www.mynaijagist.com/i-cheated-on-my-husband-and-i-plan-to-continue/#ixzz2S9CdSh6w


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment