Pole Mheshimiwa Dr. Kafumu Kwanza hongera kwa kurejea tena mjengoni. Kama ujuavyo hizi siasa za uongo kwa bahati mbaya sana ndio zinzokubalika kwa sasa lakini madhara yake ni makubwa sana kwa kizazi hiki. Mtu mmoja aliwahi kutoa kisa akasema hivi "Wahindi walitawaliwa na waingereza, na kwa kuwa walitaka waingereza watoke wakabuni njia ya kuwaondoa ambayo ilikuwa ni kusambaza vinyesi kila sehemu walizokuwa wakiishi na kupendelea kukaa hao waingereza. Matokeo yake waingereza walitoka lakini tabia mbaya ya kusambaza kinyesi na uchafu ndio ikawa tabia ya wahindi hadi leo" Hiki ndicho kinachotengenezwa na siasa za hapa kwetu. Itakapozoeleka basi itakuwa vigumu sana kuiondoa matokeo yake itakuwa ni kupakaziana tu kwa kwenda mbele. Uongo huu huu ndio umetumima Mtwara kwa kudanganywa kuwa wakishika wao nchi Gesi haitaondoka Mtwara, sasa jambo la kujiuliza maendeleo yanayosemwa yatakujaje bila kutumia raslimali iliyogundulika. Wengi wa wanaopiga hizi kelele ni wale tuliopata nafasi anvarau kidobo ha kupata elimu ambao kimsingi ingetusaidia kutufumbua macho lakini matokeo yake imekuwa ikitumika kuwaangamiza watz kwa kuwashawishi kufanya maandamano na kuwahimiza kuvunja sheria za nchi. Huu ni wendawazimu tu ambao hauna budi kushughulikiwa kabisa ili usiambukize wengine na kuliingiza taifa katika mgogoro mkubwa na kuwanyima kizazi hiki nafasi ya kustawi na kuitumikia nchi yao waliyopewa na MUNGU. Sent from Yahoo! Mail on Android |
From: Dr Peter D Kafumu <kafumu@yahoo.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Cc: <mabadilikotanzania@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] RE: Dr Kingwangallah hii imekaaje?
Sent: Sat, May 25, 2013 12:07:24 AM
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment